Story bora ya mapenzi niliyowahi kuisoma, inafundisha na kusikitisha sana

friendfx

JF-Expert Member
Oct 16, 2017
246
250
1ST YEAR
Nikiwa nimekaa leacture room nikimuangalia msichana aliyekaribu yangu, niliyekuwa nikimuita "Bestfriend"nilikuwa nikimuangalia nywele zake nzuri na sura yake ya upole huku nikitamani awe wangu, lakini yeye hakuwa akitamani hilo na nilikuwa nikilitambua hilo.
Baada ya leacture,alikuja kwangu na kuniomba notes za siku ya nyuma kwa sababu hakuweza kuingia darasani siku iliyopita. Baada ya kumpa akasema "asante" na kushikana mikono na mimi.
Nilitamani kumwambia. Nilitamani ajue kuwa nataka tuwe zaidi ya marafiki. Nilimpenda but i was just too shy, and i ddnt know why.!

2ND YEAR.!

Simu yangu iliita, kupokea alikuwa yeye alikuwa akilia akinielezea jinsi gani boyfriend wake broke her heart, she asked me to come over because she didn't want to be alone. Kwa kuwa ni rafiki yangu kipenzi ilinibidi kwenda kumfariji.
As i sat next to her on the sofa, nilikuwa nikimuangalia Machoni nikitamani awe wangu. Baada ya masaa mawili baada ya kuangalia nae movie mbili tatu na kula nae chakula pamoja akarudi katika hali yake ya kawaida. Hivyo akaamua kwenda kulala, before akaniangalia na kuniambia "asante" na kunipa tabasamu tamu.
Nilitamani kumwambia. Nilitamani ajue kuwa nataka tuwe zaidi ya marafiki. Nilimpenda but i was just too shy, and i ddnt know why.!

3RD YEAR

Siku moja kabla ya Tamasha la muziki chuoni alikuja kwenye meza yangu leacture room na kuniambia "Boyfriend wangu amepata udhuru hivyo naomba unipe kampan leo usiku katika tamasha la muziki"
Kwa kuwa tuliwekeana promice kwamba ikitokea kila mmoja wetu amekosa mtu wa ku-date nae basi tutaenda pamoja just as "friends" hivyo tukaenda.
Katika tamasha baada ya kila kitu kuisha na muziki kufungwa, nilikuwa nimekaa nje ya ukumbi nikimuangalia jinsi alivyokuwa akicheka na rafiki zake, she saw me looking to her she smiled at me. I want her to be mine lakini yeye alikuwa hafikirii hilo kabisa na nilikuwa nikilitambua hilo. Then she said to me "nimekuwa na muda mzuri na wewe asante sana" and she gave me a sweet smile.
Nilitamani kumwambia. Nilitamani ajue kuwa nataka tuwe zaidi ya marafiki. Nilimpenda but i was just too shy, and i ddnt know why.!

GRADUATION DAY.!

Siku, wiki, mwezi vikapita... ilikuwa ni mahafali yetu tukimaliza masomo ya chuo. Akainuka kwenda kutunukiwa shahada yake ya Uchumi. Nilikuwa nikimuangalia akiwa amependeza sana siku ile.
I wanted her to be mine, but she didn't notice me like that, and i knew it.
kabla watu hawajatawanyika kwenda makwao, alikuja kwangu akiwa na vazi lake la mahafali, na kulia pale nilipomkumbatia. Akainua kichwa chake na kuniambia "you are my bestfriend asante sana"
Nilitamani kumwambia. Nilitamani ajue kuwa nataka tuwe zaidi ya marafiki. Nilimpenda but i was just too shy, and i ddnt know why.!

MIAKA MITATU BAADAE.!

Nikiwa kanisani Yule Msichana alikua anaolewa. Nilimuangalia akisema "ndiyo nakubali " and drive off to new life. Moyo wangu ukapasuka "paaa"... Akaolewa na mwanaume mwingine.
I wanted her to be mine, but she didn't see me like that, and i knew it. Lakini kabla ya kwenda ukumbini, alikuja kwangu na kusema "asante sana, u have been my best friend ever" kisha akanikiss kwenye paji la uso akiwa na vazi lake la harusi.
Nilitamani kumwambia. Nilitamani ajue kuwa nataka tuwe zaidi ya marafiki. Nilimpenda but i was just too shy, and i ddnt know why.!

KWENYE MAZISHI.!

Miaka mitano baadae, nilikuwa kwenye ibada ya mazishi ya binti nilimpenda lakini nikaogopa kumwambia.. Binti aliyekuwa my best friend.. I looked down katika jeneza lilokuwa na msichna ambaye alikuwa ni "bestfriend" wangu.
Katika Service ya mazishi wakasoma diary ya Bestfriend ambayo alikuwa akiiandika enzi za maisha ya chuo. Mchungaji akasoma yaliyokuwemo kwenye Diary.. ilikua ikisomeka hivi;
"I stare at him napenda awe wangu, but he doesn't notice me like that, and i know it.....
Alisoma mchungaji kisha akaendelea...
"Nilitamani kumwambia. Nilitamani ajue kuwa nataka tuwe zaidi ya marafiki. Nilimpenda but i was just too shy, and i ddnt know why.!"
Niliishiwa nguvu... katikati ya kundi la watu nilipiga magoti nikilengwalengwa na machozi... maneno yale yalinichoma hasa ukizingatia kuwa nilimpenda lakini niliogopa kumwambia.. kumbe na yeye alinipenda pia lakini aliogopa kuniambia... I wish ningemwambia ukweli... ila nilishachelewa... Sipo nae tena... ameshatangulia mbele za haki.!

MORAL OF THE STORY.!

Vunja ukimya. Be free when u love someone kuwa muwazi kwake.. Usimfiche.. Usiogope kumwambia.
 
Mi sivungagi hata kdg, nafungukaga mapemaa kabla moyo na ubongo havijazama vyote, sasa wewe subiri auteke moyo na akili vyote halaf umwambie akatae uone shughuli yake. BTW sijawah kukubaliwa na demu hata mmoja ila nimeshabambikiwa watoto wanne.
THE WORLD IS NOT FAIR.
 
Bahati mbaya sana unayempenda anakuwa anampenda mwingine so hata ukivunja ukimya haileti maana zaidi ya kuongeza maumivu tu. But thank u for the story anyway
Unakuwa spair tairi tu mbona fresh
 
Mi sivungagi hata kdg, nafungukaga mapemaa kabla moyo na ubongo havijazama vyote, sasa wewe subiri auteke moyo na akili vyote halaf umwambie akatae uone shughuli yake. BTW sijawah kukubaliwa na demu hata mmoja ila nimeshabambikiwa watoto wanne.
THE WORLD IS NOT FAIR.
Hahabah waingia kwa njia ya bluetooth nn
 
Ukimya utakavunja wewe badala ya wewe kuuvunja.

Ngoja ujidai kuwa moral of the story ni kuvunja ukimya.

Utavunja ukimya pasipo vunjwa kisha huo ukimya utakuvunja bila huruma.
 
Ukimya utakavunja wewe badala ya wewe kuuvunja.

Ngoja ujidai kuwa moral of the story ni kuvunja ukimya.

Utavunja ukimya pasipo vunjwa kisha huo ukimya utakuvunja bila huruma.
Hahahah
 
Umekopy katika Website moja hv nshawah kuisoma in english uki gugo "best love quote of the day " ungesema umetunga ningeshangaa
 
Mi sivungagi hata kdg, nafungukaga mapemaa kabla moyo na ubongo havijazama vyote, sasa wewe subiri auteke moyo na akili vyote halaf umwambie akatae uone shughuli yake. BTW sijawah kukubaliwa na demu hata mmoja ila nimeshabambikiwa watoto wanne.
THE WORLD IS NOT FAIR.
Mkuu,unafunga mwaka kwa style kali.uwiii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom