Sugu jimboni

Hata mi pia naona yupo makini sana kulinda kula za 2015 mana ujue kwa siasa za leo usipo fanya mandalizi mapema ujue basi kazi unayo ila ukisawazisha mabonde na milima na kufanya njia basi hata kesho unaweza pita bila wasiwasi.jana nimemuona muheshimiwa maeneo y a simike
 
good work sir....usiishie kubishana na watu wasio na tija kwenye maendeleo yako, just forget what they did to you and keep on focusing your work....mbeya kuna matatizo mengi tu, so kaa nao weka strategies za kupambana na hizo changamoto pamoja na wananchi wako , kwa kufanya hivo wananchi wako wataongeza trust kwako na kazi yako itatambulika na kuweka alama ya utofauti ukilinginisha na ilivokua zamani wakati wa utawala wa ccm.
 
huyu sugu hatujaona hata kitu kimoja alichoahidi ametekeleza naona anauza sura matatizo tunaendelea, tunamsubiri 2015 yeye na chama chake kwenda huko.
 
Back
Top Bottom