Swali kwa wanandoa

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,305
Hivi ni kweli kwamba mkiishi kwa muda mrefu huwa mnachokana hata kama mnapendana kweli?

Yani naamanisha kuwa, kuna muda unatamani kutoka nje ya ndoa kwa kumkinai mwenza wako na kutaka vitu vipya.

NAOMBA MTUJIBU HILO SWALI SISI MABACHELOR.
 
Oya We Umesahau Jobtrue True Inamaniisha Hata Mke Wako Unaweza Msahau Ukaenda Chovya Kwingine
 
Inatokea sana tu ila inabid kuzuia hii hali ya kumchoka mwenzio

Hata kama umemchoka uwe unaandaa hata Siku moja kwa wiki ya kumshushia kitomb o cha maana
Kemea pepo
 
Hivi ni kweli kwamba mkiishi kwa muda mrefu huwa mnachokana hata kama mnapendana kweli?

Yani naamanisha kuwa, kuna muda unatamani kutoka nje ya ndoa kwa kumkinai mwenza wako na kutaka vitu vipya.

NAOMBA MTUJIBU HILO SWALI SISI MABACHELOR.
Ndio mkuu kwenye ndoa kuna upungufu wa hisia ila watu wanachanganya wanaita upungufu wa nguvu za kiume ni kwamba unamuona wa kawaida ila ukitoka nae nje watu ndio wanasema umeoa pisi kali ila mwanaume anaona kawaida.
 
Ndoa miaka mitatu ya mwanzo ukiweza toboa ile hali ya kukinai basi utaenda nae vizuri, kipengele ni baada ya kuzaa mtoto wa pili,wanawake wengi hubadilika na wengi mvuto upungua ukiweza kuikubali hali ya mabadiliko yake basi unaweza toboa kuishi nae kwa upendo kwasababu wengi hata kujiamini kunapungua.
 
Mwanamke ni Kama chakula. Fikilia ni chaku chaku gani wewe penda sana tukupee mwezi mzima uone Kama hujakinai ukatamani kile ambacho ilikua hukitamani. Over in yo majesty voice
 
Back
Top Bottom