Suala la viongozi wa CHADEMA kurudi Bungeni na kulipa pesa

mzalendo iq1

JF-Expert Member
Mar 10, 2020
1,258
1,541
Habari Wana JamiForums

Naanza kwa kusema kila mwajiriwa aheshimu kazi yake na mabosi zake kuchukua mishahara na posho bila kufanya kazi jua unapata dhambi

Kwanza nianze kwa kuweka sawa kitu kimoja watu mnatakiwa muelewe kwamba wabunge wote ni wafanya Kama walivyo wafanyakazi wengine pia wabunge muda wao wote maisha ya kibunge. Mbunge anatakiwa awe eneo lake la kazi Kama Sheria ya kazi inavyo sema. Mbunge anatakiwa awe jimbon kwake au bungeni wakat wa vikao vya Bunge tofauti na ivyo ni utapel utakao kua unafanywa.

Swala la mbunge kuchukua posho kazin kwake alafu asiudhurie kazin ni lazima alipe hela zote alizo chukua na Sio mbunge tu muajiriwa yoyote yule duniani hawezi kugoma kwenda kazini akapewa mshahara na posho lazima asimamishwe.

Pia Kama Corona itaisha nitaomba serekal ifanyie marekebisho ya mbunge akisha chaguliwa kua mbunge alafu akawa hakidh vigezo na hawatumikii wananch Basi tuwe na uwezo wa kumvua ubunge ule

Mfano wabunge wote Tanzania ni wameajiriwa na wananch so tutaitaka serekali itupe mamlaka ya ki deal na wafanyakazi wetu mfano hapo wafanyakazi wetu wamegoma kututumikia kwa kuto kwenda bungen Ila posho zetu wanachukua na hawataki kuirudisha kwa Hali ya kawaida ulitakiwa wananch tuwaadhibu Kama wafanyakazi wetu kwanza kwa utovu wa nidham pili kwa kuto kuingia kazin

Waajiriwa wote Tanzania ni sawa nasema wamegoma hapo wao wamesema wamegoma Corona ivyo wameamua wajitenge na wajifungie manyumban kitu ambacho Sio kweli Kwani baadhi Yao wanaonekana mitaani wengine Jana walikua wameitisha waandish wa habari kitu ambacho kinaonesha dhahir kua hawajatoka bungeni kwa kuhofia kitu Ila kwa kujua hamna kitu tunacho weza kuwafanya. Si haki mbunge akisha pewa dhaman na wananch akae miaka mitano yote bila kuulizwa mwenendo wa kazi zake na utaratibu wa kumuwajibisha

Corona ikiisha nitaakikisha wananch tunapata haki yetu ya kuwasimamia waajiriwa wetu wenyewe wakienda tofaut na tunavyo taka tue na maamuzi ya kufanya kama mabosi

Haiwezekan kazi tunawapa sisi alafu mwenye mamlaka ni spika na mwenyekit wa chama Tena mamlaka Yao bado hayajitishelez kuwa shirutisha Wabunge Kama inavyo takiwa

Wabunge bungeni Sio kwenye urith wa baba zenu bungen ni kazin kwanza mnatakiwa mpaheshim pia muheshim kazi na Alie wapa kazi. Kama unaendelea kuchukua hela Basi endelea kufanya kazi watanzania tungekua na uwezo wa kuamua Basi tungekua tumesha lifunga Bunge kulingana na janga ili la Corona pia tungekua tumesha punguza baadh ya mishahara na posho Kama mabos wa makampun na taasisi zingine zote zilivyo fanya sababu wabunge unakuta bungeni hawataki kwenda Ila posho na mishahara wanachukua huu ni utapel

Juzi nimesoma kwenye page moja ya chadema wanasema Kuna mbunge wa ccm toka Bunge limeanza amesha ingia bungen Mara mbili hizi NI dhulma kabisa na Wala Sio haki

Lazima tupewe mamlaka ya kuwawajibisha Wabunge ambao ni wafanyakazi wetu na lazima wakae kwenye majimbo Yao ili waweze kuona kero za wananch wao Sio mbunge anakaa nje ya Jimbo lake alafu jimbon kwake anaenda Kama kutembea tu.

Tutaomba mabadiliko mbunge akitaka kutoka ndan ya Jimbo lake kwa kuwa na yeye kajiriwa Basi afate taratibu na jinsi waajiriwa wengine hufanya wakitaka kutoka maeneo yao ya kazi

Kwanza waombe ruhusa
Pili waseme sababu inayo wafanya watoke
Tatu apewe muda wa kukaa na wa kurudi
Na mengine mengi ambayo muajiriwa anatakiwa afanye

Ikiwa hivi basi tutapata Wabunge Safi na watumish wazur lakini mbunge tukisha mchagua na baada ya Apo tukawa hatuna uwezo wa kukanya Wala kurekebisha chochote tujue kabisa tunao waajir watatupanda kichwan ona leo hii posho zetu ambazo tunawalipa sisi wao wamezigeuza Kama siasa Sasa Wana gombea Ila tungekuwa na mamlaka naiman saa hizi pesa zetu wasinge kua wanazichezea kijinga kijinga sababu wangejua boss anatuangalia utendaj wetu
 
Habari Wana jamiforums

Naanza kwa kusema kila muajiriwa aheshim kazi yake na mabos zake kuchukua mishahara na posho bila kufanya kazi jua unapata Dhabi

Kwanza nianze kwa kuweka sawa kitu kimoja watu mnatakiwa muelewe kwamba wabunge wote ni wafanya Kama walivyo wafanyakazi wengine pia wabunge muda wao wote maisha ya kibunge. Mbunge anatakiwa awe eneo lake la kazi Kama Sheria ya kazi inavyo sema. Mbunge anatakiwa awe jimbon kwake au bungeni wakat wa vikao vya Bunge tofauti na ivyo ni utapel utakao kua unafanywa.

Swala la mbunge kuchukua posho kazin kwake alafu asiudhurie kazin ni lazima alipe hela zote alizo chukua na Sio mbunge tu muajiriwa yoyote yule dunian hawezi kugoma kwenda kazin akapewa mshaara na posho lazima asimamishwe.
Pia Kama Corona itaisha nitaomba serekal ifanyie marekebisho ya mbunge akisha chaguliwa kua mbunge alafu akawa hakidh vigezo na hawatumikii wananch Basi tuwe na uwezo wa kumvua ubunge ule

Mfano wabunge wote Tanzania ni wameajiriwa na wananch so tutaitaka serekal itupe mamlaka ya ki deal na wafanyakazi wetu mfano Apo wafanyakazi wetu wamegoma kututumikia kwa kuto kwenda bungen Ila posho zetu wanachukua na hawataki kuirudisha kwa Hali ya kawaida ulitakiwa wananch tuwaadhibu Kama wafanyakazi wetu kwanza kwa utovu wa nidham pili kwa kuto kuingia kazin

Waajiriwa wote Tanzania ni sawa nasema wamegoma hapo wao wamesema wamegoma Corona ivyo wameamua wajitenge na wajifungie manyumban kitu ambacho Sio kweli Kwan baadh Yao wanaonekana mitaan wengine Jana walikua wameitisha waandish wa habari kitu ambacho kinaonesha dhahir kua hawajatoka bungeni kwa kuhofia kitu Ila kwa kujua hamna kitu tunacho weza kuwafanya. Si haki mbunge akisha pewa dhaman na wananch akae miaka mitano yote bila kuulizwa mwenendo wa kazi zake na utaratibu wa kumuwajibisha

Corona ikiisha nitaakikisha wananch tunapata haki yetu ya kuwasimamia waajiriwa wetu wenyewe wakienda tofaut na tunavyo taka tue na maamuzi ya kufanya Kama mabos

Haiwezekan kazi tunawapa sisi alafu mwenye mamlaka ni spika na mwenyekit wa chama Tena mamlaka Yao bado hayajitishelez kuwa shirutisha Wabunge Kama inavyo takiwa

Wabunge bungeni Sio kwenye urith wa baba zenu bungen ni kazin kwanza mnatakiwa mpaheshim pia muheshim kazi na Alie wapa kazi. Kama unaendelea kuchukua hela Basi endelea kufanya kazi watanzania tungekua na uwezo wa kuamua Basi tungekua tumesha lifunga Bunge kulingana na janga ili la Corona pia tungekua tumesha punguza baadh ya mishahara na posho Kama mabos wa makampun na taasisi zingine zote zilivyo fanya sababu wabunge unakuta bungeni hawataki kwenda Ila posho na mishahara wanachukua huu ni utapel

Juzi nimesoma kwenye page moja ya chadema wanasema Kuna mbunge wa ccm toka Bunge limeanza amesha ingia bungen Mara mbili hizi NI dhulma kabisa na Wala Sio haki

Lazima tupewe mamlaka ya kuwawajibisha Wabunge ambao ni wafanyakazi wetu na lazima wakae kwenye majimbo Yao ili waweze kuona kero za wananch wao Sio mbunge anakaa nje ya Jimbo lake alafu jimbon kwake anaenda Kama kutembea tu
Tutaomba mabadiliko mbunge akitaka kutoka ndan ya Jimbo lake kwa kua na yeye kajiriwa Basi afate taratibu na jins waajiriwa wengine hufanya wakitaka kutoka maeneo Yao ya kazi

Kwanza waombe ruhusa
Pili waseme sababu inayo wafanya watoke
Tatu apewe muda wa kukaa na wa kurudi
Na mengine mengi ambayo muajiriwa anatakiwa afanye

Ikiwa iv Basi tutapata Wabunge Safi na watumish wazur lakini mbunge tukisha mchagua na baada ya Apo tukawa hatuna uwezo wa kukanya Wala kurekebisha chochote tujue kabisa tunao waajir watatupanda kichwan ona Leo hii posho zetu ambazo tunawalipa sisi wao wamezigeuza Kama siasa Sasa Wana gombea Ila tungekua na mamlaka naiman saiz pesa zetu wasinge kua wanazichezea kijinga kijinga sababu wangejua boss anatuangalia utendaj wetu

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko ndotoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siko ndoton lazima warudishe hela huezi chukua posho uku hufany kazi uo ni ufisad wa kula posho na mishahara hewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtu watanzania walimwajiri 2015 na kumkabidhi ofisi Dsm/Dodoma, lakini kwa sasa yuko nyumbani kwake ndiko anakoitisha mafaili na viongozi wa chini yake. Ni sawa na hao Wabunge unaowasema ambao nakuunga mkono walitakiwa kuwa Bungeni ambako ndiko kazini kwao, ambao wana ofisi majimboni eti badala ya kuwa kwenye ofisi ya jimbo akakae kijijini kwao sisi tukiwa na shida naye tumfuate kwake.!!?

Kuna wafanyakazi wangapi hawako sehemu zao za kazi na bado wanapokea mishahara na posho, karibu robo tatu ya wabunge wa CCM hawako bungeni, mfanyakazi no 1 hayuko ofisini, kuna wabunge tangu bunge lianze wamehudhuria kikao kimoja bado wanalipwa mshahara na posho sembuse hawa wa siku 14 na posho unayosema kulipwa hawajasaini popote.
 
Habari Wana JamiForums

Naanza kwa kusema kila mwajiriwa aheshimu kazi yake na mabosi zake kuchukua mishahara na posho bila kufanya kazi jua unapata dhambi

Kwanza nianze kwa kuweka sawa kitu kimoja watu mnatakiwa muelewe kwamba wabunge wote ni wafanya Kama walivyo wafanyakazi wengine pia wabunge muda wao wote maisha ya kibunge. Mbunge anatakiwa awe eneo lake la kazi Kama Sheria ya kazi inavyo sema. Mbunge anatakiwa awe jimbon kwake au bungeni wakat wa vikao vya Bunge tofauti na ivyo ni utapel utakao kua unafanywa.

Swala la mbunge kuchukua posho kazin kwake alafu asiudhurie kazin ni lazima alipe hela zote alizo chukua na Sio mbunge tu muajiriwa yoyote yule duniani hawezi kugoma kwenda kazini akapewa mshahara na posho lazima asimamishwe.

Pia Kama Corona itaisha nitaomba serekal ifanyie marekebisho ya mbunge akisha chaguliwa kua mbunge alafu akawa hakidh vigezo na hawatumikii wananch Basi tuwe na uwezo wa kumvua ubunge ule

Mfano wabunge wote Tanzania ni wameajiriwa na wananch so tutaitaka serekali itupe mamlaka ya ki deal na wafanyakazi wetu mfano hapo wafanyakazi wetu wamegoma kututumikia kwa kuto kwenda bungen Ila posho zetu wanachukua na hawataki kuirudisha kwa Hali ya kawaida ulitakiwa wananch tuwaadhibu Kama wafanyakazi wetu kwanza kwa utovu wa nidham pili kwa kuto kuingia kazin

Waajiriwa wote Tanzania ni sawa nasema wamegoma hapo wao wamesema wamegoma Corona ivyo wameamua wajitenge na wajifungie manyumban kitu ambacho Sio kweli Kwani baadhi Yao wanaonekana mitaani wengine Jana walikua wameitisha waandish wa habari kitu ambacho kinaonesha dhahir kua hawajatoka bungeni kwa kuhofia kitu Ila kwa kujua hamna kitu tunacho weza kuwafanya. Si haki mbunge akisha pewa dhaman na wananch akae miaka mitano yote bila kuulizwa mwenendo wa kazi zake na utaratibu wa kumuwajibisha

Corona ikiisha nitaakikisha wananch tunapata haki yetu ya kuwasimamia waajiriwa wetu wenyewe wakienda tofaut na tunavyo taka tue na maamuzi ya kufanya kama mabosi

Haiwezekan kazi tunawapa sisi alafu mwenye mamlaka ni spika na mwenyekit wa chama Tena mamlaka Yao bado hayajitishelez kuwa shirutisha Wabunge Kama inavyo takiwa

Wabunge bungeni Sio kwenye urith wa baba zenu bungen ni kazin kwanza mnatakiwa mpaheshim pia muheshim kazi na Alie wapa kazi. Kama unaendelea kuchukua hela Basi endelea kufanya kazi watanzania tungekua na uwezo wa kuamua Basi tungekua tumesha lifunga Bunge kulingana na janga ili la Corona pia tungekua tumesha punguza baadh ya mishahara na posho Kama mabos wa makampun na taasisi zingine zote zilivyo fanya sababu wabunge unakuta bungeni hawataki kwenda Ila posho na mishahara wanachukua huu ni utapel

Juzi nimesoma kwenye page moja ya chadema wanasema Kuna mbunge wa ccm toka Bunge limeanza amesha ingia bungen Mara mbili hizi NI dhulma kabisa na Wala Sio haki

Lazima tupewe mamlaka ya kuwawajibisha Wabunge ambao ni wafanyakazi wetu na lazima wakae kwenye majimbo Yao ili waweze kuona kero za wananch wao Sio mbunge anakaa nje ya Jimbo lake alafu jimbon kwake anaenda Kama kutembea tu.

Tutaomba mabadiliko mbunge akitaka kutoka ndan ya Jimbo lake kwa kuwa na yeye kajiriwa Basi afate taratibu na jinsi waajiriwa wengine hufanya wakitaka kutoka maeneo yao ya kazi

Kwanza waombe ruhusa
Pili waseme sababu inayo wafanya watoke
Tatu apewe muda wa kukaa na wa kurudi
Na mengine mengi ambayo muajiriwa anatakiwa afanye

Ikiwa hivi basi tutapata Wabunge Safi na watumish wazur lakini mbunge tukisha mchagua na baada ya Apo tukawa hatuna uwezo wa kukanya Wala kurekebisha chochote tujue kabisa tunao waajir watatupanda kichwan ona leo hii posho zetu ambazo tunawalipa sisi wao wamezigeuza Kama siasa Sasa Wana gombea Ila tungekuwa na mamlaka naiman saa hizi pesa zetu wasinge kua wanazichezea kijinga kijinga sababu wangejua boss anatuangalia utendaj wetu
Mkuu, ulichoongea naunga mkono 100%

Mi naongeza, Mbunge anaechaguliwa kuwakilisha wananchi anatakiwa awe mkazi wa kudumu katika jimbo husika. Kunawatu kisa tu wanaasili ya sehem flani wakisikia chaguzi unakaribia wanakuja vijijini kuutaka ubunge.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiomana nasema tungekua na uwezo wa kuwawajibisha wao ingekua Rais Sana wao kumuwajibisha Rais sababu ni wao pekee ndio wanao weza kupiga Kura ya kutokua na Iman na Rais bungeni Ila wote wale wale si Rais si wabunge
Kuna mtu watanzania walimwajiri 2015 na kumkabidhi ofisi Dsm/Dodoma, lakini kwa sasa yuko nyumbani kwake ndiko anakoitisha mafaili na viongozi wa chini yake. Ni sawa na hao Wabunge unaowasema ambao nakuunga mkono walitakiwa kuwa Bungeni ambako ndiko kazini kwao, ambao wana ofisi majimboni eti badala ya kuwa kwenye ofisi ya jimbo akakae kijijini kwao sisi tukiwa na shida naye tumfuate kwake.!!?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiomana nasema tungekua na uwezo wa kuwawajibisha wao ingekua Rais Sana wao kumuwajibisha Rais sababu ni wao pekee ndio wanao weza kupiga Kura ya kutokua na Iman na Rais bungeni Ila wote wale wale si Rais si wabunge

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi, lakini ni nani wa kumfunga paka kengele? Kuna wenzako humu kazi yao kupanua magoli tu. Wanatetea Rais kujifungia Chato wanapinga Wabunge kususia bunge!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari Wana JamiForums

Naanza kwa kusema kila mwajiriwa aheshimu kazi yake na mabosi zake kuchukua mishahara na posho bila kufanya kazi jua unapata dhambi

Kwanza nianze kwa kuweka sawa kitu kimoja watu mnatakiwa muelewe kwamba wabunge wote ni wafanya Kama walivyo wafanyakazi wengine pia wabunge muda wao wote maisha ya kibunge. Mbunge anatakiwa awe eneo lake la kazi Kama Sheria ya kazi inavyo sema. Mbunge anatakiwa awe jimbon kwake au bungeni wakat wa vikao vya Bunge tofauti na ivyo ni utapel utakao kua unafanywa.

Swala la mbunge kuchukua posho kazin kwake alafu asiudhurie kazin ni lazima alipe hela zote alizo chukua na Sio mbunge tu muajiriwa yoyote yule duniani hawezi kugoma kwenda kazini akapewa mshahara na posho lazima asimamishwe.

Pia Kama Corona itaisha nitaomba serekal ifanyie marekebisho ya mbunge akisha chaguliwa kua mbunge alafu akawa hakidh vigezo na hawatumikii wananch Basi tuwe na uwezo wa kumvua ubunge ule

Mfano wabunge wote Tanzania ni wameajiriwa na wananch so tutaitaka serekali itupe mamlaka ya ki deal na wafanyakazi wetu mfano hapo wafanyakazi wetu wamegoma kututumikia kwa kuto kwenda bungen Ila posho zetu wanachukua na hawataki kuirudisha kwa Hali ya kawaida ulitakiwa wananch tuwaadhibu Kama wafanyakazi wetu kwanza kwa utovu wa nidham pili kwa kuto kuingia kazin

Waajiriwa wote Tanzania ni sawa nasema wamegoma hapo wao wamesema wamegoma Corona ivyo wameamua wajitenge na wajifungie manyumban kitu ambacho Sio kweli Kwani baadhi Yao wanaonekana mitaani wengine Jana walikua wameitisha waandish wa habari kitu ambacho kinaonesha dhahir kua hawajatoka bungeni kwa kuhofia kitu Ila kwa kujua hamna kitu tunacho weza kuwafanya. Si haki mbunge akisha pewa dhaman na wananch akae miaka mitano yote bila kuulizwa mwenendo wa kazi zake na utaratibu wa kumuwajibisha

Corona ikiisha nitaakikisha wananch tunapata haki yetu ya kuwasimamia waajiriwa wetu wenyewe wakienda tofaut na tunavyo taka tue na maamuzi ya kufanya kama mabosi

Haiwezekan kazi tunawapa sisi alafu mwenye mamlaka ni spika na mwenyekit wa chama Tena mamlaka Yao bado hayajitishelez kuwa shirutisha Wabunge Kama inavyo takiwa

Wabunge bungeni Sio kwenye urith wa baba zenu bungen ni kazin kwanza mnatakiwa mpaheshim pia muheshim kazi na Alie wapa kazi. Kama unaendelea kuchukua hela Basi endelea kufanya kazi watanzania tungekua na uwezo wa kuamua Basi tungekua tumesha lifunga Bunge kulingana na janga ili la Corona pia tungekua tumesha punguza baadh ya mishahara na posho Kama mabos wa makampun na taasisi zingine zote zilivyo fanya sababu wabunge unakuta bungeni hawataki kwenda Ila posho na mishahara wanachukua huu ni utapel

Juzi nimesoma kwenye page moja ya chadema wanasema Kuna mbunge wa ccm toka Bunge limeanza amesha ingia bungen Mara mbili hizi NI dhulma kabisa na Wala Sio haki

Lazima tupewe mamlaka ya kuwawajibisha Wabunge ambao ni wafanyakazi wetu na lazima wakae kwenye majimbo Yao ili waweze kuona kero za wananch wao Sio mbunge anakaa nje ya Jimbo lake alafu jimbon kwake anaenda Kama kutembea tu.

Tutaomba mabadiliko mbunge akitaka kutoka ndan ya Jimbo lake kwa kuwa na yeye kajiriwa Basi afate taratibu na jinsi waajiriwa wengine hufanya wakitaka kutoka maeneo yao ya kazi

Kwanza waombe ruhusa
Pili waseme sababu inayo wafanya watoke
Tatu apewe muda wa kukaa na wa kurudi
Na mengine mengi ambayo muajiriwa anatakiwa afanye

Ikiwa hivi basi tutapata Wabunge Safi na watumish wazur lakini mbunge tukisha mchagua na baada ya Apo tukawa hatuna uwezo wa kukanya Wala kurekebisha chochote tujue kabisa tunao waajir watatupanda kichwan ona leo hii posho zetu ambazo tunawalipa sisi wao wamezigeuza Kama siasa Sasa Wana gombea Ila tungekuwa na mamlaka naiman saa hizi pesa zetu wasinge kua wanazichezea kijinga kijinga sababu wangejua boss anatuangalia utendaj wetu
Mkuu, mbona sababu ya kutoka bungeni waliielezea kwa kirefu?, Hii thread yako inaonyesha janga la Corona ni la kawaida na hutokea mara kwa mara hivyo watungiwe sheria!
 
Naona aibu mimi laiti ungekuwa mke wangu ningekupa adhabu kali sana.Shukuru uliyempata ni mpole.

Naona umejibiwa jaziba zimeshuka.
Almost half ya wabunge hawapo bungeni, wewe umeona CDM.
Maofisini watu hawapo wanafa yia kazi màjumbani.
Walimu wanalipwa wapo majumbani maana shuleni hakuna wanafunzi.
Boss yuko Chatooo umeelewa wewe Mzalendo??
CDM walisema wabunge wote wapimwe corona, unaona ni utani??
Tuliza mzuka fikiri kwa kutimia kichwa acha mihemuko!!
 
We kibwengu huwez kuwa na fikra huru dhidi ya chadema za uzombie wa hapo lumumba
 
Back
Top Bottom