swali kwa mabinamu na wapwa

unataka kuvunja ndoa za watu weye. Haya turudi kwenye mada. we ungekuwa hujaolewa, afu dalili ya midume kukufukuzia hamna. afu mambo flani unataka kabinti na fweza si matata. Kweli utaacha kutafuta kaserengeti boy ka1 kakupandishe mstima ulete kabinti duniani? Acha kuzuga, sema ukweli.

this is the point, kwamba umri unakwenda ukijicheki unagonga 40 huna bwana au mume, umeamua tu basi hata ungekua na mtoto ingetosha, sasa unadhani kusema sijui uadapti mtoto itakua suluhisho?. Unahitaji kuwa na mtoto wako mwenyew, your own blood, u know waraam'sayin?
 
Mkuu GP achana kabisa mm niliombwa mbegu hivyo hivyo sasa nalazimika kukitunza kiumbe
 
GP umekosea hujasifu huyo bibi anaetaka mtoto ni BOMBA KIASAI GANI! lol
maana najua kwa wengi itategemeana na uzuri wake ....lol

all jokes aside, hiyo si biashara nzuri hata kidogo! leo mtasema mtoto lakini kuna siku atakuwa mkubwa na atakuwa mtu mzima na hisia zake, na ama atachukia baba yake kwa kumzaa na kumtelekeza au atamchukia mama yake kwa kuwa mbinafsi kiasi cha kumkosesha maisha na baba yake au jamaa za baba zake.
 
Wajameni wanaotaka za bure nitafutwe puchu itachubua ....,
 
Mkuu GP achana kabisa mm niliombwa mbegu hivyo hivyo sasa nalazimika kukitunza kiumbe

ilikuaje, hamkuelewana vizuri au??
GP umekosea hujasifu huyo bibi anaetaka mtoto ni BOMBA KIASAI GANI! lol
maana najua kwa wengi itategemeana na uzuri wake ....lol

all jokes aside, hiyo si biashara nzuri hata kidogo! leo mtasema mtoto lakini kuna siku atakuwa mkubwa na atakuwa mtu mzima na hisia zake, na ama atachukia baba yake kwa kumzaa na kumtelekeza au atamchukia mama yake kwa kuwa mbinafsi kiasi cha kumkosesha maisha na baba yake au jamaa za baba zake.

anaetongoza siku zote ni mwanaume, sasa iweje amchukie mama yake ilhali hakutongozwa mkuu?.
 
Mpwa GP mm nilikataa kata kata lakini akanitegeshea mzee akanasa kitu akaniambia mm nikawa mgumu akasema kama tutaachana nitakuwa nimemwachia copy ebwanee ukawa mzigo wangu kuulea mzigo wa mimba na kiumbe chenyewe mpaka sasa natoa pesa mfukoni wkt makubaliano yetu hayawakuwa haya.
 
duh, pole sana mkuu. ishu kama hiyo inatakiwa mkaandikishiane kabisa kisheria isije leta mizengwe badae
 
Binafsi nilshasema nitajitahidi kwa kadri niwezavyo nisizae nje ya ndoa,no mattaer what.Kwa hiyo huyo mdada hata akija na FFU,akioana haitoshi akalete na JWTZ siwezi kukubali.Nimekuwa victim wa kuzaliwa nje ya ndoa and I know how it taste na mbaya zaidi inaendelea kunicosti mpaka hii leo.Hili suala inabidi mtu ufikirie mara mbilimbili,kuna hatari huyo mtoto akawa anakulaani kila kukicha.
 
Na ukimwi je, maana kama anataka umpe mimba ni wazi kuwa hakuna condomu hapo,
 
Binafsi nilshasema nitajitahidi kwa kadri niwezavyo nisizae nje ya ndoa,no mattaer what.Kwa hiyo huyo mdada hata akija na FFU,akioana haitoshi akalete na JWTZ siwezi kukubali.Nimekuwa victim wa kuzaliwa nje ya ndoa and I know how it taste na mbaya zaidi inaendelea kunicosti mpaka hii leo.Hili suala inabidi mtu ufikirie mara mbilimbili,kuna hatari huyo mtoto akawa anakulaani kila kukicha.

Mzee usiape kabisa. Na mwenzako niliwahi kusema hivyo hivyo. Lakini wapi bwana. Unaweza ukakorofishwa mpaka ukajikuta mmeachana au pengine mwenzio kukuacha wakati tayari mna ka baby/babies na jitihada zote za kurudiana kushindikana. Utakaa hivyo hivyo bila kuanzisha mahusiano mwingine uku umri na hali inakuruhusu. Baada ya kuwa kwenye uhusiano mwingine unaweza kukuta mnapata katoto kengine. Watu wanabadilika bwana, kama hayajawahi kukukuta unaweza kudhani hakuna kuachana au wanaochana ni wajinga.
 
Back
Top Bottom