nice 2
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 747
- 520
Katika suala la upambanaji lazima aonekane kinara, kwa hivi kwa maoni yangu si sahihi sana kuwatuhumu wabunge wa CDM kuwa kaachiwa Zitto pekee kwa posho za wabunge, kumbuka hata mgomo wa madaktari Dr Ulimboka kajitoa sana na si kwamba yuko peke yake hapana! Wabunge wote wapenda watanzania wako nyuma ya Zitto na Januari, na siye pia watanzania tuko nyuma yao.
samahani mkuu sikuelewi unaponiambia nisiwalaumu wabunge wa CHADEMA wako nyuma ya Zitto, hainiingii akilini na haiwezi kuniingia, yani wao waweke posho mfukoni halafu uniambie wanapinga posho? Hata kama ni mapenzi kwa chama wanapoenda kinyume hatuna budi kuwaambia, they should walk the talk.