Swali kwa wadada: Je ni wapi ungependa utoke kwa mara ya kwanza na mpenzi wako...?

shosti lara 1 umesema kwel tupu wanaume wa kibongo hupretend kuwa wapole and caring b4 kula mzigo, ukilogwa ukampa soon umeliwa macare yote kwishney hata phonecalls zinastop ,yan wao wanajal asal yako kuliko wewe mwenyewe so the best thng 2do ni kuwaweka pending!

Wanahangaikia sana hiyo kitu na ndo maana baada ya kukipata wanajikuta kwenye dilema kuamini kama kweli hicho tu ndo wametumia efforts kubwa na resources kibao kukitafuta....Lol!!
 
thanx mkuu Dark City nimesoma huo uzi, mie mawazo na msimamo wangu kama wa shoga angu lara 1 wanaume wa kibongo hawaaminik na hawana upendo wa kweli,wakimuapproach binti its al abt her vagina, so ni vyema gals wakawaprotective of themselves, trust no 1!
 
Last edited by a moderator:
Mimi miezi yote ya KUZUGA NI MWENDO WA PUBLIC PLACES TU!!!! Chezea kukopwa game!!!!! lol! Waswahili ukiwaambia twende sehemu game linawezekana kupigwa KWISHA HABARIII YAKO, Atalia hata chozi la damu umuonjeshe!!! Hahahaaa! Ukimnyima utasikia NAOMBA HATA NIONE TU AU KUSHIKA!!!! LOLEST! Hizo mbinu tuuuu! Yataka moyo.

Mwanzoni mimi NI KUZUNGUKA SEHEMU AMBAZO NIMEZISIKIA ILA SIJAWAHI KUFIKA AT HIS EXPENSES OFCOURSE!!! LOL! I must put the wallet on test!!!! HOW CRAZY CAN HE CHOP CHOP HIS HARD AND SWEATY EARNED MONEY FOR ME!!!! VERY UNKIND!!!! (JST AS UNKIND AS SIKU UNAKUWA REPLACED) LOLEST!!!

Yaani hapa tu ndio huwa nachoka...kwa style hii sitaoa aisee.
 
Una akili sana wewe.................
wapi snowhite na Madam B ....?
abee nipo hapa!
Mimi ningependa a dinner out,yani ile ya kujipigilia kisha kufuatwa home kwangu na kupelekwa sehemu nzuuuuri ikiwa maeneo ya bahari hizi itakuwa poa zaidi!ahahahhaahahah haya mambo ya imagination haya!cha kufia nini ?hebu ngoja nihakikishe hubbie anaisoma hii kisha anifanyie hivo next weekend!
 
thanx mkuu Dark City nimesoma huo uzi, mie mawazo na msimamo wangu kama wa shoga angu lara 1 wanaume wa kibongo hawaaminik na hawana upendo wa kweli,wakimuapproach binti its al abt her vagina, so ni vyema gals wakawaprotective of themselves, trust no 1!

Tatizo la wasichana wengi ni kujifanya kwamba wao ni donor tu wa starehe na wala hawaambulii kitu.

Ukisoma uzi niliouweka hapo juu, utaona kile ambacho tulimshauri mleta mada...

Kama msichana hana shida ya huduma (ya kimwili kwani hii siyo ya kiroho) au hajawa tayari basi asijipeleke kwenye mazingira ambayo mwanamume yeyote mwenye akili hataweza kumwachia...Ila naye kama anahitaji huduma, sioni ubaya wa kuchangamkia tenda!!

Naamini kwamba siongei na vile vijukuu vyangu ambavyo bado vinacheza rede na mdako!!

Babu DC!!
 
mkuu Dark City umenifanya nicheke eti vijukuu vya rede na mdako, lol! Ishu cyo mabint kujifanya victim no! Ishu ni kwamba after mchezo wanaume wanasepa na yale macare ya mwanzo yanatoweka.so wabak kujiuliza all those cares target ilikuwa asali? Hakuvutiwa na mie as in person?
 
Hicho unachoongelea wewe Ciello ni michezo ya kutumiana ambayo iko pande zote...

Tatizo kubwa ni kwamba wanawake tu ndo wanahisi kwamba huwa wanatumiwa kama vyombo vya starehe....Mbona siku hizi vijana wengi wanapigishwa mzigo kwa malipo au kupewa nafasi ya kuosha macho + umaarufu through publicity?

Kama hutaki kutumika, basi fuatilia ushauri wa wadau ambao upo wa kutosha hapa MMU!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:

Love has truly been good to me
Not even one sad day
Or minute have I had
Since you've come my way
I hope you know, I'd gladly go
Anywhere you'd take me

It's so amazing to be loved I'd follow you to the moon in the sky above

Ooh, ooh, ooh, ooh, ooh, ooh, ooh, ooh, I'd go
Got to tell you how you thrill meI'm happy as I can be
You have come
And it's changed my whole world
Bye-bye sadness, hello mellow
What a wonderful day
It's so amazing to be lovedI'd follow you to the moon in the sky above
Ooh, ooh, ooh, ooh, ooh, ooh, ooh, ooh, I'd go
And it's so amazing, amazing(So amazing)
I could stay forever, forever(Stay for ever)
Here in love and no, leave you never(No, leave you never)
Cause we've got amazing love(Amazing love)
Truly it's so amazing, amazing(So amazing)
Love brought us together, together(We're together)
I will leave you never and never(Leave you never)
I guess, we've got amazing love(Amazing love)

Ooh, so amazing and I've been waitingFor a love like you
It's so amazing to be lovedI'd follow you to the moon in the sky aboveOh, and it's so, it's so
It's so amazing to be lovedI'd follow you to the moon in the sky aboveAnd you know, it's so
It's so amazing to be lovedI'd follow you to the moon in the sky aboveHey, hey, hey, yeah, it's so
It's so amazing to be lovedI'd follow you to the moon in the sky aboveHey, hey, yeah, hey, yeah, yeah, hey, it's so
It's so amazing
 
Last edited by a moderator:
Una akili sana wewe.................
wapi snowhite na Madam B ....?

Abee Kaka Mtambuzi.
Binafsi kwa upande wangu hata siku moja sitajidanganya eti mtoko wetu nikaufanyie nyumbani kwa mpenzi wangu.
Huko ni kama kwenda kutoa huduma tu.
Ni nani ambaye hawajui wanaume wa Ki-Tanzania kwa kupenda Ngono?
Ukifika kwake ni lazima atakung'ang'ania tu mfanye sex,
kama alivyotangulia kusema dada lara 1,
'....Niione tu kidogo,afu niiguse...!!!' Unataka uiguse ili iweje?,Ina maana mimi ni mwanamke wako wa kwanza? Ina maana hujawahi kuziona nyingine?
Nani kasema mwanaume wa Kibongo aone utamu wa mwanamke halafu auache?,labda awe Blind,na hata huyo blind mwenyewe hapotei njia akienda 'mapangoni',atapapasa tu.
 
Last edited by a moderator:
Yaani hapa tu ndio huwa nachoka...kwa style hii sitaoa aisee.

Hongera kwa uhamuzi wako wa kutooa kama ni kweli. Hapa bongo mademu wa hapa yaani unatakiwa moyo ku date them. They are so unpredictable na tamaa zinawatawala na ndiyo maana guys play them. Wewe mwanamme gani yuko radhi kushare demu na jamaa zaidi ya 5 at once? I'm tired of them, mi najipigia tu na kuwaacha. There will be NO bongo girl atanichuna, mimi ndo nawachuna wao. Ninawajuwa so I play them. Kasirikeni lakini hiyo ndo hali halisi...Nitawachuna mpaka kufaaaaa.
 
Mimi miezi yote ya KUZUGA NI MWENDO WA PUBLIC PLACES TU!!!! Chezea kukopwa game!!!!! lol! Waswahili ukiwaambia twende sehemu game linawezekana kupigwa KWISHA HABARIII YAKO, Atalia hata chozi la damu umuonjeshe!!! Hahahaaa! Ukimnyima utasikia NAOMBA HATA NIONE TU AU KUSHIKA!!!! LOLEST! Hizo mbinu tuuuu! Yataka moyo.

Mwanzoni mimi NI KUZUNGUKA SEHEMU AMBAZO NIMEZISIKIA ILA SIJAWAHI KUFIKA AT HIS EXPENSES OFCOURSE!!! LOL! I must put the wallet on test!!!! HOW CRAZY CAN HE CHOP CHOP HIS HARD AND SWEATY EARNED MONEY FOR ME!!!! VERY UNKIND!!!! (JST AS UNKIND AS SIKU UNAKUWA REPLACED) LOLEST!!!
ha!ha!ha! ndo mbinu zangu hizo ukiachia tu imekula kwako ila pole sana inaonekana yameshakukuta haya
 
Jamani hayo mambo ya kulazimisha game yalikuwa zamani, wanaume wa Kibongo siku hizi tumeelimika kwa kiasi kikubwa, kwa hiyo hilo la kulazimishwa game halipo tena...... uzungu kwa kwenda mbele....LOL

weeweweweeeeeeee thubutuuuuuuuuuuuuu......
 
hata sielewi hapa nichague wapi.

Lakini nyumbani kwangu No, anayeletwa nyumbani ni mtu ambaye stage yake ni kubwa sana.

Wengine wote ni vichakani huko huko.

Mbona mnawasema vibaya wanamme wa kitz? They are my fav mbona? Nibadili mtazamo??

Mbona mie nimeshaenda kwa wawili tofauti ujanani, and nothing happened, hawakuwa normal?

Tena huyo mmoja tulipika na kupakua, ilikuwa nzuri, but hakuomba mchezo hata zaidi aliweka bayana feelings zake. Mnanichanganya kuwa hawapo ambao wana stamina hata ndogo, wapo hata kama ni wachache ila wapo.
 
Tatizo wanawake wanafikiri utamu ndo kigezo tu cha kuolewa au kudumu kwenye mahusiano,, kuna kitu kinaitwa ku match, mpenzi anatakiwa awe rafiki pia kiasi hata ukiwa nae huboreki as mna stories zaidi ya kuambiana I love you...

We nenda public places, njoo kwangu, hata kwako nikiamua kukumega na kukuacha nitafanya tu as kucheza na akili ya mwanamke sio ishu ukiamua..

Wadada mkubali mkatae but men are too smart than ladies when it comes to a love game...

Kuna mdada alimkaribisha mtu kwake akajikuta amepigiwa huko huko kwake ( she loose at home in I first round) mbele ya mashabiki wake, tena kwenye uwanja wake wa nyumbani..

Kwanza siku hizi tupo kwenye capitalist world ambayo time is money.. So mdada akikuweka pending anapotezewa anatafutwa mwingine akija kushtuka anaalikwa harusini...
 
Si kutafuna wallet yangu bwana...mie najua unanipenda kumbe unanikomoa?

Hahahaaaaaa! Wallet kutafunwa inaenda DIRECTLY PROPOTIONAL NA DEPRECIATION OF KIDUDE!!!! UKISHAPITA NA WEWE IT WILL NEVER BE THE SAME AGAIN!!!!! LOLEST!!!! (Unless chinese measures are taken ASP) Bila kusahau unaweza kuweka uchakavu ukasepa so INABIDI KUCHARGE PROVISION FOR BAD DEBTS MAPEMAAA! Wapi CPA(T), CMA, ACCA, CFA
 
Tatizo wanawake wanafikiri utamu ndo kigezo tu cha kuolewa au kudumu kwenye mahusiano,, kuna kitu kinaitwa ku match, mpenzi anatakiwa awe rafiki pia kiasi hata ukiwa nae huboreki as mna stories zaidi ya kuambiana I love you...

We nenda public places, njoo kwangu, hata kwako nikiamua kukumega na kukuacha nitafanya tu as kucheza na akili ya mwanamke sio ishu ukiamua..

Wadada mkubali mkatae but men are too smart than ladies when it comes to a love game...

Kuna mdada alimkaribisha mtu kwake akajikuta amepigiwa huko huko kwake ( she loose at home in I first round) mbele ya mashabiki wake, tena kwenye uwanja wake wa nyumbani..

Kwanza siku hizi tupo kwenye capitalist world ambayo time is money.. So mdada akikuweka pending anapotezewa anatafutwa mwingine akija kushtuka anaalikwa harusini...

Hahahaaaaa! Mkata kiu inabidi UNITAKE RADHI RADIO 1!!!! Kwa kunijumuisha na hao WALIWA KIRAHISI!!!! LOL! Kinachowavutia WANAUME NI KIDUDE TUUUUUUU!!!!! Ndo maana unakuta mtu ana marafiki wa UKWEEE au anaishi society vry high class na wadada wa ukweee ila KIDUDE CHA BEKI TATU KIKIMVUTIA ANAOA, AU HATA CHA MDADA TU WA USWAZI! LOL! Ili kuwe na UHUSIANO lazima MVUTO WA KUTAKA KUONJA KIDUDE UWEPO!!!!!

Kuhusu Public places si kweli!!! We umekutana na mtu JACKYS mmetiririsha bier mwanzo mwisho, kila mtu kasepa na usafiri wake, HIYO GAME ITAGONGWA KIMAWAZO TU!!!!!LOL!

Ishu ni kuwa IT DEPENDS ON OPPONENTS, Alie mnyonge ndo inakula kwake.
 
Back
Top Bottom