Wanajf hapo vp? Rais wa jamhuri ya muungano wa kenya, tz, uganda, somalia na sudan, amepewa mwaliko na ameukubali wa kwenda kufanya upatanisho kati ya sudan kusin na kaskazin. Hivo akitoka malawi anakuja kubadili nguo anasepa na atapitiliza malasiya kuwapa pole kwa tishio la tsunami. Mapema july atakua amerejea msijali.