Swali kwa wote

Am I missing something here? Mnasema kumnyima mumeo...ok..let me get this straight....kwani kwenye kutiana anayefaidi ni mmoja tu hadi iwe adhabu mmoja wenu akikataa? Sasa unapomkatalia mtu unakuwa unamkomoa nani? Au wewe unayekataa hupatwi na nyege? Au husikii utamu ukiwa unamegwa? WTF? I don't get this....
hahahahahahahahah
DUDE HUMO HUMOOOOOOOOOOO!...........
leo naona twenty one umepiga raundi kadhaa
 
hahahahahahahahah
DUDE HUMO HUMOOOOOOOOOOO!...........
leo naona twenty one umepiga raundi kadhaa

Leo bench press babu...four 45lbs. plates on each side...and going for three clean reps....upo hapo babu? Nitafutie mtu bongo anayeweza kusukuma uzito kama huu kwa reps tatu safi.....
 
Am I missing something here? Mnasema kumnyima mumeo...ok..let me get this straight....kwani kwenye kutiana anayefaidi ni mmoja tu hadi iwe adhabu mmoja wenu akikataa? Sasa unapomkatalia mtu unakuwa unamkomoa nani? Au wewe unayekataa hupatwi na nyege? Au husikii utamu ukiwa unamegwa? WTF? I don't get this....

shem hapa umegongea msumari wa mwisho kwenye jeneza!!!!!!!!

starehe ni ya wote kumnyima mume ni kujikatili nafsi, kibaya zaidi mwenzio ataenda kwenye mapoozea yake fasta, sasa wewe mwenzangu na mimi je?

aaaah we will talk about it na maisha yaendelee!!!
 
Leo bench press babu...four 45lbs. plates on each side...and going for three clean reps....upo hapo babu? Nitafutie mtu bongo anayeweza kusukuma uzito kama huu kwa reps tatu safi.....
poa poa kaka!
ukija dar tuwasiliane kwasaabu nahitaji vifaa vya kawaida kwa matumizi ya nyumbani tu....
ujue kazi zimenielemea narudi usiku sana home tym ya gym nimekosa kabisa
 
shem hapa umegongea msumari wa mwisho kwenye jeneza!!!!!!!!

starehe ni ya wote kumnyima mume ni kujikatili nafsi, kibaya zaidi mwenzio ataenda kwenye mapoozea yake fasta, sasa wewe mwenzangu na mimi je?

aaaah we will talk about it na maisha yaendelee!!!

You got it in-law...
Make up sex is the best sex.....(you didn't hear it from me):smile-big:
 
You got it in-law...
Make up sex is the best sex.....(you didn't hear it from me):smile-big:
hahaaaaa tatizo umeandika kwa penseli, wakti mwingine kwenye mambo kama haya tumia chaki kabisa!!!!

ooh yeah I did not..............
 
mie nambaniaga japo wiki, kuna vijimambo akinifanyia hapo lazima nimbanie, akija late kanikuta nimeshalala hapo hakifanyiki kitu, na kesho yake maelezo yake yakipinda ya huko alikokuwa mbano unaendelea, kuna vijimambo mambo akivifanya anajua kabisa hapa hakuliki...hiyo miezi 7 kwa kweli ni mingi ila inategemeana na ishu yenyewe ilivyo.

Nyamayao,

Unajua uwa na-mind sana post zako! Hasa hii. hapo underlined/red du!
 
sasa unategemea nikimbilie wapi nitakaponyimwa unyumba mwezi mzima? na kwa taarifa yako hakuna m/ume asiyekuwa na small house hata kama vp ujue kuna demu yuko pending anasubiri kukiwaka moto kwake anakuwa na kimbilio hakuna mwanaume anayekaa wiki 2 amenyimwa unyumba bila kutafuta alternative labda iwe kesi si ya ugomvi kama kujifungua n.k ila kama mmegombana halafu unambania 100% atapiga nje

Mkuu hapo umetumia kokoro. Usichukulie vitu kijumla jumla. Tupo tena wengi sana hatuna hizo nyumba ndogo!

shem hapa umegongea msumari wa mwisho kwenye jeneza!!!!!!!!

starehe ni ya wote kumnyima mume ni kujikatili nafsi, kibaya zaidi mwenzio ataenda kwenye mapoozea yake fasta, sasa wewe mwenzangu na mimi je?

aaaah we will talk about it na maisha yaendelee!!!

Ni kweli da B ila katika issue kama hii wanaume walio wengi wanatumia ubabe badala ya kujishusha na kurekebisha matatizo. Sidhani kama wanaweke wengi wanafanya makusudi kufunga milango ina kuwa network zinakata mawasiliano na mitandao inakuwa kaputi.
 
Mkuu hapo umetumia kokoro. Usichukulie vitu kijumla jumla. Tupo tena wengi sana hatuna hizo nyumba ndogo!

Ni kweli da B ila katika issue kama hii wanaume walio wengi wanatumia ubabe badala ya kujishusha na kurekebisha matatizo. Sidhani kama wanaweke wengi wanafanya makusudi kufunga milango ina kuwa network zinakata mawasiliano na mitandao inakuwa kaputi.
aafu we dark city INAKUWAJE?
 
kaka DC kama ni suala la kukatika kwa network, sawa ila hata hapo lazima nimwambie mwenzangu nini kimekata network, ndo maana nasema tuyazungumze kama yanazungumzika then we make up na tuendelee na maisha yetu kama si vinginevyo
 
Nasema hivi mkibana mnatupatia vishawishi oops right za kutoka out aise Tafadhali msiiitumie hii kitu kama fimbo aisaidii NG'o!
 
Hata kwenye sehemu za kazi si lazima ugome 100% to register your grievancies...

You can decide to be on a go-slow... yaani upo kazini but hufanyi kama unavyotarajiwa...

So si lazima umnyime - waweza kumpa, then ukaendelea kujisomea gazeti... call it a win-win situation if you like...:hug:
 
Kubana hakuwezi kuwa njia ya kumaliza maudhi. Kikubwa ni kuyamaliza na kurudi ktk mstari
 
Hata kwenye sehemu za kazi si lazima ugome 100% to register your grievancies...

You can decide to be on a go-slow... yaani upo kazini but hufanyi kama unavyotarajiwa...

So si lazima umnyime - waweza kumpa, then ukaendelea kujisomea gazeti... call it a win-win situation if you like...:hug:

mmhmmh flexibility ya avatar yako imenipoteza na nimeshindwa kusoma post yako.........
 
labda ningeanzia kwako jeiesi na MAHUSIANO YAKO..............!
hii adhabu huwa unaitoa?????:drum:

Sijawahi kwa kweli ukiachilia vile vibreki vya hapa na pale na kusogeza muda mpate hamu tena

hehehehe!principle yako nimeipenda sana!mi ninayo mojoa ipo hapa maeneo ya mabibo,dah!inasumbuaga sana akili angu.....
hivi imeshanitext kuwa lanchi tayari...
ngoja niwashe tukutuku nipite famasi kabisa nikabebe zana nijipindue uswazi maanake dah

LONG LIVE INFIDELITY!

Teamo naenda kumwambia mama Teamo haiwezekani unapraise infidelity hivi aisee
@Mom kumnyima unyumba ni suluhisho?? M ie bora tuyazungumze tu kama yanazungumzika ikishindikana na-seal moja kwa moja biashara inaisha.

uzuri ni kwamba hawa jamaa uwanyime usiwanyime, wakitaka kufanya nje wanafanya tu!!!

BHT huo is uzuri ni ubaya kwa kweli lakini kweli wakiamua kufanya wanafanya hawajali

Ni kweli kabisa SMU haileti maana ila ninavyojua mie ni kuwa huwa hatuwanyimi kama silaha bali ile hali yetu ya kutojisikia kukupa kwa kuwa feelings zangu hazipo huwa mnaichukulia kama tunawanyima kusudi.

Mie ninakumbuka there was this time mwenzangu alikuwa anatabia ya kunikorofisha kila mara na ikafika pahala nikahisi anafanya kusudi kwani haiwezikani mtu ufanye kile ambacho unajua kinamuumiza mpenzi wako na kumkosesha raha kila siku. Ikatokea siku moja bila sababu ya maana (nilikujagundua kuwa alimfumania nyumba ndogo yake siku hiyo) akanyanyua mkono wake na kunidunda --- ilikuwa kipigo kitakatifu kilichoniacha hoi nikiwa hoi sakafuni) ----- Halafu kwa siku mbili nzima hakusema kitu wala kuuliza uhali gani wala cha samahani. Ikawa akiamka asubuhi anaoga na kutimka humwoni hadi saa tisa nane usiku. Siku ya tatu usiku huo wa manane anakugeuza na kutaka kuchomeka. Mbona niligeuka Jack Chan sijui- Nikawa nimenunua kesi eti nimemnyima oh natumia hiyo kama silaha ya kumwadhibu!!

Nilichotaka kusema ni kuwa kabla hamjalalamika kuwa mnanyimwa chunguzeni mwenzio anakataa kwa sababu gani? wengine si kwa kutaka kukukomoa ni kuwa tu feelings hazipo...... na kujilazimisha haiwezekani jamani sie wanawake milango yetu kufunguka inashirikisha vitu vingi, utayari, feelings na mapenzi si kama ninyi ambao hata ukisikia harufu ya manukato mazuri basi mfalme anaitika....... mnatubaka saa nyingine.

MJ1 thats scary to some of us who are not married bado kuna kubakana tena humo ndani

sasa unategemea nikimbilie wapi nitakaponyimwa unyumba mwezi mzima? na kwa taarifa yako hakuna m/ume asiyekuwa na small house hata kama vp ujue kuna demu yuko pending anasubiri kukiwaka moto kwake anakuwa na kimbilio hakuna mwanaume anayekaa wiki 2 amenyimwa unyumba bila kutafuta alternative labda iwe kesi si ya ugomvi kama kujifungua n.k ila kama mmegombana halafu unambania 100% atapiga nje

Funzadume unafanyaga hayo nini kaka yangu (kama wewe ni mwananume lakini)

Sredi hii ni nzuri kwelikweli, michngo mikubwa yapasa kutoka kwa nyie mlooa au kuolewa kwetu sisi waseja, we should'nt comment anything!

Genekai hapo umenena itatupa mafunzo kutoka kwa waliiooa/kuolewa

JS sidhani kama kuna Wanaume ambao huwaadhibu wake/wapenzi wao kwa kuwanyima tendo la ndoa, lakini sina uhakika na hili. Kama wapo basi hao ni lazima wawe na nyumba ya kupumzikia ama wameshaamua kwamba ndoa/uhusiano wao na mhusika umefikia tamati. Kwa maoni yangu Mwanaume anaweza kabisa kuivunja ndoa kama ananyimwa tendo la ndoa hata kwa mwezi tu. Halafu unapomnyima mumeo/Boyfriend unyumba kwa miezi yote hiyo unadhani kweli haiendi nje kushughulika na wale ambao watakuwa tayari kumtimizia tendo hilo bila ya hiyana?

True BAK lazima atatoka nje

MJ1, mhhhhh! hapo kwenye nyekundu, I reserve my comments.Pole sana kwa yaliyokukuta. Mianaume inayopiga wake/magf wao katika miaka hii ndivyo ilivyo! :angry: Hawajui kabisa kutatua matatizo yao katika ndoa au mahusiano yao kwa kuongea tu kistaarabu na ili kuweka kla kitu shwari. Shurti mkong'oto wa nguvu utembezwe ndiyo roho zao zinaridhika.

HApo napo ndo pananichanganyaga pia kwa wale wamaodiriki kunyanyua mikono yao na kupiga mke wake au girlfriend wake. kwa nini ufanye hivyo?? Uzuri haijawhi nitokea ikitokea tu next day hunioni

Wanaume kama hawa labda wataka wake zao au magf wao wawaogope kupita kiasi na kuishi katika woga wa hali ya juu. Akiingia ndani ya nyumba mke/gf anakosa amani kabisa ndani ya roho anajua akikosea kidogo tu basi cha moto atakiona.

kwani mwanamke haruhusiwi kukosea kidogo? yeye si malaika. BA usikubali kupigwa au usimpige mkeo ni dhambi kubwa sana

Am I missing something here? Mnasema kumnyima mumeo...ok..let me get this straight....kwani kwenye kutiana anayefaidi ni mmoja tu hadi iwe adhabu mmoja wenu akikataa? Sasa unapomkatalia mtu unakuwa unamkomoa nani? Au wewe unayekataa hupatwi na nyege? Au husikii utamu ukiwa unamegwa? WTF? I don't get this....

and you said it all NN
 
Ila kwa kweli hii adhabu si sahihi kwani inasababisha matatizo mengine ambayo huenda yangeepukika..Kuna adhabu nyingi sana za kumpa mwandani wako lakini sio la kunyimana unyumba ingawa ningumu mno kwa kweli..
 
.........Kunyimana unyumba wala sio solution ya tatizo, na inakuwaje unalala na mume/mke wako chumba kimoja, kitanda kimoja kipindi cha miezi 7 au mwezi tu halafu usiwe na hamu na mwenzako kweli. Aisee mimi siwezi kabisa hii kitu.
 
Pretty..wewe si umeolewa juzi tu..subiri kwanza usiharakishe kusema hivo hahahahah
 
Kuna nini humu ndani?
...Msinyimane,peaneni.............
Kunyimana sio suluhisho la matatizo bali zidisho la matatizo.Zipo nia nyingi za kutatua matatizo na sio kunyimana.
utatatua vipi tatizo kama la Clementina...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom