Swagga za wadada tunaokutana nao mlimani city.

Kila mdada ninae kutana nae maeneo ya mlimani city anajifanya ana swagga za kimarekani,swagga zenyewe zko kwenye ki-inglishi,yan ukimsemesha tu utackia anakumwagia slang za kufa mtu as if tuko kule brooklyn-new york...cha ajabu ukimtupia maneno kumi mfululzo ya english anarudi mwenyewe kwenye kiswahli,sa najiulza wengi wao pale huwaga wanaenda kununua vitu au wanakua wako mawindon?

Umenichekesha sana
 
my wifew Madame B ana' phd kuhusu hao watu atakusaidia
!
 
Last edited by a moderator:
lol...
Niliimisije jf?
Mlimani city pale ndio pa kuuzia nyago!
Una simu toleo jipya nenda kajisho pale..
Umesagula au umetumiwa kimini chako hujiami kupita nacho huku uswazi kwetu we tinga kajioneshe pale.
Na engagement ring nayo ni fashen mlimani siti,mdada kama hana ataenda kuomba ya wifiake!
Kama umewahi kusimama kwny foleni za atm ndio utaona mengi,
loh,sijui kwanini nmb wamehamishia nje wateja wanakosa show.

nimecheka sana kwa kweli.
 
Back
Top Bottom