Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 46,964
- 32,365
Acha unafiki uliokithiri kijana. Leo unamuona Sumaye mnafiki sababu kasema ukweli ambao wengi wenu hampendi kuusikia. Badala ya kuzungumzia mauaji ya sasa unarudisha CD nyma ili usikilize nyimbo za zamani. Haya yanayotokea na hata hayo aliyoyafumbia macho Sumaye, ni matokeo ya udhaifu wa serikali ya CCM, usimnyoshee kidole Sumaye, unafiki ni kawaida yenu CCM kuanzia raisi na wengineo wote.
Mkuu kwa hiyo yakitokea mauji mapya ya zamani yanakuwa expire?