Stori ya mkazi wa Hanang aliyepoteza mke na watoto 4 imenibadilisha sana

Media zetu ni kama zinasikilizia serikali itacheza kwa style gani, hata mwanzo wa hili janga ni kama walikuwa wanasikilizia hivi mpaka walipoona mambo yamekuwa serious na vifo vimeongezeka wakajifanya kutangaza, nasikia kuna boti la watalii limezama huko Zanzibar ila mpaka sasa kimya hakuna media yoyote imeripoti hiyo habari
 
Watakwambia ni shetani ndo kasababisha maafa halafu eti Mungu yupo paleee anashuhudia na hafanyi lolote.

Wengine watakwambia kazi ya Mungu haina makosa, kazi gani hiyo sasa ya kuua watu na kusababisha majonzi kwa watu..
wengine watakuambia ni laana, sasa mtu anaadhibiwa kwa makosa ya baba/babu zake hiyo ni vipi....
 
Maisha yanaogopesha ila wewe usiogope

Poleni sana
 
Watakwambia ni shetani ndo kasababisha maafa halafu eti Mungu yupo paleee anashuhudia na hafanyi lolote.

Wengine watakwambia kazi ya Mungu haina makosa, kazi gani hiyo sasa ya kuua watu na kusababisha majonzi kwa watu..
🤡💀😃
 
Nimeona BBC kupitia mitandao ya kijamii, Jamaa anaitwa Fanuel John, amepoteza familia yake na mali zake zote familia yake ni mke wake, mtoto wa miaka 13, 10, 8 na miaka 4 kwa mfuatano kama kijana mwenye familia nimehuzunika sana, nimewaza sana kuhusu maisha, watoto wangu, mke wangu, kazi yangu, wazazi wangu, ndugu zangu, Nchi yangu na kila yeyote anayenizunguka.

Nimekumbuka kaka yangu mmoja ambaye hua kila akiambiwa aoe anajivuta vuta sahv ana miaka 43, na anasema yeye ataishi na kurudi mbinguni (kufa) kama alivyokuja duniani(peke yake), nimejisemea inamaana Fanuel anaenda kufanana na kaka ambaye yeye hajawahi kuoa wala kua na mtoto, inshort anajiwazia yeye tu?

Fanuel anaenda kuanza upya kabisa kujitafuta, kutoka kuitwa baba kila siku mpaka kuzika familia nzima, na kati ya hao watoto kuna mmoja hajapatika sasa hapo ndiyo mtihani, atakutwa hai ama amekufa, maana yake tayari kazikiwa watoto watatu na mke mmoja maana yeye yuko hospitali.

Kweli hii dunia haina huruma, nimeumia sana. Kwa nionavyo mitandaoni kwingine maisha yanaendelea vizuri kama kawa, sehemu za starehe zinafurika, kina Vunjabei wanafungua maduka yao mapya weekend wakiwa na kina Harmonize, ziara zinaendelea kama kawaida na hakuna kilichosimama.

Nimekumbuka ujumbe mmoja niliuona kwa yule kijana wa Singida anaitwa Joram nkumbi anasema maisha ni yako na kifo ni chako pia, usilalamikie mtu, wewe wakati utakufa hakuna kitakachobadilika, ratiba zote za nchi na dunia zitaendelea kama zilivyopangwa, ratiba pekee inaweza kubadilika kidogo ni ratiba ya familia yako nayo ni kwa siku chache then itaendelea kama kawaida, hivyo sisi wote ni wa kawaida sana japo ni wa thamani,

Madhira aliyopata Fanuel anahitaji psychotherapist haraka sana na wengine wengi wenye tatizo kama lake huko Hanang, la sivyo mtu anaweza kuamua kuifuata familia yake, moyo wa mtu kichaka usimuone anasimulia tu huwezi jua.

Nimejifunza mengi kutoka katika tukio hilo la mafuriko, nimegundua maisha haya si chochote wala lolote yanaweza kuyeyuka wakati wowote kama mshumaa tusali sana ndugu zangu kila mmoja kwa imani yake, wa kanisani asali huko, wa msikitini vile vile, waamini mizimu pia, suala ni kujiombea mwisho mwema haijalishi unaomba kwa njia gani, wapi na kwa nani, huyo unaemwamini atakusaidia.

Maisha ni nini, binadamu anawaka na kuzimika muda wowote, unapoteza familia yako nzima ndani ya masaa machache unakua mtu mwingine kabisa, kwann usichanganyikiwe, yote kwa yote ni kushukuru kwa kila jambo lakini hiyo shukran sidhani kama akielezwa Fanuel sasa hv ataelewa.

sijafuatilia namna ya kuwapa msaada watu wa Hanang, hasa wa kifedha maana niko mbali na nchi yangu, lakini naweza kutuma kwa mitanda kadhaa, naomba nielekezwe ama nipewe link nikatoe chochote kitu wakati nikiendelea kutafakari maisha vizuri, maana nahisi bado sijayajua vizuri, nahitaji kutuliza akili sana na kutafakari upya na upya tena.

Niwatakie nyote ijumaa njema, Mwenyezi Mungu aendelee kutusimamia maana hatujui siku wala saa

Kwa ajili ya kukabiliana na maafa ya Kateshi itatumika Akaunti ya Mfuko wa Taifa wa Usimamizi wa Maafa (National Disaster Management Fund Electronic Account) Na. 9921151001 iliyopo Benki Kuu ya Tanzania kwa kuandika neno maafa likifuatiwa jina la wilaya ya Hanang.

IMETOLEWA NA MR CHARLES MSANGI WA IDARA YA MAAFA

#YNWA
 
inasikitisha sana kwa kweli!MUNGU anaeza kuamua tu ww ukawa mfano kwa wengine kwa ajili ya kujifunza au kutimilisha ukuu wake!ndo maisha japokuwa yanaumiza sana sana!
 
Ndio Hali halisi ya maisha ,ukisikia nyuma geuka wa kwanza anaweza kuwa wa mwisho.

Mwisho Asili ya binadamu ni ubinafsi so don't expect anything kuwa tofauti kisa huyo bwana yamemkuta.

Huoni walemavu wanavyopata Madhila?

Cha muhimu hakuna anaejua mwisho wake utakuaje ukiweza ishi Kwa kiasi.

80 people are perished so far and still counting 😭😭😭😭

View: https://www.instagram.com/p/C0mBlWvN1Kd/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==
 
Kwa ajili ya kukabiliana na maafa ya Kateshi itatumika Akaunti ya Mfuko wa Taifa wa Usimamizi wa Maafa (National Disaster Management Fund Electronic Account) Na. 9921151001 iliyopo Benki Kuu ya Tanzania kwa kuandika neno maafa likifuatiwa jina la wilaya ya Hanang.

IMETOLEWA NA MR CHARLES MSANGI WA IDARA YA MAAFA

#YNWA
shukran sana mkuu, nashukuru pia nilifanikiwa kupata namba ya mhusika moja kwa moja, acha nikalie nae kwanza kwa chochote kitu,
 
Ndio Hali halisi ya maisha ,ukisikia nyuma geuka wa kwanza anaweza kuwa wa mwisho.

Mwisho Asili ya binadamu ni ubinafsi so don't expect anything kuwa tofauti kisa huyo bwana yamemkuta.

Huoni walemavu wanavyopata Madhila?

Cha muhimu hakuna anaejua mwisho wake utakuaje ukiweza ishi Kwa kiasi.
ni kweli ndugu yangu, lakin huyu kakutwa na natural disaster ambayo ni unexpected, ukisema issue ya ulemavu kuna mgawanyo, aliyepata kwa tabia yake mbaya(wizi n.k), aliyepata kwa ugonjwa(kuugua kwa muda) na aliyepata ajali(kusafiri ndugu wote gari moja), lakini kwangu hii imenisikitisha zaidi
 
Media zetu ni kama zinasikilizia serikali itacheza kwa style gani, hata mwanzo wa hili janga ni kama walikuwa wanasikilizia hivi mpaka walipoona mambo yamekuwa serious na vifo vimeongezeka wakajifanya kutangaza, nasikia kuna boti la watalii limezama huko Zanzibar ila mpaka sasa kimya hakuna media yoyote imeripoti hiyo habari
aiseeee😳
 
Kuna mtu jana kaleta uzi hakuna video za kutosha za hilo janga la Hanang, na ukifikiria ni kweli matukio mengine kama ziara yanakua na full coverage, hili halina.

Viongozi wamegeuza tukio kua PR yao, wanajisafishia majina, hakuna impact yeyote
Video zilitoka sana siku 2 za Mwanzo,Kwa Sasa ni usagishaji tuu pengine na picha za Jana baada ya Ziara ya Rais ndio zimeonesha jinsi tope liliporomokakutoka mlimani.

Video hazibadili chochote, pengine ni Janga la kwanza la matope ila sio Janga la kwanza Kwa Tanzania Kuna mv Bukoba,mv islander nk kote huko Kuna simulizi za kusikitisha.

Pia Kuna Mzee alipoyeza nyumba na Watoto,mke wote kwenye moto hapo Dar sembuse huyo Jamaa ni Kijana? Ajipe Moyo ingawa ni ngumu ndio Dunia kifo hakizoeleki guliowahi fiwa tunajua ukikumbuka utaumia.
 
ni kweli ndugu yangu, lakin huyu kakutwa na natural disaster ambayo ni unexpected, ukisema issue ya ulemavu kuna mgawanyo, aliyepata kwa tabia yake mbaya(wizi n.k), aliyepata kwa ugonjwa(kuugua kwa muda) na aliyepata ajali(kusafiri ndugu wote gari moja), lakini kwangu hii imenisikitisha zaidi
Hakuna Janga ambalo linakuwa expected,sio wa kwanza hapa Tanzania.
 
Back
Top Bottom