Support System...

Hiyo case ya sweden nimeona picha za watoto; wa kwanza ni black wa pili ni chotara. Je alikuwa mke wa mdhungu???
 
Je yeye alikuwa entitled kupata huo msaada?, manaake samtaimu sisi waafrica tunafuja wenyewe kwenye haya masuala halaf tunaanza kuforce. Inaelekea huyu mama alipoteza kazi yake bila sababu zinazokubalika kisheria na halaf akalejea social kuclaim benefit. But still alikuwa na option ya kuwakabidhi hao watoto kwa social security kama yeye hakuwa na income yoyote (though sijui system ya sweden ikoje, lakini i guess system za ulaya zinafanana)

Well kujibu swali la kwanza nadhani watoto ndo wangekua kwenye mawazo yao wakati wanamkatalia. Hata kama alikua mzembe mpaka kufikia kupoteza kazi je watoto wao walifanya uzembe gani hata kustahili kuishi nyumba isiyo na umeme?
Kwanini mzazi alazimikekuwa mbali na watoto wake wakati huo msaadaambao hao watoto wangepewa kwingine angeweza kupewa mama yao mpaka pale ambapo angerekebisha mambo yake?

I mean kama mwanzoni dada wa watu alikua responsible kiasi cha kutosha kufanya kazi na kulea watoto wake kwanini all of the sudden alazimike kuwaachia watoto wake as if she no capable?

Inawezekana kitu kama hichi (kuwaacha wakalelewe kwingine ) kilijitokeza na ndicho kilichomchanganya. Naweza kuelewa kwamba kwa mtu ambae tangu mwanzoamejitahidi kuhakikisha watoto wake wanaishi vizuri kitu kama hicho asingekipokea vizuri.
 
Labda nikubaliane na wewe kwa upande wa kibinadamu, lakini msukumo unakuja kwamba hawa wenzetu wanajali sana utawala wa sheria na mara nyingi sheria zao ni ngumu kuziruka (ingawa wengine wana ubaguzi pia, hili sibishi) , Lakini pia nina hakika zilikuwepo steps za kuchukua kabla ya kuamua kuwauwa hao watoto.
Je kuwauwa kwake watoto kumemsaidia nini?, I dont beleive kwamba hiyo ndio ilikuwa the last option kwa huyo mdada!
Wazungu ni w ashenzi lakini kuna janja zao za kwenda nao kis henzi shenzii
 
Kweli hiyo haikua last option.....ila kwa wakati huoambao yeye hakuona pakutokea alidhani ndio sahihi. Iwapo angemshirikisha mtu anamjali matatizo yake pengine hii kesi isingekuwepo maana angeshapata support na nguvu ya kumfanya aendelee kupambana kwaajili ya watoto wake.

Alafu ukiachiliambali serikali..........
kama angekua karibu/wanaelewana/anamwamini baba wa mtoto wake wa pili nae angekua anamjali pengine angemsaidia kwa muda. Ila kama alishindwa kwenda kwake kumuomba msaada inaonyesha kwamba hakua na imani angesaidiwa.
 
Owwkey mchumba, sasa nimekupata. uko sawa kabisa na ni ushauri wa busara sana, lakini pia tunatakiwa tuwe na tahadhari na wa kushare nao mawazo yetu, wengine wanaongeza depression.
 
mimi mwenyewe,kuongelea mambo yangu ni ngumu.ila kuna mtu humu jf,namshukuru sana,nikiwa down,ananisaidia kimaongezi,nakushukuru mno,kupata rafiki ambae sijategemea.najua utausoma huu ujumbe wangu.msaada saa nyengine maneno tu,huwa yanasaidia
Nimeupokea ujumbe! ubarikiwe sana kwa kunishukuru.
 
Kweli hiyo haikua last option.....ila kwa wakati huoambao yeye hakuona pakutokea alidhani ndio sahihi. Iwapo angemshirikisha mtu anamjali matatizo yake pengine hii kesi isingekuwepo maana angeshapata support na nguvu ya kumfanya aendelee kupambana kwaajili ya watoto wake.

Alafu ukiachiliambali serikali..........
kama angekua karibu/wanaelewana/anamwamini baba wa mtoto wake wa pili nae angekua anamjali pengine angemsaidia kwa muda. Ila kama alishindwa kwenda kwake kumuomba msaada inaonyesha kwamba hakua na imani angesaidiwa.

Lizy mm nadhani huyo atakua alidata tu baada ya kuona kibarua kimeota nyasi, then may b atakua hajazoea shida, kwani wangapi wanaishi kwa kubangaiza na maisha yanasonga tu.
Kama vp angerudi kwao Kenya tu.
 
mimi mwenyewe,kuongelea mambo yangu ni ngumu.ila kuna mtu humu jf,namshukuru sana,nikiwa down,ananisaidia kimaongezi,nakushukuru mno,kupata rafiki ambae sijategemea.najua utausoma huu ujumbe wangu.msaada saa nyengine maneno tu,huwa yanasaidia

Wakati mwingi maneno ya kutia moyo is all it takes.Hopefully na wewe unamsaidia kimawazo pale anapohotaji.

Dah...........
Sasa ndo nini kuguna na kuacha mambo hewani?
 
Lizy mm nadhani huyo atakua alidata tu baada ya kuona kibarua kimeota nyasi, then may b atakua hajazoea shida, kwani wangapi wanaishi kwa kubangaiza na maisha yanasonga tu.
Kama vp angerudi kwao Kenya tu.

Inawezekana kabisa Mtumishi.
Watu tunatofautiana level ya matatizo tunayoweza kukabiliana nayo....inawezekana huyu dada kupoteza kazi ilikua ni zaidi ya tatizo analoweza kukabiliana nalo.

Hehehehe kurudi nyumbani nako kugumu kweli....ukizingatia labda watu wanyumbani walikua wanamtegemea yeye na hajui akirudi ataanzia wapi.
 
Suala la kizushi: hivi anonymous cyber/online friends lets say wa hapa JF au social networks nyengine haiwezi kuwork hii idea yako?
kwa aibu zangu mimi,kwangu mimi,ni best option.kulooongaaa weeeee,nikamwaga kila kitu face to face,huwa siwezi.huwa inachukuwa muda mrefu,kumzoea mtu na kuunda urafiki
 
Back
Top Bottom