Swali la January Makamba leo bungeni linaibua swali kwake

ktk issue ya madini,tunaumizwa na watanzania wenzetu wasio na huruma na watanzania,wanaojari maslahi yao na familia zao.

kama kweli Makamba ndio anayoiongoza kamati ya madini basi MUNGU IBARIKI TANZANIA,
 
mwezi wa kwanza kwani ukikaa kimya watu wa bumbuli watakasirika? kuliko kuuliza utumbo huu

Angekaa kimya ujinga wake ungefichika sasa kwakudhani anamuangusha Dr. Kessy kumbe ndio anampalilia; Huyu fisadi mdogo January Makamba is overestimating himself not knowing that he is no match to the mathematician cum economist DR!!
 
Mh. J. Makamba leo ameuliza swali ambalo msingi wake tulio wengi tuliokua tunaangalia uchaguzi wa wabunge EA hatukuelewa nia yake.

Kauliza "nukuu": Anaomba ashawishiwe na mwanamama daktari wa Hisabati kuwa kwanini asifundishe Hisabati chuo kikuu maana ni somo lenye matatizo hapa nchini na badala yake anaomba ubunge EAC.

Ili tumuelewe mantiki ya swali lake, tunaomba mlio karibu yake au yeye mwenyewe pia atushawishi na sisi ni kwanini aliomba uwenyekiti wa kamati ya madini badala ya kamati zingine kama vile ardhi na ulinzi ambazo zina conflict nyingi hapa nchini hasa kwa kuzingatia kuwa January professional yake ni mambo ya conflict kama CV yake inavyosema?

Mbona Dr Kessy (mgombea) kammaliza pale pale, hana haja ya kujadiliwa! kwa sababu hata hivyo hatujadili uwezo mdogo wa wanafunzi wa chuo kikuu kihesabu (kwa wanaosoma Maths) ambao kimsingi ndio wateja wa Dr Kessy ila tatizo ni pamoja na kupata watu wachache wanaochagua kusoma combination yenye Maths (na hatimae kwenda kwa Dr Kessy) pamoja na asilimia kubwa ya vijana wa primary na sekondari kufeli sana somo hilo!

Alitaka wote wawe ni political Scientists, au pengine alifikiri ni Dr wa kupewa kama Hon Dr the most traveling Prezidaaa, ameisotea hiyo baba!
 
wakuu mbona swali lake ni la ufahamu tu,hebu fikiria unaenda kufanya interview ya kazi ghafla una ulizwa una tafuta kazi ili iweje?Swali lile la Makamba ni kupima ufahamu wa muulizwaji
 
hongera kaka January mti wenye matunda ndio hupigwa mawe...rais kijana mtalajiwa.
labda wapinzani wakishindwa kuongoza nchi baadae yeye ndio ataweza kuwa rais. Kwa sasa hivi Cha Cha Maa kinapoelekea
sidhani kitaendelea kuwa chama tawala.
 
mh. J. Makamba leo ameuliza swali ambalo msingi wake tulio wengi tuliokua tunaangalia uchaguzi wa wabunge ea hatukuelewa nia yake.

Kauliza "nukuu": Anaomba ashawishiwe na mwanamama daktari wa hisabati kuwa kwanini asifundishe hisabati chuo kikuu maana ni somo lenye matatizo hapa nchini na badala yake anaomba ubunge eac.

Ili tumuelewe mantiki ya swali lake, tunaomba mlio karibu yake au yeye mwenyewe pia atushawishi na sisi ni kwanini aliomba uwenyekiti wa kamati ya madini badala ya kamati zingine kama vile ardhi na ulinzi ambazo zina conflict nyingi hapa nchini hasa kwa kuzingatia kuwa january professional yake ni mambo ya conflict kama cv yake inavyosema?

jibu ni kwamba, aliomba kuingia ea, ili awe mtunga sera zitakazosaidia watu wasiopenda hesabu wazipende. Ni mwana mahesabu tu ndo anaweza kuongea hili akaeleweka, si muuza sura kama bhanji
 
Back
Top Bottom