Ndugu zagu naomba tumpuuze mwandishi pamoja mhariri wa hili gazeti. Wana malengo mabaya sana ya kumsafisha huyu mama ambaye dharau zake na utendaji wake wa kibabe vimegharimu maisha ya watanzania wenzetu. Wamesukumwa na rushwa na hawako makini katika kazi zao.