Sudan: Mapigano makali yaibuka Khartoum, uasi wa majeshi mawili makubwa

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,666
Muda huu kuna mapigano makali kati ya majeshi mawili makubwa nchini Sudan Khartoum ambapo uasi wa kugombania utawala.


Makundi mawili lile linaloongozwa na na mkuu wa jeshi la umma Gen .Albdel Fatah Al Burhani na na jeshi la akiba la Gen Mohamed Hamdan Dagalo walikutana wiki iliyopita kujadili jinsi ya kuwaingiza RFS ndani ya jeshi la kitaifa huku jeshi likitaka iwe ndani ya miaka kumi huku jeshi la akiba likitaka muda mfupi zaidi wa miaka 2 tu

Jeshi la akiba lakini lenye nguvu RFS linalojitegemea ki-amri linapambana na jeshi la kitaifa.

Kwa sasa majeshi yote yapo katika hali ya tahadhari huku milio ya risasi ikisikika kutoka ikulu eneo linaloshikiliwa na jeshi la serikali.

Jeshi la kitaifa linaungwa mkono na misri huku jeshi la akiba likungwa mkono na UEA.
---

UPDATE
Barabara zote za mji kuu Khartoum zimefungwa misululu ya vikosi vikiwa kwenye magari zinaonekana kupita maeneo mengi ya nchi

Moshi mkubwa inaonekana karibu na ikulu ,huku mapigano yakiendelea kwenye kambi kubwa ya jeshi la RSF mjini malawii.


UPDATE

Uwanja wa ndege umefungwa na kuna baadhi ya ndege zimelipuliwa moja ikiwa ya saudi Arabia huku idadi ya vifo na majaruhi vikiwa bado kuwekwa wazi

Majeshi yote mawili yanatuhumiana kuanzisha vita kwa kushambuliana na wengine huku mapigano katika ikulu ya rais yakiendelea

Kimeonekana ndege za kivita zikiendelea kufanywa mashambulizi ya anga jambo linaweza kuleta madhara makubwa zaidi

USSR


=======================

Sudan: Fighting erupts in Khartoum as army and paramilitary force clash

Gunfire and explosions have been heard in the Sudanese capital, Khartoum, after days of tension between a notorious paramilitary force and the country's army.

The dispute centres around a proposed transition to civilian rule.

Reuters is reporting that gunfire has been heard close to the headquarters of the army in the centre of the city.

The paramilitary Rapid Support Forces (RSF) says it has taken control of the airport and presidential palace.

These claims have not been confirmed.

Earlier the RSF had said that one of its camps in the south of Khartoum had been attacked.

For its part, the army has said that RSF fighters have been trying to seize the military headquarters.

"Fighters from the Rapid Support Forces attacked several army camps in Khartoum and elsewhere around Sudan," the AFP news agency quotes army spokesman Brig Gen Nabil Abdallah as saying.

"Clashes are ongoing and the army is carrying out its duty to safeguard the country."

The Reuters news agency is also citing witnesses as saying that there was gunfire in the northern city of Merowe.

Alarabyia TV is broadcasting pictures of smoke rising from a military camp there, Reuters reports.

Generals have been running the country, through what is called the Sovereign Council, since a coup in October 2021.

The RSF is under the command of the council's vice-president Gen Mohamed Hamdan Dagalo. The army, meanwhile, is led by Gen Abdel Fattah al-Burhan, who is the head of the Sovereign Council.

A proposed move to a civilian-led government has foundered on the timetable to integrate the RSF into the national army.

The RSF wanted to delay it for 10 years, but the army said it should happen in two years.

On Thursday, the RSF deployed forces near the military base in Merowe as tensions increased this week.

Gen Burhan said he was willing to talk to his second in command to resolve the dispute over who would lead a unified army in a proposed civilian government.

Western powers and regional leaders had urged the two sides to de-escalate tensions and to go back to talks aimed at restoring civilian rule.

There had been signs on Friday that the situation would be resolved.

In a tweet, US Ambassador John Godfrey said: "I urgently call on senior military leaders to stop the fighting."

Describing the situation in the city, he said he "woke up to the deeply disturbing sounds of gunfire and fighting. I am currently sheltering in place with the Embassy team, as Sudanese throughout Khartoum and elsewhere are doing."

Russia's embassy is also concerned by the "escalation of violence" and has urged a ceasefire, Reuters reports.

The 2021 coup ended a period of more than two years when military and civilian leaders were sharing power. That deal came after Sudan's long-term authoritarian President Omar al-Bashir was overthrown.

There have been regular pro-democracy protests in Khartoum ever since the coup.

Source: BBC
 
Hakuna mgogoro duniani ambao Hauna mkono wa mzungu,toka Korea mpaka china Taiwan,latin America,Congo, Mali,somalia,arabuni
Fine but that's from jihadist perspective and it should necessarily not reflect the reality.

You seem, just out of the religious bigotry, to be oblivious of the terrorist activities being perpetrated by various terrorist groups claiming to be fighting for their mythical god which the US government is deeply opposed to.
 
Fine but that's from jihadist perspective and it should necessarily not reflect the reality.

You seem, just out of the religious bigotry, to be oblivious of the terrorist activities being perpetrated by various terrorist groups claiming to fighting for their mythical god which the US government is deeply opposed to.
Ukaamua na kuandika kwa kiingereza,Abu bakr Al Baghdad kiongozi wa ISIS alishawahi kuwepo ikulu marekani pamoja na Biden kwenye picha kipindi Cha Obama,somalia umoja wa mahakama za kiislam ulishika nchi na nchi ikatulia, marekani akaenda kuwafurusha na kuzaliwa Al shabaab, Gaddafi alijenga nchi iliyokua na maisha ya juu kuliko uholanzi,wazungu wakaunda makundi kwenda kumng'oa, DRC hapakaliki wazungu wanavuna takribani miaka mia Sasa,Venezuela iko Chali ni wazungu,Angola,sieara Leon nk ilikua hivyo
 
Afrika kuipata amani ni muda mrefu sana, Kwa maana kila eneo ni vita tu.
Mm kinacho nishangazaga ni hao wanao rubuniwa na wazungu hili kuja kuleta fujo kwao daaah.
Huu usnge sijui mnautoa wapi? Hata ripoti ya cag iliyoonyesha kwamba maviongozi yenu yamekwapua mabilioni kwenu nyie ni wazungu wamerubuni,miafrika haitakaa iweze kujisimamia bila kuleta ujinga ujinga kama wizi nk,hapo Sudan ni miafrika inagombea madaraka ili ikaibe,wewe unasema mzungu nyokonyoko,South afrika ilijengwa na wazungu,sasa hivi inabomolewa na waafrika weusi, ujinga kabisa
 
Back
Top Bottom