swali kwa mabinamu na wapwa

GP

JF-Expert Member
Feb 5, 2009
2,049
160
mabinamu na wapwa salaam!,
nimekuja kivingine sio kama GP wa juzi, sasa ni GP mpya.
ebana wapwa na mabinamu hivi mfano unakutana na mwanamke anakwambia mfano 'Chrispin wewe ni handsome sana, nimependa niwe na mtoto wa mbegu yako', yani anataka umzalishe katoto kamoja tu gharama zote ni kwake kuanzia kuzaliwa mpka univasite kila kitu. huyo mama yeye ni single, yani hana mume kutokana say na biashara zake na status aliyonayo umr umekwenda hajapata mume, ukishazalisha basi biashara inakwisha, hapa mabinamu na wapwa mnazungumziaje??
 
Mkuu mimi binafsi naona huo mchezo sitaweza kuufanya kwani ndugu hawataelewa kukubali damu ipotee kihivyo labda nifanye kwa siri bila ya kuwahusisha. Pia hiyo inaweza kusababisha ugomvi baadae kwani damu ni nzito mzee, fahamu zinaweza kukurudia ukadai mtoto.
 
mkuu hapo kila kitu utaambiwa wazi, ni kama makubaliano maalum.
na je inakuaje pale unapomega labda kicheche na mbegu kupotea?.vp ukipewa dau?, mama anataka mtoto tu. yani mbegu only
 
Hapo hata mi nakusapoti, Mara ngapi zinapotea bwana? kwenye puli, vicheche, wet dreams n.k.
 
hahaaaaa, mkuu umeniacha hoi!. kweli bana sometimes mbegu zinapotea bure tu kunye nyeto, na kadhilika.
 
Je huyo mama atakubali kuja kunitambulisha kwa huyo mtoto kama baba yake? Kama jibu ni ndiyo binafsi sintokuwa na tatizo juu ya ombi lake baada ya kusaini naye mkataba wa ubaba wangu kwa mtoto, manake haya mambo ya mtoto kuja kuambiwa kuwa babako alishafariki au alikukataa ukiwa mdogo siyafagilii kabisa..
 
mabinamu na wapwa salaam!,
nimekuja kivingine sio kama gp wa juzi, sasa ni gp mpya.
Ebana wapwa na mabinamu hivi mfano unakutana na mwanamke anakwambia mfano 'chrispin wewe ni handsome sana, nimependa niwe na mtoto wa mbegu yako', yani anataka umzalishe katoto kamoja tu gharama zote ni kwake kuanzia kuzaliwa mpka univasite kila kitu. Huyo mama yeye ni single, yani hana mume kutokana say na biashara zake na status aliyonayo umr umekwenda hajapata mume, ukishazalisha basi biashara inakwisha, hapa mabinamu na wapwa mnazungumziaje??

mimi imenitokea mara mbili.mara zote nimekataa kwa sababu
i believe damu yangu ni precious....
Kwetu tuna asili ya uongozi na pesa(leadership and wealth)
so kila mtoto kwetu anathaminiwa.
Hatuachi watoto walelewe bila baba.
Its important.
 
haaa, hili nalo neno mkuu
 
Je huyo mama atakubali kuja kunitambulisha kwa huyo mtoto kama baba yake? Kama jibu ni ndiyo binafsi sintokuwa na tatizo juu ya ombi lake baada ya kusaini naye mkataba wa ubaba wangu kwa mtoto, manake haya mambo ya mtoto kuja kuambiwa kuwa babako alishafariki au alikukataa ukiwa mdogo siyafagilii kabisa..

mama anakwambia yani yeye shida ni mtoto tu, yani mbegu yako tu, then baada ya hapo kazi yako inakua imekwisha. kwani binamu huwa tunakumbuka mbegu tunazopoteza elsewhere?
 
Na nyie nao mnajivungisha tu vitu vyenu mmepewa bure kabisaa bila kulipia vat ..hahahah enendeni duniani mkaongezeke muijaze dunia tetetetete
 
mambo magumu sana haya lakini mi naona wanawake wanaofanyaga hivyo ni wabinafsi sana, hawafai kusaidiwa kufanikisha ubinafsi wao, huyo mtoto atakapokuwa mkubwa na kuuliza baba yake ni nani atamwambia nini?

mtoto anahitaji familia ya baba na mama, kama baba amefariki hiyo ni issue nyingine lakini mtoto anayejua baba yupo ila hayupo on sight kwa sababu kazi yake ilikuwa kumwaga mbegu shambani na kulala mbele lazima ataathirika ki saikolojia

kuna shosti yangu pia anataka kufanya hivyo, nimemshauri kama ana hamu sana ya mtoto a adopt yatima ,wako wengi wazuri tu, baadae mtoto akijua ali adoptiwa kutoka nyumba ya yatima ili apewe mapenzi ya mama atafarijika zaidi, kuliko huyo atakaye gundua mama yake allienda kujiokotea mbegu kiholela na kupuuzia umuhimu wa baba ktk maisha yake
 
Mh mambo ya donation siyo? Si aende kuziweka kwenye Sperm banks? Utajichumia dhambi kibao kwanza unazini, unatelekeza hata kama si makusudi na dhamira itajakushtaki
ila kikubwa hakikisha huwi na mali nyingi maana no matter how far you were after kugawa mbegu ukifa mama atataka mwanae arithi so utaacha kimbembe after your death
 
kuna shosti yangu pia anataka kufanya hivyo, nimemshauri kama ana hamu sana ya mtoto a adopt yatima ,wako wengi wazuri tu, baadae mtoto akijua ali adoptiwa kutoka nyumba ya yatima ili apewe mapenzi ya mama atafarijika zaidi, kuliko huyo atakaye gundua mama yake allienda kujiokotea mbegu kiholela na kupuuzia umuhimu wa baba ktk maisha yake

usiseme kirahisi hivyo, Oooh damu yako ni damu yako tu.
 
mabinamu na wapwa salaam!,
nimekuja kivingine sio kama GP wa juzi, sasa ni GP mpya.
ebana wapwa na mabinamu hivi mfano unakutana na mwanamke anakwambia mfano 'Chrispin wewe ni handsome sana, nimependa niwe na mtoto wa mbegu yako', yani anataka umzalishe katoto kamoja tu gharama zote ni kwake kuanzia kuzaliwa mpka univasite kila kitu. huyo mama yeye ni single, yani hana mume kutokana say na biashara zake na status aliyonayo umr umekwenda hajapata mume, ukishazalisha basi biashara inakwisha, hapa mabinamu na wapwa mnazungumziaje??

Mpwa kama unamjua binti au jimama au mdada anayeweza kutamka hayo maneno kwenye red, please mpe contacts zangu ASAP. Jamani kitu umepewa bure kwa nini ukibanie? Mama angebana mi ningezaliwa? Ila kwenye hiyo blue labda mpwa ufafanue kidogo. Kwamba kabinti (unajua mi na mahaba na watoto wa kike) kakizaliwa ndio basi tena siruhusiwi kukaona? No way meeeen!
 
Naona talaka haiko mbali sana.Wivu sina ila roho inauma.Au unataka kutingisha kiberiti? plz tell me you are just joking!
 
Back
Top Bottom