Stieglers Gorge Hydroelectric Project

Hii ilikuwa Aprili mwaka huu.....uongo mtupu wa serikali na sijui hiyo loan ya $400m wameifanyia nini

CTI Chairman, Felix Mosha said power cuts have been damaging electrical equipment and increasing the running cost of business, due to the use of generators.Mosha said efficient power supply was the most important thing which would enable business compete favourably in the coming East Africa Common Market."We appreciate the government efforts in solving the power problems, but we are tired of power cuts and endless rationing. We want to be assured of reliable power supply because our competitiveness is diminishing", he said.Mosha said CTI members were also concerned about the high electricity charges, including the 3 per cent which is levied for the Rural Electrification Agency (REA) and the poor customer services provided by the Tanzania Electric Supply Company (TANESCO).
He also wanted to know what the government was doing to attract private sector participation after the amendment of the Electricity Act of 2008.

Responding, Minister Ngeleja said the government has long and short term plans which include the production of 900 megawatts of power by the year 2012 of which 160MW would start flowing in the next twelve months, while another 100 MW would be produced from a gas plant at Ubungo in Dar es Salaam and another 60MW from the installed generators in Mwanza."Power rationing and transmission will soon end as the 160MW is connected to the national grid", said Ngeleja.Ngeleja mentioned the Singida windmill project which will produce 50MW, Kiwira 200MW, Mnazi Bay 300MW and Kinyerezi power project which will give out 240MW as the other projects in the pipeline.He said the government has received a soft loan of USD 400 million from the Chinese government to implement the identified power projects.The minister said the amendment to the Electricity Act was intended to involve and encourage the private sector to invest in the energy sector.
"There are many opportunities for you to invest in the sector, and we are hoping that CTI shall supplement our efforts in solving power problems", said Ngeleja.On the 3 per cent deduction for REA, he said the money was meant to support rural electrification.
He said concerted efforts were needed to promote rural electrification as only 14 per cent of the population has access to electricity, of whom 12 per cent are urban dwellers.Ngeleja also called on CTI members to help the government fight against fake electrical products and meter tempering.

For his part, CTI past Chairman, Reginald Mengi said industrialists were more concerned with the quality than the quantity of the country's power. He said the country's electricity quality was poor due to frequent blackouts and inconsistent supply."What we are looking for is not only the quantity, but quality of electricity", said Mengi.He said that despite all the efforts at improvement, there were still serious distribution problems. He said though the energy produced is enough and well transmitted, its distribution is still poor.Mengi advised the government to privatize the distribution network so as to improve its reach to intended customers.He said absence of a chief executive of the company affected Tanesco's customer service delivery.

Meanwhile Dominic Nkolimwa reports that the Rufiji Basin Development Authority (RUBADA) has initiated two major hydro-power projects in Kilombero District, Morogoro Region to generate approximately 2,265 megawatts upon completion.The project, one of the biggest on the continent is expected to help the country attain self-sufficiency and export surplus power in the near future.Speaking after a meeting held in Dar es Salaam involving TANESCO, Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA), RUBADA,

The National Environment Management Council (NEMC) and Morogoro region authority, the Rubada Acting Director General Alloyce Masanja named the projects as Stieglers Gorge and Mpanga.He said the Stieglers Gorge project was expected to generate 2,100MW while the Mpanga project would generate 165MW.He said the government had hesitated to allow the execution of the Stieglers Gorge project, fearing destruction of the environment, but has now allowed RUBADA to proceed with implementation, after discussions.South Africa and Canada have accepted to fund the project.Masanja said a feasibility study done in 1980, showed that the project would cost USD1.0bn, but the latest study put the cost at USD 2.0bn.He said under the memorandum of understanding, the project was being executed under a Build, Operate and Transfer arrangement, for 25 years.He said the second project which is Mpanga, will be funded by Chinese government."Chinese government at the interim cost has accepted to provide USD 173m as an initial cost, although the study shows that the whole project will cost USD 400m," said Masanja.

In another development, mining of uranium will officially begin in 2012 in Ruvuma Region, earning the nation more than USD 200 million per year in foreign exchange, Minister for Energy and Minerals William Ngeleja has said.He said Mantra Resources company working in Ruvuma Region has completed initial feasibility study and was carrying out definitive feasibility study (design stage) before embarking on construction and production.

He named other companies carrying out studies in other parts of the country as Uranex and Western Methods which will place Tanzania third in Africa and seventh in world uranium production.
 
Kikwete ni sehemu kubwa ya matatizo ya nchi hii. Akiwa kama waziri kwa zaidi ya miaka 20 kabla kuwa Rais, Kikwete anafahamu vyema kuhusu mradi huu wa Stiegler's Gorge. Hakuna suala la yeye kupotoshwa na wasaidizi wake, hautaki tu huu mradi kwa sababu anazojua yeye.

Angekuwa na akili angechukua mradi huu kama ni legacy yake ili aache kitu cha kukumbukwa na Watanzania milele. Hivi akiondoka madarakani 2015 Kikwete atakumbukwa kwa nini, kujenga zahanati, vyoo, madarasa na kuwanunulia wasanii wa ThT recording studio? He has no vision na wala hajui nini cha kufanya.

Tena suluhisho la umeme Tanzania lingeweza kupatikana ndani ya miaka MIWILI tu. Kama wangeanza leo kazi ka kujenga Stiegler's Gorge, turbine moja tu ikianza kuzalisha 700MW ifikapo 2012 ingekuwa ni suluhisho la kudumu la tatizo la umeme Tanzania kwani kwenye gridi ya taifa kuna upungufu wa 100MW tu. Hizo turbines nyingine 2 zenye jumla ya 1,400MW ingekuwa ni umeme wa kuuza East Africa na Southern Africa power pools.

Basi kama hawezi vyote, ajenge Stiegler's Gorge kwa 3 phases, yaani Phase I, Phase II na Phase III. Kila Phase I wanaweka turbine moja yenye uwezo wa 700MW.

Serikali inaweza kutumia pesa zake kutumia gharama ya $670m kwa kila phase ya mradi tunapata 700MW.

Watanzania walilaaniwa na nani wakapata Rais mkwere ambaye anakuwa na passion na excitement akihutubia Bunge wakati anaongelea wasanii wa Bongo flava na movie badala ya kuzungumzia mikakati ya ku fast-track Stiegler's Gorge!
 
Kikwete ni sehemu kubwa ya matatizo ya nchi hii. Akiwa kama waziri kwa zaidi ya miaka 20 kabla kuwa Rais, Kikwete anafahamu vyema kuhusu mradi huu wa Stiegler's Gorge. Hakuna suala la yeye kupotoshwa na wasaidizi wake, hautaki tu huu mradi kwa sababu anazojua yeye.

Angekuwa na akili angechukua mradi huu kama ni legacy yake ili aache kitu cha kukumbukwa na Watanzania milele. Hivi akiondoka madarakani 2015 Kikwete atakumbukwa kwa nini, kujenga zahanani, vyoo na madarasa? He has no vision na wala hajui nini cha kufanya.

Tena suluhisho la umeme Tanzania lingeweza kupatikana ndani ya miaka MIWILI tu. Kama wangeanza leo kazi ka kujenga Stiegler's Gorge, turbine moja tu ikianza kuzalisha 700MW ifikapo 2012 ingekuwa ni suluhisho la kudumu la tatizo la umeme Tanzania. Hizo turbines nyingine 2 zenye jumla ya 1,400MW ingekuwa ni umeme wa kuuza East Africa na Southern Africa power pools.

Basi kama hawezi vyote, ajenge Stiegler's Gorge kwa 3 phases, yaani Phase I, Phase II na Phase III. Kila Phase I wanaweka turbine moja yenye uwezo wa 700MW.

Serikali inaweza kutumia pesa zake kutumia gharama ya $670m kwa kila phase ya mradi tunapata 700MW.

Watanzania walilaaniwa na nani wakapata Rais mkwere ambaye anakuwa na passion na excitement akihutubia Bunge wakati anaongelea wasanii wa Bongo flava na movie badala ya kuzungumzia mikakati ya ku fast-track Stiegler's Gorge!

Ngeleja alisema China imetoa mkopo nafuu wa $400m kwa jili ya hiyo Stiegler
 
TSX- and Aim-listed Energem Resources said on Tuesday that it had signed a memorandum of understanding that would see it paying a $1,2-million short-term loan to acquire a 40% stake in a proposed 900 MW Tanzanian hydroelectric scheme, estimated to cost $2-billion. The cash loan would go towards updating studies on the project that the Norwegian government did in the 1980s, and completing a bankable feasibility study on the hydroelectric scheme, which would take about five years to build.The other shareholders in the project were Infrastructural Development Finance (IDF), which the Indian government owns 22% of, the Tanzanian government, and a private engineering consortium.The Stieglers Gorge hydroelectric scheme has the potential to produce up to 2 100 MW, the Tanzanian government's Rufiji Basin Development Authority (Rubada) said on its website.The Norwegian State found the project to be viable in mid-1985, but the developers decided not to proceed because of the poor shape of the central African country's economy, Rubada stated.
Energem said in a statement that the project had been "shelved owing to insufficient regional electricity demand at the time to justify economic viability".Now that Southern Africa had run out of electricity generation capacity, that situation had changed.The hydropower project was planned for a gorge on the 600-km long Rufiji river that was 8 km long, 100 m deep, with a drop of 25 m in the river bed. The area was located some 200 km southwest of Dare Es Salaam."At this site, a 130 m-high dam can be constructed to produce electric power, provide flood control and allow irrigated agriculture downstream of the river," Rubada said that it had appointed consulting engineers Jeffares & Green to examine the historic feasibility studies relating to the project
 
Ngeleja alisema China imetoa mkopo nafuu wa $400m kwa jili ya hiyo Stiegler

Nilivyosikia huo mkopo wa China wa $400m ni kwa ajili ya Kiwira coal power project baada ya serikali kuuchukua mgodi wa makaa ya mawe kutoka kwa Mkapa na Yona. Kiwira ingezalisha 400MW na kupunguza tatizo la umeme.

Kuna tetesi kuwa Rostam Azizi ndiye anaye miliki miradi yote ya uzalishaji umeme mikubwa ukiacha Songas na IPTL. Na ni yeye pia amekuwa akiupinga Stiegler's Gorge kwani ukija ina maana shida ya umeme itakuwa historia Tanzania.
 
Huu ni upuuzi wa wandishi. Kikwete alikuwa Waziri wa Nishati wakati wa IPTL, hivyo anajua naye lazima atengeneze ulaji. Na tumeshaona ulaji wake kupitia Richmond /Dowans. Na bado tunatakiwa tuwalipe Dowans Bil 185 ili kufiodia makampeni yao ya kufuru.
Kikwete is just another beneficiary wa hizo kickbacks, na hakuna haja ya kumwengua kwenye tuhuma hizi.

Na yuko Belgium hivi sasa iliko hiyo ICC
 
Nilivyosikia huo mkopo wa China wa $400m ni kwa ajili ya Kiwira coal power project baada ya serikali kuuchukua mgodi wa makaa ya mawe kutoka kwa Mkapa na Yona. Kiwira ingezalisha 400MW na kupunguza tatizo la umeme.

Kuna tetesi kuwa Rostam Azizi ndiye anaye miliki miradi yote ya uzalishaji umeme mikubwa ukiacha Songas na IPTL. Na ni yeye pia amekuwa akiupinga Stiegler's Gorge kwani ukija ina maana shida ya umeme itakuwa historia Tanzania.

Minister Ngeleja said the government has long and short term plans which include the production of 900 megawatts of power by the year 2012 of which 160MW would start flowing in the next twelve months, while another 100 MW would be produced from a gas plant at Ubungo in Dar es Salaam and another 60MW from the installed generators in Mwanza."Power rationing and transmission will soon end as the 160MW is connected to the national grid", said Ngeleja.Ngeleja mentioned the Singida windmill project which will produce 50MW, Kiwira 200MW, Mnazi Bay 300MW and Kinyerezi power project which will give out 240MW as the other projects in the pipeline.He said the government has received a soft loan of USD 400 million from the Chinese government to implement the identified power projects
 
Kikwete, Ngeleja na maofisa wengi wa serikali ni sehemu ya mtandao huo wa kifisadi. Huu mradi ni wa siku nyingi lakini kila siku wanaukwepa kuutekeleza kwa kukimbilia miradi ya muda mfupi ya kifisadi na ya gharama kama IPTL, Richmond n.k.

Hakuna cha watu wanao msabotage president wala nini. Yeye ndio anasabotage wananchi wa TZ. Umeme ungezimika na ILUKU basi kama kweli ni tatizo la kitaifa na limewashinda kutatua, ebo!!

Viongozi waliochaguliwa na NEC hovyo hovyo, wanafanya mambo hovyo hovyo na wanatuletea giza la hovyo hovyo.
 
wengine legacy ni kuwa kiongozi na kuonana na watu mashuhuri duniani. basi roho kwatu (raha mustarehe)
 
Leo katika magazeti nimesoma kichekesho limoja kuwa eti moshi mweusi wamuingia Ngeleja. Nikajiuliza hivi editors wanachekesha au? Huyu Waziri ni pandikizi la RA. Katika timu hiyo walikuwa ni pamoja na Masha, Maige, Ngeleja na Bashe alitakiwa ila kwa bahati mbaya ikashindikana!!! Ngeleja anatumikia wazee na hawawezi kumwondoa. Hebu tusikilizie tuone!! Mafisadi are powerful my friend, na kwa sasa wameshikilia Bunge!!! Hakuna kitu kitapita pale bila ngumi kupigwa hadharani. Cha msingi, tujipange kwa 2015 Chadema wawe na kituo chao cha kuhesabia Kura kwa haraka ili kupata uhakika. Yaani suala la mawakala na wasimamizi wa Chadema, kikata, kiwilaya na kila mkoa ni muhimu ili matokeo yangie mtandaoni haraka sana. Kwa mbinu hii mtaweza kukaba hao wachakachuaji.
 
wengine legacy ni kuwa kiongozi na kuonana na watu mashuhuri duniani. basi roho kwatu (raha mustarehe)

kp_601.jpg
 
"Rais mla rushwa kamwe hawezi kupambana na rushwa" (- Mwl. JK Nyerere) Hebu tukumbushane ni nani aliyekuwa waziri wa nishati na madini mwaka 1994 wakati kina Chenge wakituingiza mkenge wa IPPTL? Kama nadharia hiyo ya Nyerere ni ya kweli basi tujue tumekwisha! Kelele zote kuhusu rushwa na ufisadi unaofanywa na Kikwete na wenzake leo ni za kisanii zisizo na hata chembe ya dhati kwani hata yeye katika ngazi za chini alihusika katika mikataba kama hii ya wenzake leo. Mkataba wa IPPTL uliojaa vipengelevya dhuluma na kuipora Tanzania mamilioni ya walalahoi ulisainiwa na mafisadi ambao ndiyo wakubwa wa serikali leo hii Kikwete akiwemo! Hapa nataka kupinga dhana ya "Kikwete himself has been misled into thinking that this project is too big and too costly, hence it would take too long to build the power plant. The president has now falsely given up hope of implementing this project during his ten-year rule."
Ndiyo tuseme si sahihi kusema Kikwete anapotoshwa au amepotoshwa na washauri wake wa karibu kwa vile hata yeye mwenyewe anaufahamu mchezo unavyofanyika. Ila iko siku yote yaliyofanywa na yanayofanywa gizani kulihujumu taifa letu tukufu yatawekwa hadharani na historia itawahukumu. Mungu ibariki Tanzania.

 
EIA ya huo mradi (EIA ya kwanza kabisa kufanyika TZ) ilibaanisha madhara kadhaa ya huo mradi, ila ikasema madhara hayo yanatibika ivyo mradi uendelee kwavile ni economically viable. Ila wakati wa BM issue za environmental conservation zilipoanza kuchukua headlines, mradi ukaonekana ungekua na madhara makubwa kama yaliyotokea kule Kihansi kwa wale vyura wanaozaa. Ki ukweli huo mradi una siasa nyingi kama ulivyo mradi wa daraja la Kigamboni.

Tunahitaji viongozi wenye uwezo wa kudare na kusimamia maslahi ya taifa..kwa tulionao sasa naona giza totoro.....ee Mungu saidia.
 
So hapa kuna ulazima wa kupitia mikataba yote ya umeme ambayo serikali imeshasign....Na acc za masignatories zote zichunguzwe, Iangiliwe mishahara yao na mali walizonazo na kila atakaegundulika alikula mlungula tunaachana na uongozi wa sheria kwenye hili swala la mikataba hukumu inakua kunyongwa tu kama China....this way maendeleo yatakuja na watu watakuwa waoga kutaka utajiri wa fasta......Yaani hii nchi kila kitu kinaenda kwa dili tu, Maji tunasikia AZAM na wauza matanki huwa wanakata mkwanja DAWASCO ili wapige pesa, Umeme tena hayohayo watu hawataki long term solutionz ili wapige dili kwenye mikataba feki....Kifupi kila shirika linaloishia na "SCO" ni upuuzi mtupu....we fuatilia utaona sijui DAWA"SCO", TANE"SCO" etc kote ni uzushi huduma hakuna........AAAAAAAAAGGGGGHHHHHHHHHHHH..............
 
Tutaishia kulalama tu mwisho tutakomaa! Ukifika uchaguzi tunayarudisha yaleyale watu mnategemea nini hapo? Wa-TZ mnashangaza sana! Tumefanya uchaguzi kura zimeibwa tupo tupo tu kwa nini tusingeingia mitaani? Li-Rais lenu lenyewe kazi kuchekacheka tu mpaka linadanganywa kila kitu! Makubwa haya!!!!!!! Siyo uongo ndugu mkuu wa kaya anatuumiza kwa kuendekeza hiyo midude yake hiyo! Juzi hapa kadananganywa kuwa mshahara wa 315,000 hauwezekani kaweka hesabu ya kihayawani hapa Mgonjwa huyu!!!!!!!
 
Me nilijua tu kuna mkono wa mafisadi, na sinbad mwenyewe kakimbia joto kuingia kwenye mibaridi!
 
Tanzania zaidi ya uijuavyo. Tutafika tukiwa tumechoka balaaaaaaaaaaaaaa.

Me nshachoka hata kabla hatujafika. Sometimes I dont even want to listen to blah blah za viongozi wetu. Ahadi nyingi, mipango-hewa mingi, yote imekaa kiwiziwizi tu. Napata hasira sana ninavyoona siku hizi kuna MASKINI SAAAAAANAAA na MATAJIRI SAAAAANA! Inaniuma sana. Sitaki hata kumuona huyo Kikwete wenu. Kila kitu kwake ni mzaha! Sorry kama nimekwaza mtu, sio nia yangu.
 
Back
Top Bottom