CAPTORHINOMORPHS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 2,940
- 7,328
Tulikutana Chuoni kwao, nikiwa nimeenda kwaajili ya mishe zangu zingine kabisa, kilikuwa kipindi cha mitihani, kwahiyo alikuwa busy kusoma. Nikaenda kukaa kwenye kimbweta alichokuwa amekaa bila kusema chochote, akanisalimia, then maongezi yakaendelea.
For almost wiki 3 tukawa tunaongea kwa simu kawaida, nikatupia vocal anazipiga pending najaribu tena baada ya week ya 4, she said yes.
Kabla yake, nilikuwa player sana kwenye mahusiano, nikikutaka LAZIMA nikupate even if iwe years, au uwe older than me lazima nikupate tu, nitakula napita kushoto. Kwa zaidi ya miaka 12 sikuwahi kufail kwenye mission yeyote na sikuwahi kuwa na monogamy relationship, kwa akili za mwanzo na yeye alikuwa kwenye list yangu ya kula na kusepa.
Nilikuwa na ratiba za kwenda chuoni kwao tunapiga story we’ll have fun na vitu kibao, mambo yakaanza kuwa mengi, akipiga sipokei anatuma message sijibu au nitapiga muda ninaotaka, akileta mada ya kuachana, namsikiliza then mwishoni namwambia naweza kukuona kesho? Then nije na icecream gani? Inakuwa imeisha hiyo.
One day she called me analia analalamika, matendo yangu yanamuumiza kiasi gani na kama simpendi niseme, sababu namuumiza. Nakumbuka hyo kauli iliniingia mnoo, nikahisi vibaya, kesho yake ahsubuhi nikamtoa kwenye vipindi tukaenda picnic beach nje ya mji. Mabadiliko yaliyofanyika beach ndio yaliyonifanya niandike hii kitu.
Hadi muda huo nilikuwa kwenye uhusiano na wadada wengine 4, nikawaandikia message wote kwamba tuachane, penzi likakolea, sikuwahi kumuhonga wala hatukufanya sex but it was waaaay cooler.
Hatukujenga uhusiano kwenye physical things yalikuwa tofauti, kwa miezi 11 tulikuwa mkoa mmoja wilaya moja, but hatukuwah kufanya sex and kwangu it was totally fine,
Mara ya kwanza we are doing it ilikuwa mwezi wa 11 tukiwa kwenye mahusiano, ilifanyika ilivyotakiwa nilihakikisha nalala chini usiku huo, but cha kushangaza kwangu the best moment was baada ya kulowanisha kitanda alikuja lay on me for cuddling baada ya kutoka bafuni and akasinzia, THE BEST I EVER HAD.
Now it’s obviously open kwamba she’s gonna be my wife and a mother to littler captorhinomorph,, mama amenitumia picha anamsuka and akaandika “Dogo hapa umepata”.
Nikirudi home next year, namaliza kila kitu and it’s officially confirmed she’s gonna be mine unless kuwe na Devine intervention.