Summry ya Kigoma - Dar yapata ajali mbaya

hivi kwa nini hii migari haifungiwi ilhali inasababisha ajali kila kukicha! wana fungia Dar Express wanaacha Sumry! such a weird!
 
Dereva kuwa majeruhi sio justification eti ni ajali ya kawaida!!!!! Dec last yr bus 2 za kampuni ya super feo walikuwa wakishindana wao kwa wao, after 1hr journey superfeo la pili likaanguka baada ya dereva kuishindwa kona just b'se ya kumkimbiza mwenzie, watu kadhaa walikufa, dereva alikatika mkono, zen we cant justfy kuwa ilkuwa ajali ya kawaida just b'se dereva didnt die!!!

Naikumbuka hii,tena ilitokea kule kule mkoani Ruvuma asbh wakienda Dar,was bad, ila Sumry funga kazi ni siku 7 tu zimepita tokea jingine liue Mtandika pale mbele kidogo ya al jazeera hotel
 
DUH! KuNA BASI LINALOPIGA TRIPU YA DAR-KIGOMA.. NAFIKIRI LITAKUWA LINACHUKUA WEEK NZIMA NJIANI.. KiGOMA NI MBALI JAMANI.
 
Sumatra wamelala fofo. Inamaana sheria zenu zinachagua?.

Acheni ujinga, hawa Sumry wanatumaliza.
 
Sumatra wamelala fofo. Inamaana sheria zenu zinachagua?.

Acheni ujinga, hawa Sumry wanatumaliza.

NYIE SUMATRA NIKISIKIA MMEIFUNGIA KAMPUNI YA SUMRY YANI WOTE NAWAFUKUZA KAZI, FUNGIA DAR EXPRESS NA WALE WENGINE LAKINI SIYO KAMPUNI YA SUMRY. Jamani tutakwisha!
 
mmiliki wa sumry katokea kijiji kimoja kinaitwa laela kipo sumbawanga alianza na gari moja 1995 na kapitia magumu mengi
 
jamaa ni wakopaji wazuri na warejeshaji wazuri hakuna pia ni creative maana magari yao mapya hakuna wakulingana nao
 
Back
Top Bottom