swali ....

nziriye

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
1,050
361
Siku zote MAVI hayana miba lakini ukiyakanyaga ni lazima uchechemee kwanini jamani ?
 
Sio kweli kuna watu wanapenda mavi sana mtu akijisaidia wanachukuwa wanaweka kwenye kiberiti wanatemba nayo, kila muda anakuwa ananusa
 
ha hahaaaaaaaaa!!! hilo nalo swali!!

tusubiri majibu kwa walio wahi kuyakanyaga!!
 
ngoja tusubiri majibu, ila pale Nairobi kwa machokaraa ni zaidi ya kuyakanyaga, kwani wanayabeba kwenye makopo na kuwapaka watu.sijui yamekuwa mafuta
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom