Sugu aunguruma Bungeni, atetea kazi za wasanii

na wabunge wenu wa ccm wenye first class na madokta feki mbona ni wezi.mimi nina LL.B lakini sijawahi kujiona bora kutokana na elimu yangu.bora mbilinyi wa form four kuliko mbunge wetu mjinga dr.mahanga.akili za vyeti,na kukariri ni za kijinga sana.mwenye akili alikuwa nyerere tu ccm.

Ni kwa manufaa ya wasanii wote hasa wanaonyonywa na clouds,tht na prime time,sugu ni mwanaharakati asiyependa unyonyaji unaofanywa dhidi ya wasanii wetu wa bongo,so kipi kibaya hapo?.na clouds ni ni moja ya manguli wa unyonyaji wa wasanii ikifuatia nyuma ya Gmc wasanii promoters.

Tumeshuhudia mara kadhaa uhasama na tambo nzito baina ya mbunge wa Mbeya (Mbilinyi) na Ruge wa clouds tangu wakati wa tamasha la malaria no more, fiesta, studio ya 'JK' nk.

Kwa jinsi mambo yanavyoendelea, kwa sasa wasanii wafuasi wa clouds ni 'CCM' na sina hakika kama wasanii wafuasi wa Sugu ni marafiki wa CDM.

Lakini kinachonikera ni kwamba, hakuna jema atakalofanya mbunge huyu likawa la kutangazwa na clouds radio/TV hata kama lina manufaa kwa wasanii wafuasi wao. Mbunge huyu ni waziri kivuli wa 'sanaa' lakini naye haoni lolote jema la wasanii wa clouds hasa kutoka ile nyumba ya vipaji 'THT'. Je, nani yupo kutetea maslahi ya vijana wa kitanzania wenye kuhitaji sanaa kama ajira?

Natafakari nini chaweza kufanyika ili vita ya mahasimu hawa isiwe kikwazo kwa maendeleo ya vijana wasanii wa hapa kwetu.

Hawa clouds Fm ni nani tena?

Tatizo siyo division bali ni mwingiliano wa maslahi na kila mmoja kujiona ni mbabe.
Kama tatizo lingekuwa Div basi JK asingekuwa rais hata asingepewa udaktari na vyuo kama MUHAS na UDOM kwan inasemekana ana GPA ndogo

hapo penye'RED mkuu! sio inasemekana....NI KWELI Jamaa ana'gpa ndogo!

Tatizo siyo division bali ni mwingiliano wa maslahi na kila mmoja kujiona ni mbabe.
Kama tatizo lingekuwa Div basi JK asingekuwa rais hata asingepewa udaktari na vyuo kama MUHAS na UDOM kwan inasemekana ana GPA ndogo

Mwita25, ana div one. Anajisikia fahari kufaulu masomo yake.

SUGU anachoongea ni kweli kabisa kuhusu unyonyaji na ukiritimba wa Clouds entertainment kwa wasanii na sekta nzima ya burudani!!....ndo maana hapendwi na kina Kusaga na RUge

ameelezea kuhusu unyonyaji ktk sanaa na jinsi "future" ya wasanii wa kibongo isivyo ya uhakika...........ameongelea kuhusu unyonyaji wa clouds na prime time pia..........also abt THT. very nice speech!

Sugu amewatetea vema hapa wasanii lakini kama hawatamuunga mkono wakakubli kuendelea kutumiwa tu na ccm kwenye kampeni hali yao itazidi kuwa mbaya sana

Ni vyema ukafikiri kabla hujasema. We unajua Ruge alipata ngapi? Huyo Kibonde anayetumiwa na Ruge kila cku kumchafua Sugu alipata FOUR ya 33. Kama vp, njoo UDSM tukuoneshe matokeo yake na ya huyo boss wake.

Kwahiyo tatizo la Sugu litakuwa nini? Tujaribu kutoa ushauri unaojenga ili kumsaidia huyu mbunge kijana atetee kiti chake. Wasiwasi wangu sidhani kama wananchi wa Mbeya watafanya makosa kumrudisha mtu asiyejielewa mjengoni.

Matatizo ya wabunge waliopata FOUR form FOUR.

Naona umefanikiwa kuwatoa wa2 kwenye hoja iliyowasilishwa, na sasa wanakujadili wewe. Hebu nikuulize hiyo div1 yako ya F4 imekufikisha wapi? Au kuwa kwako jeshini unaona umemaliza kila kitu, ama kweli makalio yamefanya kazi yake kimasaburi-saburi.

Similar Discussions

Back
Top Bottom