Suzuki carry zinakodishwa

tally

New Member
Oct 10, 2012
4
1
Hi wana jamvi
ninakodisha suzuki carry za mizigo myepesi (cc 650) kwa dar es salaam - kutwa shilingi elfu hamsini mafuta kwako dereva ni mimi mwenyewe ukishalipa pesa ya kutwa basi. Inatumia mafuta lita moja kilomita 15 - 20. Namba yangu ya simu ni 0658 950 561 ukiihitaji nitaarifu ninapendelea unitaarifu siku moja ikishindikana nitaarifu masaa machache kabla ili nijipange kabla otherwise you can pm me for more discussions
karibuni na asanteni
 
Back
Top Bottom