Swali la Msingi: Kwani ni lazima kila Mwana CCM kumchagua Magufuli? Na ni...

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,478
40,000
Ni lazima kwa kila MwanaCHADEMA kumuunga mkono Lowassa kama mgombea Rais? Ni lazima kwa kila mwana CCM kumuunga mkono Magufuli? Mwana CCM atakayempigia kura Lowassa CDM ana tofauti gani na Mwana CDM atakayempigia kura Magufuli CCM? Hasa kama wote wanaamini kuwa uchaguzi mgombea aliyepitishwa na vyama vyao hakuwa sahihi?

Hili ni swali lenye kuhitaji jibu kwani linaweza kuwa tofauti ya kushinda au kushindwa kwa mgombea mmoja.
 
Mzee Mwanakijiji kua wazi tu kua kura yako utampa magufuli na sio unazunguka mbuyu mda mwngi najua umekasilika sana juu ya el kua mgombea wa chama chako pendwa
 
Last edited by a moderator:
Mwanakijiji alichangia sana kumchochea Mzee wetu Dr. Slaa Hasira
 
Kuna kitu nmejifunza mwanakijiji na Dr slaa ni watu wanaotambuana sana ndio mahna bandiko la mwanakijiji ndio hisia za kamanda wetu Dr slaa OK acha nikutakie mapumziko mema
 
Ni lazima kwa kila MwanaCHADEMA kumuunga mkono Lowassa kama mgombea Rais? Ni lazima kwa kila mwana CCM kumuunga mkono Magufuli? Mwana CCM atakayempigia kura Lowassa CDM ana tofauti gani na Mwana CDM atakayempigia kura Magufuli CCM? Hasa kama wote wanaamini kuwa uchaguzi mgombea aliyepitishwa na vyama vyao hakuwa sahihi?

Hili ni swali lenye kuhitaji jibu kwani linaweza kuwa tofauti ya kushinda au kushindwa kwa mgombea mmoja.

Mzee Mwanakijiji Watu hawaitaki,Wameichoka Serikali ya CCM na Mfumo wake na sio Magufuli.
Kwasababu Magufuli yupo CCM anakwenda Na Maji...hivyo ndivyo vijana wengi wa Vijiweni na Boda Boda Mmoja aliekuwa amenibeba Leo alivyoniambia..
 
Ukizoea kuongopewa kwa maneno ya hadaa yaliyojazwa utamu hutaweza kumwelewa lowasa! Nikwambie tu kwa ufupi lowasa anahitaji promotion anahitaji nafasi inayomstahili ili akafanye kazi anayoimudu hivyo kura yako ni ya mabadiliko na jukumu lake ni kusimamia mabadiliko na uwezo huo anao ukimnyima wewe wengine watampa hatuhitaji ahadi tena tunahitaji kuona mabadiliko kuelekea maendeleo ya kweli, hatuhitaji uongo tena tunahitaji kuwaadhibu ccm kwa kuwa wametuongopea vya kutosha, hatuhitaji siasa chafu tena tunahitaji msingi na mwanzo wa siasa safi kupitia mageuzi na mabadiliko kutokea octoba
 
Si lazima kufanya chochote kati ya hivyo. Ila ni lazima kila MwanaChadema na kila MwanaCCM kuunga mkono mabadiliko. Mabadiliko yanakuja kwa kubadilisha mfumo wa uongozi, wakati mwingine hata kama mabadiliko hayo yataleta mabadiliko ya kisiasa tu. Narudia, ni sharti na wajibu wa kila Mtanzania kuunga mkono MABADILIKO. Sasa tuambie, hayo mabadiliko yapo CCM ili tuyaunge mkono?
 
Filipo, umetoa masharti na wajibu kwa msisitizo.
Kwa taarifa yako hayo masharti uliyotoa hayako kwenye sheria ya uchaguzi wala kwenye katiba
 
Mzee Mwanakijiji kua wazi tu kua kura yako utampa magufuli na sio unazunguka mbuyu mda mwngi najua umekasilika sana juu ya el kua mgombea wa chama chako pendwa

Usihofu sana kwa MMM anayetoka.
Mbowe alitutangazia kwamba kuna utafiti wa wazungu unaosema wanaotoka ni wachache sana kuliko wanaoingia.
Wakitoka 6 wanatingia 24...mara 4 yake.
Au humwamini Mbowe?
 
Last edited by a moderator:
Mi Ninachoamini Kila Mtu Anauhuru Wa Kuchagua Yule Ampendae Lakin,kuwa Mwanachama Wa Chama Fulani Inamaana Umekubali Maamuz Au Makubaliano Ya Yule Mgombea Aliyependekezwa Na Kama Ukienda Ukapga Kura Kwa Mpinzani That Means Wewe Ni Msaliti.
 
Back
Top Bottom