Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Eti utafanya nini ikiwa unaamka ashubuhi unafungua dirisha halafu unakuta nje hakupo??????
Hapo kwenye red ndio saa ngapi maana mleta uzi sijui ni msomali?Eti utafanya nini ikiwa unaamka ashubuhi unafungua dirisha halafu unakuta nje hakupo??????
Hapo kwenye red ndio saa ngapi maana mleta uzi sijui ni msomali?
Nitajua kumeingia ndani.
Eti utafanya nini ikiwa unaamka ashubuhi unafungua dirisha halafu unakuta nje hakupo??????