Alexism
JF-Expert Member
- Aug 14, 2011
- 3,423
- 2,045
Kimantiki zaidi mwanaharakati (Activist) siyo mtu anayepinga kila kitu bali ni mtu ambaye yuko tayari kutetea,kuhoji,kukosoa,kujadiri,kuelimisha na kuelimika,kuwa tayari kuwajibika pamoja na kuenzi yale mazuri yanayohusu jamii kwa ujumla au kundi la watu.
Dhana ya uanaharakati ina cku nyingi hapa Dunia ukifatilia kihistoria,sosologia na kianthropologia.
Leo ndo maana kuna wanaharakati waliogawanyika katika nyanja tofauti mfano
1.Mazingira
2.Haki za binadam
3.Vyombo vya Habari
4.Dini
5.Uchumi
6.Wanyama
7.Wanawake na Watoto
8.Mashoga
9.Demokrasia etc
Kumbuka kuna tofauti kati ya activist na extremist and fundermentalist.Kumbuka madiliko ya kijamii,kisiasa,kitamaduni na kiuchumi yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na wanaharakati ndugu.