SWALI: Homo /BI Sexual na straight

I thought bina adamu mashoga na wasagaji wanaweza kujifunza maisha ya uhusino naturally yanavyotakiwa kuwa kutoka kwa wanyama. Sasa kama na wanyama wapo mashoga na wasagaji kaziiii ipo.
 
I thought bina adamu mashoga na wasagaji wanaweza kujifunza maisha ya uhusino naturally yanavyotakiwa kuwa kutoka kwa wanyama. Sasa kama na wanyama wapo mashoga na wasagaji kaziiii ipo.

Unluckily sio hivyo....
Kuna baadhi ya wadudu na wanyama wanadaiwa kuwa homosexual....
Cheki hii link ya wikipidia
 
Dolphins wao pia wana hiyo tabia ya ushoga, infact hata kuku na ndege maana kuwa nashundwa kujua kwa mfano kuku huwa anagonga ana anakula tiGO? maana nimeshachunguza sana kuku sioni nananii yake naona kijambio tu!
 
Hahahahah.
Kwa hiyo jamii ya ndege kinyeo=kikojoleo?
 
wanaoangalia wanyaa watajua haswa hao kwenye mbuga...ukienda national parks uliza pia vijana hao
 
Dolphins wao pia wana hiyo tabia ya ushoga, infact hata kuku na ndege maana kuwa nashundwa kujua kwa mfano kuku huwa anagonga ana anakula tiGO? maana nimeshachunguza sana kuku sioni nananii yake naona kijambio tu!
teh teh:redfaces:
 
Its true that homosexuality exists in other animal species.There are so many animals but to mention one, it is pigs.Just go to youtube and type gay pigs II ,you will get what I mean.
 
Ukiondoa Binadamu( Homo sapiens) kuna jamii yeyote ya species katika kundi la wanyama aina ya mamalia katika mahusiano linauwezo wa kujihusisha na Ushoga au usagaji.?
I mean kuna species yeyote katika mamalia zaidi wanaweza kuwa homo/Bi sexual na sio Straight?

Nawasilisha kwa mjadala na majibu

Some mammals when are on heat may mount on another of the same sex, that is common with cows and pigs but only as a sign of heat. For birds, that is not "tigo" per se. It just happens that the female vent is inside the end part of alimentary canal so it looks like the jogoo is "eating" tigo. All being said, you should know that Homosexuality is an abnormality-deviation from the normal. It is dirty, unnatural, ugly and evil. Some religious people argue that even Satan the Devil himself can not watch people doing it, because it is unsightly and disgusting.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom