Sugu ni Jiwe la MSINGI!

Yaani Mwita Nashindwa kukuelewa kabisa ndugu yangu, inawezekana katika maisha yako hujaona watu ambao ni JIWE LA MSINGI na elimu ndogo!? Mzee wetu Rashid Kawawa wakati anachukua uwaziri mkuu alikuwa na elimu gani? Mzee wetu ambaye mpaka sasa tunamkumbuka kwa busara na uongozi thabiti Abeid Karume naye unamzungumziaje? hao wote hapo waliiongoza hii nchi mpaka ikawa ni mfano wa kuigwa. Angalia ambao ni wasomi Benjamin Mkapa, Jakaya Kikwete, Edward Lowasa, Andrew Chenge na wengine wengi wa aina hiyo wametupeleka wapi mpaka sasa.? Elimu ya Sugu sio iliyompatia Ubunge bali ni namna yake ya kujenga Hoja na Kuitetea. nitajie mwenye elimu kubwa katika chama chako cha magamba ambaye ameweza kutumia elimu yake kuwaokoa Watanzania katika matatizo kibao. Ndio, Elimu ni muhimu sana ktk maisha ya mwanadamu lakni kama CCM wameshindwa kuwapa elimu Watanzania wengi akiwemo SUGU unatazamia tutaongozwa na nani?

PUNGUZA DHARAU NDUGU YANGU, HIYO ELIMU YAKO ITUMIE KUELIMISHA WENGINE BADALA YA KUWAKEJERLI.
jiwe la msingi lipo kwa kila kundi kwani kwa vilaza sugu ni strong base yao. lakini kinyume na hapo samahanini na mtuwie radhi, tunajuta kipofu kushika taa na kuwaongoza wenye macho
 
Sugu ni mmoja wa wapambanaji wa mwanzoni kwenye muziki wa kizazi hiki, hili halina ubishi!
Lakini mwisho wake kaharibu, amefilisika kimuziki na kifikra!
Kuona wenzake wanapanda juu na kupata promo hataki! Anataka aendelee tu kuenziwa!
Poor him!
Hint: Siasa nayo imemshinda! Akikosa ubunge 2015 ataanza tena kulitukana bunge
promo, wizi mbona hamzungumzi yaliyo ya kweri.kuimba kaimba sugu kutajirika clouds achenikutetea ujinga.ccm hawako hivyo
 
Sugu kuna kitu cha ukwel ambacha anapigania,ila hao maboya wakiongzwa na ruge hawaktak.tatzo n kwmba wasanii wote vlaza wapo ccm na hta haijitambui.**** them!,ruge kawaroga
 
Mtu aliyepata FOUR form FOUR naye atakuwaje jiwe la msingi? Kweli dunia haiishi maajabu.

We mwita 25 jamaa alikufanyia mamako, mkeo au dadko nini? Au alikuingilia kipopobawa nini mkuu?
 
<br />
<br />
As a man of great probity, and for the sake of JF status, I have to refrain myself from using any billingsgate in return.

Kama na wewe huwa unajiaminisha kwamba quality ya mindset yako intokana na kufaulu kwako vizuri form four,
basi sintarudia kufikilia kwamba hiyo ni sababu ya quality ya mind yangu tena asilani.
.
 
Kweli jeuri dawa yake ni KIBURI...

Nami ntabaki mbishi mpaka nilione KABURI...

Wako wapi walionicheka Shuleni NILIPOFELI...

Pilika zangu mtaani zimenifikisha mbali...

Tisini na tatu niko BODA naitafuta SOUTH AFRICA...

Leo kila ninapotaka naenda zangu AMERICA...

Ndivyo Maisha yanavyoweza kuChange...

Leo niko na VERANO kesho VX au RANGE...

Na bado nikiwa BAR nadai change...

Pata picha SUGU angekuwa kashachoka...

Hakika HISTORIA ingekuwa imeshafutika...

MABWAMDOGO wangeongea kuhusu GAME wanavyotaka...

Ningetoweka kama wastaafu wa SOKA...

Kumbuka niliacha FANI wakasema wananiMISS...

Nimerudi kwa kishindo wengine wanapata STRESS...

Wanabaki tu wanasema, na, mi nasema waseme watakavyosema...

Kwani watasema MCHANA na USIKU watalala...

Na wakiamka ASUBUHI mimi naendeleza BAKORA...
 
Back
Top Bottom