Sudan kusini wamuomba jk kwenda kusimamia mazungumzo ya amani na sudan kaskazin.

msambaru

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
245
109
Wanajf hapo vp? Rais wa jamhuri ya muungano wa kenya, tz, uganda, somalia na sudan, amepewa mwaliko na ameukubali wa kwenda kufanya upatanisho kati ya sudan kusin na kaskazin. Hivo akitoka malawi anakuja kubadili nguo anasepa na atapitiliza malasiya kuwapa pole kwa tishio la tsunami. Mapema july atakua amerejea msijali.
 
Back
Top Bottom