Supersport na beIn Sports, nani zaidi?

Mkuu natuma PM inagoma.....

Bein decoder ni 385usd
kulipia kwa mwaka ni 230usd

decoder imeshuka bei na kulipia kwa mwaka wamepandisha, mwaka jana decoder ilikuwa 550usd na package ilikuwa 100usd tu kwa mwaka.
Inapatakanaje mkuu
 
Ninatumia "Bein" decoder, ina chanel za movie nyingi mno pamoja na na za cartoon na za wanyama pia akina national geographic nk..... bein sport 1-19 kwa ajili ya sports pamoja na fox sports.... kwa hiyo siyo kweli kuwa ni ya michezo peke yake. bein iko vizuri kulinganisha na dstv kwa maoni yangu. na chanel zote za michezo ni High definition.
Decorder naipataje? naihitaji sanaaaa
 
Back
Top Bottom