Suzuki carry inauzwa

mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
80,857
106,096
Gari nliyoitaja hapo inauzwa fasta bei Cher gari ni nzima haina shida yoyote.
Bei yake ni 5 milion
Ina 4wd,ina gear tano
Inapatikana Dar es salaam kwa mawasiliano piga sim 0715591141
 

Attachments

  • 20151126_064217.jpg
    20151126_064217.jpg
    773.3 KB · Views: 436
  • 20151126_064201.jpg
    20151126_064201.jpg
    639.5 KB · Views: 390
  • 20151126_064154.jpg
    20151126_064154.jpg
    529.8 KB · Views: 367
  • 20151126_064145.jpg
    20151126_064145.jpg
    708.4 KB · Views: 368
Mbona picha zimekaa kinyume na maumbile? Hadi mtu upige sarakasi katika laptop au uipindue ndio uzielewe.
 
Kama misimu mingine iliyopita JAPAN
Kama kawaida kamapuni ya magari ya japani inaendelea kutoa zawadi ya magari ya bure msimu huu wa sikukuu sasa ili kujua jinsi gani unaweza pata gari hizo ingia kwenye links hii
Xmas Car Giveaway 2015 | Car From Japan

We acha upumbavu wako,kila post tuu unaingiza uzuzu,si uwaambie wa kwenu wakachukue gari bure.
Unaharibia wenzio tangazo tu,ebbo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom