mzalendo iq1
JF-Expert Member
- Mar 10, 2020
- 1,258
- 1,541
Habari Wana JamiForums
Naanza kwa kusema kila mwajiriwa aheshimu kazi yake na mabosi zake kuchukua mishahara na posho bila kufanya kazi jua unapata dhambi
Kwanza nianze kwa kuweka sawa kitu kimoja watu mnatakiwa muelewe kwamba wabunge wote ni wafanya Kama walivyo wafanyakazi wengine pia wabunge muda wao wote maisha ya kibunge. Mbunge anatakiwa awe eneo lake la kazi Kama Sheria ya kazi inavyo sema. Mbunge anatakiwa awe jimbon kwake au bungeni wakat wa vikao vya Bunge tofauti na ivyo ni utapel utakao kua unafanywa.
Swala la mbunge kuchukua posho kazin kwake alafu asiudhurie kazin ni lazima alipe hela zote alizo chukua na Sio mbunge tu muajiriwa yoyote yule duniani hawezi kugoma kwenda kazini akapewa mshahara na posho lazima asimamishwe.
Pia Kama Corona itaisha nitaomba serekal ifanyie marekebisho ya mbunge akisha chaguliwa kua mbunge alafu akawa hakidh vigezo na hawatumikii wananch Basi tuwe na uwezo wa kumvua ubunge ule
Mfano wabunge wote Tanzania ni wameajiriwa na wananch so tutaitaka serekali itupe mamlaka ya ki deal na wafanyakazi wetu mfano hapo wafanyakazi wetu wamegoma kututumikia kwa kuto kwenda bungen Ila posho zetu wanachukua na hawataki kuirudisha kwa Hali ya kawaida ulitakiwa wananch tuwaadhibu Kama wafanyakazi wetu kwanza kwa utovu wa nidham pili kwa kuto kuingia kazin
Waajiriwa wote Tanzania ni sawa nasema wamegoma hapo wao wamesema wamegoma Corona ivyo wameamua wajitenge na wajifungie manyumban kitu ambacho Sio kweli Kwani baadhi Yao wanaonekana mitaani wengine Jana walikua wameitisha waandish wa habari kitu ambacho kinaonesha dhahir kua hawajatoka bungeni kwa kuhofia kitu Ila kwa kujua hamna kitu tunacho weza kuwafanya. Si haki mbunge akisha pewa dhaman na wananch akae miaka mitano yote bila kuulizwa mwenendo wa kazi zake na utaratibu wa kumuwajibisha
Corona ikiisha nitaakikisha wananch tunapata haki yetu ya kuwasimamia waajiriwa wetu wenyewe wakienda tofaut na tunavyo taka tue na maamuzi ya kufanya kama mabosi
Haiwezekan kazi tunawapa sisi alafu mwenye mamlaka ni spika na mwenyekit wa chama Tena mamlaka Yao bado hayajitishelez kuwa shirutisha Wabunge Kama inavyo takiwa
Wabunge bungeni Sio kwenye urith wa baba zenu bungen ni kazin kwanza mnatakiwa mpaheshim pia muheshim kazi na Alie wapa kazi. Kama unaendelea kuchukua hela Basi endelea kufanya kazi watanzania tungekua na uwezo wa kuamua Basi tungekua tumesha lifunga Bunge kulingana na janga ili la Corona pia tungekua tumesha punguza baadh ya mishahara na posho Kama mabos wa makampun na taasisi zingine zote zilivyo fanya sababu wabunge unakuta bungeni hawataki kwenda Ila posho na mishahara wanachukua huu ni utapel
Juzi nimesoma kwenye page moja ya chadema wanasema Kuna mbunge wa ccm toka Bunge limeanza amesha ingia bungen Mara mbili hizi NI dhulma kabisa na Wala Sio haki
Lazima tupewe mamlaka ya kuwawajibisha Wabunge ambao ni wafanyakazi wetu na lazima wakae kwenye majimbo Yao ili waweze kuona kero za wananch wao Sio mbunge anakaa nje ya Jimbo lake alafu jimbon kwake anaenda Kama kutembea tu.
Tutaomba mabadiliko mbunge akitaka kutoka ndan ya Jimbo lake kwa kuwa na yeye kajiriwa Basi afate taratibu na jinsi waajiriwa wengine hufanya wakitaka kutoka maeneo yao ya kazi
Kwanza waombe ruhusa
Pili waseme sababu inayo wafanya watoke
Tatu apewe muda wa kukaa na wa kurudi
Na mengine mengi ambayo muajiriwa anatakiwa afanye
Ikiwa hivi basi tutapata Wabunge Safi na watumish wazur lakini mbunge tukisha mchagua na baada ya Apo tukawa hatuna uwezo wa kukanya Wala kurekebisha chochote tujue kabisa tunao waajir watatupanda kichwan ona leo hii posho zetu ambazo tunawalipa sisi wao wamezigeuza Kama siasa Sasa Wana gombea Ila tungekuwa na mamlaka naiman saa hizi pesa zetu wasinge kua wanazichezea kijinga kijinga sababu wangejua boss anatuangalia utendaj wetu