Swali la ukweli kuhusu Big Brother Afika na mfumo dume/jike kwa wana JF na watz kwa ujumla

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
Wanamtando swali ni hili:
una mtoto wa kiume na mtoto wa kike .then unaletewa malalamiko kuwa mwanao wa kiume kampa mtoto wa watu mimba huko au mtoto wako wa kike kapachikwa mimba huko karudi nayo, kipi ambacho ni bora zaidi ?ni swali tu kwa hiyo no malalamishi
 
tatizo watu ambao hamna watoto mnaimagination nyingi tuu,
 
atajijua mwenyewe, ampe mtu mimba au apewe mimba ni shauri yake..kama hajui kuilea atajiju.
 
Watu wengi tatizo linakuwa kwa mtoto wa kike kupata ujauzito. Hata nyumbani watoto wa kike ndo huchungwa zaidi wakiume ni free range.
 
Apewe au ampe mimba,wazazi wote duniani wapo kwa ajili ya kulinda familia zao,ukiwa mzazi jukumu lako la kwanza ni kulinda,kujenga na kutoa malezi bora kwa watoto wako haijalishi wa kike au wakiume ukifanya kosa ni kosa na mwisho wa cku lawama zitakujia ww mzazi kwa kutokumpa mwanao malezi bora.
 
Back
Top Bottom