Swali.ipi dawa sahihi ya asili ya kukuza uume?

Wasikosee wakakudanganya kuwa kuna cream ya kupaka mkuu hapo watakuwa wamekumaliza kwani uume utavimba irregularly
 
Chukuwa jiwe la kilo mbili. Funga kwenye uume wako kwa saa moja kila siku. Hii ilifanyika toka wakati wa Roman Empire. Haicheleweshi.

Wemkaliiiii!!!!! Duh majanga kweli maana nimwcheka mpaka kamac limeni toka
 
Ndugu yangu chamsingi ngoma isimame ,udogo sio inshu ,unaweza kua na kuubwa lakini isisimame.
 
njia iliyopo ambayo nisalama ni kupunguza unene yani kupunguza mafuta mwilini. hayo hufanya uume kuonekana mfupi coz yanameza sehemu ya chini (shina) la uume. njia nyngne zinaweza kukupa matokeo lakjni yenye madhara makubwa baadae ikiwemo kupoteza nguvu za kiume na maumivu wakati wa tendo. size aint the matter ujuzi wako tuu utamfurahisha.
 
Masikini Dah! Falsafa Ya Mwanzilishi Wa Jukwaa HiliNi Ushauri Wa Kitaalamu, Kisaikolojia Na Tiba. Tafakari Kabla Ya Kujibu. Kuna Watu Wanajinyonga Kwa Tatizo Hilo, Watu Hawa Wajengwe Kisaikolojia Kuhusu Fore Play Before Penetration, Pamoja Na G-sport Location, Then They Won't Worry About Penis Size. Na Kama Kuna Tiba Waelekezwe Kwa Wataalamu Nao Wafurahie Mnato.
 
Back
Top Bottom