Sukari imegeuka shubiri, msemaji mkuu wa LulzSec kitanzini!

Una Ushahidi gani kuwa MziziMkavu ameweka Spamming hii Thread?

Si unaona ile comment yako uliyo copy comment na picha zao za fb imetolewa. Ungecopy comment tu sasa na picha ya kila mwenye comment. Comment zaidi ya 40.

Hiyo inaitwa ni spamming au flooding.

Samahani lakini ndo hivyo
 
ile picha na Chat zao hao Wezi Wa Computer Hacker nilizoweka nilikuwa ninaonyesha kwa jinsi walivyokuwa hao Wezi
wanavyoiba watu Siri zao na wavokuwa wanatamba Eti hawaogopi kitu sikuwa na nia mbaya ingawa wewe hukunielewa ndio maana ukani Report kwa Moderator Asante sana Mkuu zing siku nyingine kabla huja M Report Mtu muulize Maswali kwanza sio wewe unakimbilia Polisi kabla hujamjuwa huyo mtu alieweka hizo picha amekusudia nini? kuwa Muangalifu sana kum Report Mtu, asante
 
Haya mziimkavu ila kasome nilichoandika kwenye thread inayokuhusu kule kwenye jukwaa la malalamiko. Nondo unaoshusha hapa sometime ni nzuri lakini sometime unajisahau mkuu. unaweka kitu huhakiishi kama kimepangia vizuri.

Narudi tena sikutaka wewe upigwe ban nilipenda waifute tu ile comment sababu niliona ni uchafu. Kama huamini iweke tena ile comment alafu uliza maoni ya wadau wanaionaje.

Pole sana endelea kumwaga nondo kwenye jukwaa letu
 
nilifikiri umeshamaliza kuzungumza bado unaendeleza mazungumzo Mzungu wa ( spamming au flooding) tufundisheni nini maana ya spamming au flooding? Sisi wengine hatujaenda Shule tumesoma shule za chini ya Mti wa Muembe Enzi za Ukoloni hahhahahahahah
 
Back
Top Bottom