Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 734
Angalia mfuko wa suti ulivyo vimba, bila shaka kaiweka hapo.Si nasikia jamaa alikuwa bondia wa usalama wa taifa.
Hizo training shoes zinaonyesha ametoka kwenye mchakamchaka.
Na hiyo suti imeficha gu basitola
wanaanzisha na sisi tunaiga.
Alafu wewe mfukunyuzi hiyo avatar yako si kuna mrembo humu jamvini inamchefua!
Nani tena huyu inamchefua alonge basi nimsikilize??
Ingia kwenye jukwaa la mapenzi utakutana heading "HII AVATAR INANIKWAZA"
Utaona watu walivyoua ila usiwaambie kama mi ndo nimekutonya kaka.
Noma kweli kweli ngoja nitome ndani nione
Kivipi?angekuwa mkaburu msingeshangaa!!Staili mpya jamani
Hiyo avatar yako ati wanasema unatangaza biashara ya kufukunyuliwa! Sielewi!
Ingia kwenye jukwaa la mapenzi utakutana heading "HII AVATAR INANIKWAZA"
Utaona watu walivyoua ila usiwaambie kama mi ndo nimekutonya kaka.