Super coach mziray afikisha mwaka mmoja leo tangu atutoke

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Super coach syllsaid mziray mzee wa ngebe leo amefikisha mwaka mmoja rasmi tangu atutoke mwaka jana
uongozi na wachezaji wa yanga unawapa pole kwa ndugu na jamaa wote wa mziray na ushindi wetu wa jana
ni kwa ajili ya supercoach wetu hayati s mziray
mungu akuweke mahali pema pepon wasalimie saidi mwamba kizota na wote huko


bwana ametoa bwana ametwaa jina la bwana libarikiwe
 
Back
Top Bottom