Hiram Abiff
JF-Expert Member
- Apr 14, 2013
- 896
- 676
Zipi ni propaganda sasa, kama unakiri wazi wazi kuwa waarabu walijishughulisha na utumwa ZanzibarHiram,
Hakuna anekataa kuwa hapakuwapo na biashara hiyo.
Kinachokataliwa ni zile propaganda.
Zipi ni propaganda sasa, kama unakiri wazi wazi kuwa waarabu walijishughulisha na utumwa ZanzibarHiram,
Hakuna anekataa kuwa hapakuwapo na biashara hiyo.
Kinachokataliwa ni zile propaganda.
Hiram,Zipi ni propaganda sasa, kama unakiri wazi wazi kuwa waarabu walijishughulisha na utumwa Zanzibar
Nimepokea ushauri wako na mimi nakupa ushauri nenda kasome kuhusiana na Moresbay Treaty 1822Hiram,
Huu ni ushauri wangu kwako.
Ukitaka kuwa msomi mzuri jilazimishe kuweka kichwa chako
wazi kupokea fikra mpya.
Ukikifunga kichwa chako daima utakuwa na fikra hizo hizo
zako hutojifunza kitu kipya.
Hebu nenda kasome Transatlantic Slave Trade na Belgian
Slavery.
Hiram,Nimepokea ushauri wako na mimi nakupa ushauri nenda kasome kuhusiana na Moresbay Treaty 1822
Upime nini kwa kuwa wewe una uwezo gani wa kupima watu wengine? Kasuku au panya wa mpiga filimbi wa HamelinMzee acha porojo hebu leta historia yako juu ya Zanzibar tuipime na ukileta hapa leta historia na sio hisia na udini
Safari,
Ukiwa unataka maskhara na mimi hii si tabu hata kidogo mimi
ni mtu wa maskhara sana na ninaweza kukupa majina yangu
mengine ukawa unayatumia kuniita.Maskhara baina ya watu ni dalili njema ya mapenzi.
Lakini hapa tuko katika majadiliano mazito sitopenda tuingine
utani.Bibi yangu yeye akiniita Mwamedi.
Siku akifurahi nakuwa ''bwana.''
Safari,Hakika hasira ni mtambo wa khasara.........kuniita miye "bibi" yako ni dhahiri ya mapungufu yako hata kwa umri ulonao......kwa heri "bwana"
Nimekwambia kwaheri "bwana"Safari,
Siwezi kukosa adabu kiasi hiki.
Soma vizuri hilo bandiko na hiyo sentensi.
Nimesema:''Bibi yangu (yaani nyanya yangu)
akiniita mimi ''Mwamedi.''
Sina maana wewe nakuita bibi yangu mie.
Safari,Nimekwambia kwaheri "bwana"
Pamoja na tafauti zetu kisiasa na kimaisha bado nakuheshimu kwa kuwa u mcha mungu na naamini hata lafajiri hii umetoka msikitini........mimi nimekusamehe "bwana". Hakuna haja ya kulumbanaSafari,
Unaniaga ukiwa katika fikra kuwa nimekutukana.
Hiki ndicho kinachonitia unyonge.
Ndugu yangu hebu soma jibu langu na tusafiane
nia.
Sijakutukana mdogo wangu.
Safari,Pamoja na tafauti zetu kisiasa na kimaisha bado nakuheshimu kwa kuwa u mcha mungu na naamini hata lafajiri hii umetoka msikitini........mimi nimekusamehe "bwana". Hakuna haja ya kulumbana
Safari,
Sawa umenisamehe nakushukuru.
Lakini nakuapia kwa jina la Allah sijakutukana.
Safari,Nakuaomba usome mistari hii kaka
Surat An-Nisa, 149
Surat Ash-Shura, 40
Inabidi urudi nyuma sana katika historia na uelewe evolution ya human society. Ni topic ndefu sana ila slavery ni moja ya stages zake. Baada ya jamii mbalimbali kuivuka hii stage ilibidi watumwa watafutwe mbali zaidi. Hawa wauza watu walipofika huku Afrika walikuta mali za quality ya juu maana mungu ametujaalia sana waafrika katika physique lakini si katika maarifa. Jamaa walitumia maarifa kutufanya watumwa. Walipomaliza all able bodied elements kwenye coastline wakaingingia interior zaidi. Ndio maana leo hii watu wa pwani wengi narenare sana.....A sorry to say this.....
Inabidi urudi nyuma sana katika historia na uelewe evolution ya human society. Ni topic ndefu sana ila slavery ni moja ya stages zake. Baada ya jamii mbalimbali kuivuka hii stage ilibidi watumwa watafutwe mbali zaidi. Hawa wauza watu walipofika huku Afrika walikuta mali za quality ya juu maana mungu ametujaalia sana waafrika katika physique lakini si katika maarifa. Jamaa walitumia maarifa kutufanya watumwa. Walipomaliza all able bodied elements kwenye coastline wakaingingia interior zaidi. Ndio maana leo hii watu wa pwani wengi narenare sana.....A sorry to say this.....
Mkuu unahoja.Inabidi urudi nyuma sana katika historia na uelewe evolution ya human society. Ni topic ndefu sana ila slavery ni moja ya stages zake. Baada ya jamii mbalimbali kuivuka hii stage ilibidi watumwa watafutwe mbali zaidi. Hawa wauza watu walipofika huku Afrika walikuta mali za quality ya juu maana mungu ametujaalia sana waafrika katika physique lakini si katika maarifa. Jamaa walitumia maarifa kutufanya watumwa. Walipomaliza all able bodied elements kwenye coastline wakaingingia interior zaidi. Ndio maana leo hii watu wa pwani wengi narenare sana.....A sorry to say this.....
TawfiqSafari,
Nimezisoma ndugu yangu.
Does it change the fact on how the slaves were obtained? And the pain?Mkuu unahoja.
Lakini kuna tofauti Kati ya slavely kama mfumo waaisha (mode of production) katika human evolution Na Slave kama Slave trade!
Jamii zote zimepitia mfumo wa "utumwa" lakini sio jamii zote zimefanya au kupitia biashara ya utumwa!
Mkuu SafariDoes it change the fact on how the slaves were obtained? And the pain?
FYI kabla ya pesa kuwepo watumwa walikuwa wanachukuliwa kwa nguvu. No payment or compensation na medium ilikuwa ni vita. Kijiji chenu kinavamiwa na mnachukuliwa utumwani. Hata huku kwetu akina Mirambo na Mkwawa (japo leo ni mashujaa) walifanya sana haya mambo wakati ule. Yule Tipu Tip baadae alikuwa nawanunua hawa watumwa kutoka kwa hao mashujaa wetu. Historia bahati mbaya ni mbaya
Kuna sinema inaitwa Afrika Addio / Africa blood and guts , inaonyesha live jinsi waarabu walivyokusanywa na kuuawa kikatili siku ya mapinduzi 1964. Pande zote za kisiasa zanzibar wana makosa ya kihistoria. Wanahitaji truth and reconciliation ili vizazi vijavyo viishi kwa mshikamano.Watanzania wengi hawafahamu kwamba kuliwahi kuwa na mauaji ya kimbari(genocide + ethnic cleansing) zanzibar baada ya the so called mapinduzi.ni wachache wanaofahamu kuwa kina karume hawakuwepo kabisa zanzibar wala kuhusika kwa namna yoyote katika mapinduzi yale ingawa sasa anaadhimishwa kama shujaa wa mapinduzi.kaka Mohammed Said na wanazuoni wengine naomba msaidie kutujuza wananchi kuhusu historia sahihi ya zanzibar na kuwepo awareness kuhusu ile Genocide ya mwaka 1964.Pia tufahamu chimbuko la mgogoro uliopo sasa maana unaonekana mizizi yake ni mirefu sana.
Kweli kabisa wote wanamakosaKuna sinema inaitwa Afrika Addio / Africa blood and guts , inaonyesha live jinsi waarabu walivyokusanywa na kuuawa kikatili siku ya mapinduzi 1964. Pande zote za kisiasa zanzibar wana makosa ya kihistoria. Wanahitaji truth and reconciliation ili vizazi vijavyo viishi kwa mshikamano.