Swali kwenu ninyi mlio oa na wasio oa.

Nasikitika unanipiga kibuti hadharani. Afu unanipigia debe kwa katibu muhtasi ambaye hana time na mimi kabisa. Naye kanipiga chini pia, si umemsoma hapo chini?. Hebu nfanyie mpango kwa Yummy basi, kama kweli unanipenda kiviiiiiile...

:A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed:

:poa:poa:eyebrows::eyebrows:
Asprin umeniangusha vibaya sana yani nilikua nakuona wewe ni dume la mbegu kumbe habari yako kwishnei kabisaaa
 
Last edited by a moderator:
Asprin umeniangusha vibaya sana yani nilikua nakuona wewe ni dume la mbegu kumbe habari yako kwishnei kabisaaa

Teh teh teh aminia Asprin kwa kuchakachua tu nambari wani



Subutuuuuu kirahisi hivyoooooo.......fanya mambo uonekane
Siamini macho na masikio yangu......... Yaani hata Yummy naye kanigongomela? Nionee huruma mtoto wa mwanamke mwenzio...khaa!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom