Swali.ipi dawa sahihi ya asili ya kukuza uume?

Seif al Islam

JF-Expert Member
Nov 14, 2011
2,156
638
Naomba msaada hapa tafadhali kwa ajili ya ndugu wengi ambao wana uume mdogo.ni njia ipi rahisi na salama ya kukuza uume?
 
Unaukuza ili iweje?...afu vp kuhusu mchumba ulipata au ndo uko ktk mchakatooo...
 
Mi mwenyewe niliwah kuuliza swal kama ilo na sikupata jibu sahih zaidi.baada ya kugoogle sana nikapata njia naturally inayoitwa penis enlargement exercise.unachukua taulo na kutosa kwenye maji ya uvuguvugu then unaapply kwenye penis kwa dakika 5 au unatosa penis kwenye chombo chenye maji ya uvuguvugu.then unashika base ya penis kwa vidole(o-shape)then unabinya base meanwhile unapress penis kwa kuelekea chin and other steps.plz google natural wayz of exercising penis-yahoo answers.njia zingine majanga matupu
 
Chukuwa jiwe la kilo mbili. Funga kwenye uume wako kwa saa moja kila siku. Hii ilifanyika toka wakati wa Roman Empire. Haicheleweshi.
 
Kunywa haja kubwa ya mamba mjane ndani ya wiki tu kitu unakichomekea kwenye soksi
 
Mwanamke akikwambie Uume wako ni mdogo wala usifadhaike mwambie yeye ndio ana bwambwa kubwa kama karai.

Sioni uhusiano wowote wa Uuume mkubwa na mdogo kwenye kumridhisha Mwanamke, ni ufundi wako tu Baba.
 
Naomba msaada hapa tafadhali kwa ajili ya ndugu wengi ambao wana uume mdogo.ni njia ipi rahisi na salama ya kukuza uume?

hey!! kama unaona una uume mdogo.. usijisikie vbaya!! FAnya mazoez+ diet, ondoa kitambi kabisaa, yaani uwe na flat tumbo,this itakufanya uwe flexible na pia ur penis will show out!!!

NOTE:
UKUBWA WA PUA SIYO WINGI WA MAKAMASI
 
kazi kweli kweli soma magazeti ya udaku kuna watu wananadi hizo dawa
 
Mi mwenyewe niliwah kuuliza swal kama ilo na sikupata jibu sahih zaidi.baada ya kugoogle sana nikapata njia naturally inayoitwa penis enlargement exercise.unachukua taulo na kutosa kwenye maji ya uvuguvugu then unaapply kwenye penis kwa dakika 5 au unatosa penis kwenye chombo chenye maji ya uvuguvugu.then unashika base ya penis kwa vidole(o-shape)then unabinya base meanwhile unapress penis kwa kuelekea chin and other steps.plz google natural wayz of exercising penis-yahoo answers.njia zingine majanga matupu

Lakini je! ulipotumia ulifanikiwa?
 
hakuna cha dawa wala ndugu yake dawa cha msingi tafuta mwanamke mnayefanana naye kwa maumbile '...........nitakutafutia msaidizi wa kufanana nawe...' wenye fimbo ya Haruni kubwa waachie wenye kubwa wenzao na wenye ndogo washirikiane na wenye ndogo wenzao.vingivevyo utaathirika kisaikolojia maana utakuja ukutane na mwenye nanii kubwa akikohoa kidogo kananii nje kote.
 
Mi mwenyewe niliwah kuuliza swal kama ilo na sikupata jibu sahih zaidi.baada ya kugoogle sana nikapata njia naturally inayoitwa penis enlargement exercise.unachukua taulo na kutosa kwenye maji ya uvuguvugu then unaapply kwenye penis kwa dakika 5 au unatosa penis kwenye chombo chenye maji ya uvuguvugu.then unashika base ya penis kwa vidole(o-shape)then unabinya base meanwhile unapress penis kwa kuelekea chin and other steps.plz google natural wayz of exercising penis-yahoo answers.njia zingine majanga matupu
duuuuh!
 
Mkuu hamna muujiza wa kukuza dick,iyo yako tu kamanda.
tafuta mwenye k ndogo,la sivyo utaumbuka
 
Back
Top Bottom