Swali la ugomvi: Mnamtaka Lowassa tu au Lowassa na CCM yake?

Mkuu Mwanakijiji nani kasema Lowasa anatakiwa,kinachotakiwa ni pesa ya Lowasa.imagine humu kuna HAMY-D,atampamba Lowasa,dakika 2 anakuletea mambo ya ACT,sio njaa hizo kweli
 
MM
Maswali yako haya ni ya msingi sana na yanaamsha akili za wanasema wana akili na ni washabiki wa mabadiliko.
Hebu tufikiri zaidi; ukimtaka lowasa unamtaka kama rais na mwenyekiti wa CCM. unamtaka mweyekiti wa CCM lakini huitaki CCM.
unatetea upinzani halafu unaukata kichwa ili upachike kichwa kutoka CCM. Mzee Mwanakijiji nakushukuru.
Ben Saanane umechangia vizuri sana kwa maoni yangu.

Na huku watu kukaririshwa na kuimba kama KASUKU,ndio ninapoona bado tunasafari ndefu sana,ili kuipata Tanzania ile yenye neema na usawa kwa wote
 
Kumekuwepo na jitihada nyingi za watu kumtaka Lowassa kuwa Rais ajaye. Wengine wamefikia mahali pa kutuambia kuwa ati yeye ndiyo anafaa sana na kuwa ni "mfuatiliaji mzuri". Na tayari tumeona watu wakijitokeza wazi na kujiita ni "marafiki wa Lowasa" na wanafanya kila jitihada ili aingie Ikulu. Swali langu kwa mumpendao Lowassa; mnamataka yeye kama yeye tu au yeye na CCM yake - maana akigombea atakuwa mgombea wa CCM na atakuja na chama chake kile kile cha miaka zaidi ya hamsini. Au haijalishi kwenu anakuja vipi alimradi anakuja?

Ni kama watu ambao wanaulizwa je "Unamkataa shetani" wanasema "Ndio tunamkataa"; "Na Mambo yake?" "Ndiyo twayakataa"; "Na ahadi zake zote" "ndio twazikataa". Kwa Lowassa swali hili linapaswa kwenda kinyume chake. Je mnamkata Lowassa? na Ahadi zake zote? Na mambo yake Yote? N Chama chake chenye sera zile zile? au wenzetu wanamkata yeye tu bila kujali atakuja vipi?

Sisi wengine tulishamkataa na hatujaona bado sababu ya hata kumfikiria kumkubali.

Ndugu yangu mwanakijiji,nakushauri uwe na contents zakitaifa zaidi kuliko kuwa kama mwanachama wa chama flani.Mimi binafsi sioni Tatizo kwa lowassa na chama chake.Hakuna chama ninachokiona kama kina manatatizo bali niwatu walio ndani ya vyama hivi,Nawapo tu katika kila chama.SWALA LAMSINGI NIKIONGOZI GANI ATATUWAKILISHA VIZURI,KUTULETEA MAENDELEO MAZURI HASA YAKIUCHUMI.AKITOKA KATIKA CHAMA CHOCHOTE LAKINI ANATUFAA BASI NA ACHAGULIWE.SASA BASI KAMA MWANDISHI MAHIRI AKASHINDWA KUONA JAMBO MOJA NA ZURI(KIONGOZI BORA AKABAKI KICHAMA LAZIMA UWE NA TATIZO TENA SIO DOGO.NIKUBWA MNO),NA BASI MITIZAMO YAKO ITAKUWA YAMASHAKA.VYAMA VYOTE VINAONGOZWA NAWATAZANIA HAO HAO NA TENA WOTE WAMETOKA KATIKA CHAMA CHA CCM.KWA HIYO MIMI NAWAONA KAMA WALEWALE.ASANTE
 
Mzee Mwanakijiji, we si unatujua sisi hatujuagi tunachokitaka?? Na pilika cha uchaguzi kwetu sisi ni tamasha, anayeburudisha zaidi anapata mashabiki zaidi na ndio mshindi wa tamasha
 
Nikiangalia watu wanao msuport lowassa nakuwa scared . Akipata urais si watz watakufa njaa? yaani mpaka yeye na wao warudishe pesa zao, watz watakuwa washa starve ... Forbid!

Watadanganyika wengi wanaAKILI za Mnyama anayeitwa NYUMBU mmoja wao anaweza kuvamiwa na SIMBA wakatawanyika baada ya muda mfupi km hakuna kitu kimetokea so ndo tulivyo watu wahakumbuki madhila ya CCM ati,,wanaamini MTU mmoja ataweza kubadili Conservative wa CCM then afanye kivyake nackitika sana,,,Njaa ya cku chache ndio inaua NCHI nyingi za AFRICA huyu jamaa wakati amejiudhulu watu humu Walitoka mipovu yakutosha
 
Kumekuwepo na jitihada nyingi za watu kumtaka Lowassa kuwa Rais ajaye. Wengine wamefikia mahali pa kutuambia kuwa ati yeye ndiyo anafaa sana na kuwa ni "mfuatiliaji mzuri". Na tayari tumeona watu wakijitokeza wazi na kujiita ni "marafiki wa Lowasa" na wanafanya kila jitihada ili aingie Ikulu. Swali langu kwa mumpendao Lowassa; mnamataka yeye kama yeye tu au yeye na CCM yake - maana akigombea atakuwa mgombea wa CCM na atakuja na chama chake kile kile cha miaka zaidi ya hamsini. Au haijalishi kwenu anakuja vipi alimradi anakuja?

Ni kama watu ambao wanaulizwa je "Unamkataa shetani" wanasema "Ndio tunamkataa"; "Na Mambo yake?" "Ndiyo twayakataa"; "Na ahadi zake zote" "ndio twazikataa". Kwa Lowassa swali hili linapaswa kwenda kinyume chake. Je mnamkata Lowassa? na Ahadi zake zote? Na mambo yake Yote? N Chama chake chenye sera zile zile? au wenzetu wanamkata yeye tu bila kujali atakuja vipi?

Sisi wengine tulishamkataa na hatujaona bado sababu ya hata kumfikiria kumkubali.

Kama wewe umemkataa kivyako sie unatutakia nini.si lazma wote tumkubali hata yesu hakukubaliwa na wote.so kula time zako kivyako wengine tumtake kivyetu.
 
Kama wewe umemkataa kivyako sie unatutakia nini.si lazma wote tumkubali hata yesu hakukubaliwa na wote.so kula time zako kivyako wengine tumtake kivyetu.

Mbona povu mkuu. Lowasa ananuka rushwa na ufisadi.Njaa zenu ndizo zinawasumbua
 
Mlimkataa kwa vigezo gani? Watu hawataki kuona dhulma anayoendelea kufanyiwa ... Ilibainika pasipo shaka kuwa Hakuwa na interest kwenye Richmond! Imebainika kuwa Beneficiaries wa ESCROW ni wale wale mahasimu wake! Wenye kupiga deals za sukari, wenye kufaidi misaada ya Ghadaffi na Change ya Rader ni wale wale... Kama lowassa hafai tuelezeni categorically kuwa amefanya A, B, C ... Sula la Imani moja ya dini kujiona kuwa wao ndo wenye hati miliki ya nchi hii haikubaliki? kwanini wao tu? Miaka 50 wameifanyia nini nchi hii? Wengi wetu tunaamini kuwa Lowassa pekee ndo mwenye uwezo wa kuwapa watumishi goi goi red card on the spot ... hawa wenye kulia lia hawajaweza kuwasaidia wananchi ... Zaidi ya yote Uongozi wa JK umepwaya baada EL kujiuzulu, Unajua kwa nini? ...

Nanusa UKKKT Hapa , zinduka dini haimpi mtu hulali wa kuwa anafaa hata kama hafai
Sikupata kufikiri kama nawe unaweza kuwa mpuuuuuuuzi kiasi hiki
 
Huyu Lowasa hafai kuongoza wakuu,anatumia nguvu nyingi,pesa nyingi ili aje kuimalizia nchi kabisaaaa
 
Ikifika wakati wa uchaguzi kuna washenzi huwa wanalogwa!
Wanaom-support Lowassa ni kama machizi vile!
 
Wewe ndo umenogesha Udini ... kwakuwa mna hati miliki ya kutawala nchi hii ... Lowassa hazuiliki kwa Ujinga wa kifungo kisichokuwa na meno! Watu wale wale waliokuwa wanamtuhumu JK kuwa hatakuwa Rais leo hii eti ndo wenye moral authority ya kutuamulia Viongozi tuwatakao kwajina la Usafi wakati wao wananuka ESCROW, UJANGILI, na rotten deals zote zinazofanyika hapa bongo ...
Nanusa UKKKT Hapa , zinduka dini haimpi mtu hulali wa kuwa anafaa hata kama hafai
Sikupata kufikiri kama nawe unaweza kuwa mpuuuuuuuzi kiasi hiki
 
Ndugu yangu mwanakijiji,nakushauri uwe na contents zakitaifa zaidi kuliko kuwa kama mwanachama wa chama flani.Mimi binafsi sioni Tatizo kwa lowassa na chama chake.Hakuna chama ninachokiona kama kina manatatizo bali niwatu walio ndani ya vyama hivi,Nawapo tu katika kila chama.SWALA LAMSINGI NIKIONGOZI GANI ATATUWAKILISHA VIZURI,KUTULETEA MAENDELEO MAZURI HASA YAKIUCHUMI.AKITOKA KATIKA CHAMA CHOCHOTE LAKINI ANATUFAA BASI NA ACHAGULIWE.SASA BASI KAMA MWANDISHI MAHIRI AKASHINDWA KUONA JAMBO MOJA NA ZURI(KIONGOZI BORA AKABAKI KICHAMA LAZIMA UWE NA TATIZO TENA SIO DOGO.NIKUBWA MNO),NA BASI MITIZAMO YAKO ITAKUWA YAMASHAKA.VYAMA VYOTE VINAONGOZWA NAWATAZANIA HAO HAO NA TENA WOTE WAMETOKA KATIKA CHAMA CHA CCM.KWA HIYO MIMI NAWAONA KAMA WALEWALE.ASANTE

Mkuu,,,kwa muda wote wa zaidi ya miaka 50 ya CCM kutawala bado unaamini bado kuna mtu kwenye hicho chama ataweza kusogeza mbele hilli TAIFA!! ndg km we cmnufaika na Tawala hizi mbovu za CCM basi napata mashaka,,,,Huko ccm kuna MTU aliaminika km KIKWETE nini amefanya hadi anamaliza muda wake then unasema tuendelee kuwaamini daaay,,,,,!!
 
Nanusa UKKKT Hapa , zinduka dini haimpi mtu hulali wa kuwa anafaa hata kama hafai
Sikupata kufikiri kama nawe unaweza kuwa mpuuuuuuuzi kiasi hiki

Mkuu,,,,hii sisawa km Mimi ni mKKKT lkn namchukia sana huyo ndg kuongoza NCHI hii so nnachojua wanaomshabikia wanatanguliza TUMBO cdhani km uKKKT unahusika ingawa hilo cpingi manake ninakosali kuna LUGHA flan zinatumika kwenye mahubiri nayatilia shaka lkn haiwezi kuwa General cz Siasa za Africa maslhi binafsi yanachukua Nafasi
 
Hili swali niliwauliza watu fulani wanaojidai kuwa Chadema huku wakimpigia chapuo Lowassa kuwa Rais.Kumweka Lowassa madarakani ni kuiweka CCM madarakani.Itakuwa na sawa kuruka mavi na kukanyaga uharo.Au ni sawa kuweka mvinyo wa zamani kwenye chupa mpya.

Tatizo la nchi hii ni la kimfumo.Na CCM imeendelea kunga'ang'ania status quo.So kuchaguliwa kwa fisadi papa Lowassa ni kubariki mfumo wa kulinda genge la mafisadi na wahujumu uchumi.

Kama watanzania tupo serious na mabadiliko,ondoa hilo genge na washirika wake katika uso wa dunia.
 
Back
Top Bottom