Suti na raba akivaa MREMA nongwa!

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
mrema1bc.jpg
 
Si nasikia jamaa alikuwa bondia wa usalama wa taifa.
Hizo training shoes zinaonyesha ametoka kwenye mchakamchaka.
Na hiyo suti imeficha gu basitola
 
Mwacheni mzee wa watu. Labda kashauriwa na daktari asivae ngozi....
Hivi ilikua wapi hii?
 
Si nasikia jamaa alikuwa bondia wa usalama wa taifa.
Hizo training shoes zinaonyesha ametoka kwenye mchakamchaka.
Na hiyo suti imeficha gu basitola
Angalia mfuko wa suti ulivyo vimba, bila shaka kaiweka hapo.
 
wanaanzisha na sisi tunaiga.
Alafu wewe mfukunyuzi hiyo avatar yako si kuna mrembo humu jamvini inamchefua!
 
Ingia kwenye jukwaa la mapenzi utakutana heading "HII AVATAR INANIKWAZA"
Utaona watu walivyoua ila usiwaambie kama mi ndo nimekutonya kaka.

Sa broda Ndibalema, mbona unaongea kwa kelele, huoni hata mi nimekusikia
 
Back
Top Bottom