Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
sasa analysis ya OP iko wapi?
MIT tena?
Watalaam lazima wawape wanasiasa sababu ya kusikilizwa; Bahati mbaya sana baadhi ya wanasiasa hao hao ndio wataalamu wenyewe!Pamoja na hilo, viongozi wetu wanatakiwa kuthamini ushauri wa kitaalamu na kuacha kujifanya wanajua kila kitu kuanzia sheria mpaka uinjinia. hata kama una wataalam kibao wenye innovation nyingi, kama michango yao haithaminiwi na mambo yanaendeshwa kisiasa itakuwa ni bure.
I would suggest you check it out on google rather than dismissing it on contact.As I said above, education is paramount.I agree.I don't know about Kalamazoo though, ina sound kama "Kala-Majuu" na huyu aliyekula majuu inawezekana haelewi matatizo yetu ya Malampaka, lol.
Yes.. we might not be able to do all that in an immediate future; but turning Muhimbili into likes of Cleveland Clinic, Detroit Medical Center or even Boston General or Mayo Clinic nothing wrong.. wakati huo huo tunaboresha Peramiho, KCMC, Bugando, Meta/Mbeya n.k Tufikie mahali uchunguzi na tiba yoyote ya afya inayofanyika mahali popote duniani iweze kufanyika Tanzania na tuondoe kwenye entitlements za viongozi hizi tripu za kufanyiwa uchunguzi wa afya nje ya nchi.A massive overhauling of the Health system, easing the taxation on Health related tech gear, a user based government subsidized network of rural clinics, incentives for doctors to expand access to health care through private practices, an affordable, low profit system of health insurance just to mention a few ideas.
Utendaji wa vyombo hivi siyo chini ya Executive; ni vyombo huru; One of the major problems we have is that of thinking Police, JWTZ and other security organs or Law enforcement organs are under the executive thus the tolerance of their constant and unchecked interference.Are you sure about the constitutionality of this? My thinking is law enforcement is under the executive while the judiciary is charged with law interpretation and dispensation.
No, Police and Prisons should not be under the same roof; this is the reason we have separated prosecution and police na kuunda National Prosecution Services na haziko chini ya dari moja. Prisons should be reformed to become a true Law Enforcement Agency under independent Board of Commisioners with a Constitutional Mandate. Isiwe chini ya Waziri yeyote.If there are problems with the two services co-existing, these problems can be addressed under the same roof.
Ideally, One government is the goad; realistically however, Zanzibar will not lose their identity as a nation. So either we breakup or have a two tier government system kama ya US (Union and State). This I believe will be more reasonable and easily adaptable because the only change we need are basically in Tanganyika.More bureaucracy, I will be happier with a single government, it keeps matters simple and reduce the largesse of office, but the Zanzibari's won't have that.
The number is purely at random; However, Kahama is not Zanzibar, Kahama has never been a country before nor has Morogoro been a sovereign state. We can not treat Zanzibar as if it was one of the districts just because its population is comparable to a district in on the mainland. This is trivialization of history.250 Reps for Zanzibar is a pure waste of resources, after all, at the risk of sounding ignorant of history, Kahama does not have its own house and I am sure it does not remotely approach having 250 reps in the august bunge.
We can't! Zanzibar will not lose its identity or sense of nationhood. Whatever we want to do or gonna do we have to take some blunt realities that we know exist. Nothing more powerful and uniting than a sense of patriotic duty.We can do away with the Zanzibar/ Bara Houses, it will be simpler and more efficient.
Talking about stimulus package...
What does it stimulate?
Ukitaka kuongeza kodi ni lazima uwe na cha kutoza kodi, as in you must have businesses, you must have people with purchasing power, you must have a sizable portion of your population doing some acceptable level of consumption.
Sasa wewe tatizo lako uchumi wako mdogo, unataka kukuza uchumi wako, unahitaji fedha za kukuza uchumi, unaulizwa utazipata wapi, unajibu utautoza kodi uchumi huu mdogo?
Huoni kwamba utaua hata huo uchumi mdogo uliopo?
Ni kama vile una ng'ombe aliye na njaa, unataka kumlisha ili anone, halafu unaulizwa utapata wapi cha kumlisha ng'ombe huyu ili anone vizuri na wewe unasema nitamkamua maziwa na kumnywesha maziwa.
Huyu ng'ombe hana maziwa, ndiyo sababu unataka anone, kwa hiyo ukitaka kumkamua maziwa sana sana atatoa damu tu. Ukitaka kutoza uchumi watu ambao hawana level kubwa ya kipato wala purchasing power utakachofanya ni kuua enterpreneurship na kupunguza consumption tu.
Utaangusha uchumi badala ya kujenga.
Kinachotakiwa ni kupunguza kodi ili kuchochea biashara, biashara ikipanda na watu wakipata hela na kuwa na purchasing power serikali inaweza kupandisha kodi pole pole.