Swali la wakina dada

Yona F. Maro

R I P
Nov 2, 2006
4,202
218
SWALI:Sasa mimi nauliza kwa nini wasichana wengi wanapenda wanaume wenye pesa hata kama wana uwezo wa kupata pesa pia.Kwa nini wasijiamini nao kama wanaume na kufikiria kuwa pesa siyo jambo la maana sana kama unampenda mwenzio?
 
SWALI:Sasa mimi nauliza kwa nini wasichana wengi wanapenda wanaume wenye pesa hata kama wana uwezo wa kupata pesa pia. Kwa nini wasijiamini nao kama wanaume na kufikiria kuwa pesa siyo jambo la maana sana kama unampenda mwenzio?

daaaa swali lako linajibu ndani yake...! angalia hapo nilipobold...!
 
Kwa kawaida wanawake uhitaji sana security hasa social nad economic security,this is inside them.Sasa,kwa kawaida economic security if found will eventuary provide social security,thats why kwa wengi wao economic security is their first option then social security.Ndo mana unaweza kukuta mwanamama anapesa zake lakini bado atataka kuolewa na public figure for social security purposes.
Remember;To every generalization there are irregularities.
 
SWALI:Sasa mimi nauliza kwa nini wasichana wengi wanapenda wanaume wenye pesa hata kama wana uwezo wa kupata pesa pia.Kwa nini wasijiamini nao kama wanaume na kufikiria kuwa pesa siyo jambo la maana sana kama unampenda mwenzio?
Theory hiyo siyo Practical.
PESA NI MSINGI.
Achana na theories za kufikirika.
Ili uwe na relationship ambayo ni healthy,vitu viwili ni muhimu sana.Vinaenda pamoja, navyo ni PESA NA " UTENDAJI "
By "UTENDAJI" :
Mzee uwe na uwezo wa kukung'uta mpaka chumba KINAFUKA MOSHI.
Ukienda WC unashindwa kuurinate kwa sekunde kadhaa.
By PESA:
Halafu kule kabatini kuna WEKUNDU WA KUTOSHA.Wakwe na mashemeji wakifika wewe mzee unarekebisha tu.
Waachaaa...UTAPENDWA WEWE....MPAKA....
 
Hahahaha!
Jamani bila pesa mtu hupendwi kwa hiyo pesa ina nguvu kila idala....
 
daaaa swali lako linajibu ndani yake...! angalia hapo nilipobold...!

Mhafidina,
Mimi nimeelewa kwamba, hata kama akina dada wanazopesa bado hawajiamini zaidi wanahitaji mwenye fedha. Kwanini wasijiamini na kutulia na ngawila zao? that is the question.
 
Na kuna wanaume wanapenda sana wanawake wenye pesa, wakati sio kitu cha msingi. Utamsikia mie nakupenda kwasababu huna gharama. Kwanini usinipende na mie hivyo hivyo ata kama nitakuwa na gharama.
 
Theory hiyo siyo Practical.
PESA NI MSINGI.
Achana na theories za kufikirika.
Ili uwe na relationship ambayo ni healthy,vitu viwili ni muhimu sana.Vinaenda pamoja, navyo ni PESA NA " UTENDAJI "
Hapooo hapo....tuseme ukweli jinsia ya pili bila pesa huna heshima kwao.....kuwa na heshima basi kamatia mapene uone utaitwa majina yoote mazuri.....
la utendaji lazima uwe straika anaweza kutikisa nyavu kutoka pembe zote.Skillls muhimu vyanzu,vyobo.....hapo utakuwa umeroga mengine yanabaki kuwa utopian
 
Theory hiyo siyo Practical.
PESA NI MSINGI.
Achana na theories za kufikirika.
Ili uwe na relationship ambayo ni healthy,vitu viwili ni muhimu sana.Vinaenda pamoja, navyo ni PESA NA " UTENDAJI "By "UTENDAJI" :
Mzee uwe na uwezo wa kukung'uta mpaka chumba KINAFUKA MOSHI.
Ukienda WC unashindwa kuurinate kwa sekunde kadhaa.

By PESA:
Halafu kule kabatini kuna WEKUNDU WA KUTOSHA.Wakwe na mashemeji wakifika wewe mzee unarekebisha tu.
Waachaaa...UTAPENDWA WEWE....MPAKA....

Mimi siamini kabisa katika hilo, mbona kuna watu jogoo halipandi mtungi na wanapendwa kufa kuliko ww na mguu wako wa tatu???
 
haya bora umeamua kutumbua jipu hili katika jamii zetu, na maneno mengi tu siku hizi yanatumika, oooh independent woman,gender balance, kwenye kutoa pesa hakuna gender balance wala independent woman, hatari kweli kweli, WAAAAAAMMBIEEEEE EH!
 
Mimi siamini kabisa katika hilo, mbona kuna watu jogoo halipandi mtungi na wanapendwa kufa kuliko ww na mguu wako wa tatu???
Je,unaishi HUO ULIMWENGU TUNAOZUNGUMZIA.
Lakini sio neno,naheshimu haki ya kila mtu kutoa maoni yake...HAKI ELIMU ..... TEEH.
 
Theory hiyo siyo Practical.
PESA NI MSINGI.
Achana na theories za kufikirika.
Ili uwe na relationship ambayo ni healthy,vitu viwili ni muhimu sana.Vinaenda pamoja, navyo ni PESA NA " UTENDAJI "
By "UTENDAJI" :
Mzee uwe na uwezo wa kukung'uta mpaka chumba KINAFUKA MOSHI.
Ukienda WC unashindwa kuurinate kwa sekunde kadhaa.
By PESA:
Halafu kule kabatini kuna WEKUNDU WA KUTOSHA.Wakwe na mashemeji wakifika wewe mzee unarekebisha tu.
Waachaaa...UTAPENDWA WEWE....MPAKA....

But very materialistic! Life on earth is only temporary
 
Na kuna wanaume wanapenda sana wanawake wenye pesa, wakati sio kitu cha msingi. Utamsikia mie nakupenda kwasababu huna gharama. Kwanini usinipende na mie hivyo hivyo ata kama nitakuwa na gharama.

na mwana mama anaweza mpenda mwanamume mwenye gharama? akifanya hivyo basi wanamama wenzake watamshangaa na wanamume watamshangaa mwanamume mwenzao
 
Mimi siamini kabisa katika hilo, mbona kuna watu jogoo halipandi mtungi na wanapendwa kufa kuliko ww na mguu wako wa tatu???

Ni kweli kabisa, maana mtu kama huyu anakuwa amekamilisha mambo yote yale yanayopaswa kumpa mwanamke. Sasa Ikija kwenye mambo ya 6 by 6 ambayo huwa ni jambo la mwisho katika mapenzi, basi anaridhika na kumsamehe tuu. Mpo hapo!
 
na mwana mama anaweza mpenda mwanamume mwenye gharama? akifanya hivyo basi wanamama wenzake watamshangaa na wanamume watamshangaa mwanamume mwenzao

Kafara, sio kitu cha kushangaza kwa mwanamke kumpenda mwanaume mwenye gharama. Kwa mila zetu sisi imekuwa km ni jukumu la mwanaume kumhudumia mwanamke kwa kila kitu ata kama mwanamke ana uwezo, na hiyo ndio inayojenga dhana kama wanawake wanapenda wanaume wenye nazo. Na kutakuwa hakuna kushangaana ikiwa nyie wenyewe mnajua mnafanya nini bila kujali km mwanaume anacho au mwanamke anacho. Ndio maana nikasema pia kuna wanaume wanapenda wanawake wenye chochote. Na ktk penzi la ukweli haijalishi unacho au huna
 
Back
Top Bottom