Swagga za wadada tunaokutana nao mlimani city.

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Kila mdada ninae kutana nae maeneo ya mlimani city anajifanya ana swagga za kimarekani,swagga zenyewe zko kwenye ki-inglishi,yan ukimsemesha tu utackia anakumwagia slang za kufa mtu as if tuko kule brooklyn-new york...cha ajabu ukimtupia maneno kumi mfululzo ya english anarudi mwenyewe kwenye kiswahli,sa najiulza wengi wao pale huwaga wanaenda kununua vitu au wanakua wako mawindon?
 
maliza chuo kwanza uachane na disco watakutafuta hao mpwa ..isije ni nyie mnasimam kwenye koridor za game nikihisi walinzi lakini mbona ma brazamen kumbe mko kazini
bigup br's
 
wabeba mabox wako vakesheni tz
wamekuja kuangalia foleni za dar

We Kongosho wacha maneno yako, unafikiri kila aliyeko Ulaya/USA ni mbeba Mabox! Ka! watu tunakazi zetu huku kaka, siyo lazima wote tuwe Dar.
 
mbona limekuhusu peke ako
mbona wengine hapa wanajiita maraisi wa wabeba mabox na wala hawawi ofended?
Hivi unadhani ni kweli wanabeba mabox?

Nimeponda kichakani sikujua litakupata weye, pole.

We Kongosho wacha maneno yako, unafikiri kila aliyeko Ulaya/USA ni mbeba Mabox! Ka! watu tunakazi zetu huku kaka, siyo lazima wote tuwe Dar.
 
Lol...
Niliimisije jf?
Mlimani city pale ndio pa kuuzia nyago!
Una simu toleo jipya nenda kajisho pale..
Umesagula au umetumiwa kimini chako hujiami kupita nacho huku uswazi kwetu we tinga kajioneshe pale.
Na engagement ring nayo ni fashen mlimani siti,mdada kama hana ataenda kuomba ya wifiake!
Kama umewahi kusimama kwny foleni za atm ndio utaona mengi,
loh,sijui kwanini NMB wamehamishia nje wateja wanakosa show.
 
Kila mdada ninae kutana nae maeneo ya mlimani city anajifanya ana swagga za kimarekani,swagga zenyewe zko kwenye ki-inglishi,yan ukimsemesha tu utackia anakumwagia slang za kufa mtu as if tuko kule brooklyn-new york...cha ajabu ukimtupia maneno kumi mfululzo ya english anarudi mwenyewe kwenye kiswahli,sa najiulza wengi wao pale huwaga wanaenda kununua vitu au wanakua wako mawindon?
sura za kitambaa zinakuangusha wanakuchukulia pimbi!
 
Siku moja nlishakaa kwenye ki-benchi kimoja hivi cha mbao nje ya Vodashop,
Nikamuona mmoja akipita mpaka mwisho na kurudi,
Na kupita tena na kurudi,
Nkajua tu ni mawindoni.com
 
Wabongo tunapenda sana kua juu hela hatuna tunakoga vumbi hadi kwenye meno,watu wana magari mabaya makuu lakin akija mliman city akipark pale anatanua mikono utafikiri ameshuka ndani ya Maybach or Aston martin wananikera kinoma,au hawamuoni hasheem thabit akija pale anapark vogue nyeusi fresh tu wewe na ki-collora chako cha 89 unatanua makwapa
 
Wewe King Kong jikune ujipatapo. Sasa ikiwa Hashim Thabeet anapark vogue ndiyo na sote tuanze kutafuta mavogue?

Wacha turinge na hivyo hivyo Mungu alivyotubarikia hata kama ni Vistarlet, Vitz au Nissan March. Kwanza hivyo havili mafuta kwenye foleni za Dar, jaribu kuringa na hilo vogue lako uone kama utaliweza kwa mshahara wa Tz.
 
Back
Top Bottom