SUMATRA mmelala?

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Dec 27, 2012
10,198
25,517
Karibu mabasi yote ya Ubungo-Mlandizi yanaishia Kongowe hasa wakati huu wa usiku.Nijuavyo,hakuna hata daladala moja iliyopewa 'ruti' ya Ubungo-Kongowe kwasasa. Halafu,hata Askari wa Usalama barabarani pale Mailimoja wanasikia kabisa daladala zikitangaza kuishia Kongowe lakini wanakaa kimya. Mnataka abiria wa Mlandizi wachukue hatua gani? Kwani nyinyi SUMATRA mmeanzisha Ubungo-Kongowe?

Fanyeni kazi yenu ili abiria wa Mlandizi wasianzishe uasi...
 
Pole mkuu, kwa nini humkupeleka malalamiko rasmi kwa huyo traffic kuwa jamaa amekataa kuwapeleka Mlandizi.
 
Karibu mabasi yote ya Ubungo-Mlandizi yanaishia Kongowe hasa wakati huu wa usiku.Nijuavyo,hakuna hata daladala moja iliyopewa 'ruti' ya Ubungo-Kongowe kwasasa. Halafu,hata Askari wa Usalama barabarani pale Mailimoja wanasikia kabisa daladala zikitangaza kuishia Kongowe lakini wanakaa kimya. Mnataka abiria wa Mlandizi wachukue hatua gani? Kwani nyinyi SUMATRA mmeanzisha Ubungo-Kongowe? Fanyeni kazi yenu ili abiria wa Mlandizi wasianzishe uasi...
kaka PEPSI hata wewe mwanasheria unalalamika wapeleke tu Mahakamani, so far mimi huwa sishuki hata kama nimebaki alone abiria wa Mlandizi.
 
Back
Top Bottom