manchester
Member
- Sep 3, 2010
- 54
- 3
Kama mnakumbuka zamani kulikuwa na vitabu vya hadithi za Alfu Ulela zilizokuwa na ukweli na uongo, kwa enzi hizi ni vigumu kuwakuta vijana wa kileo wakivisoma vitabu hivyo ila kwa Mh. Steven Masele anajaribu kutulazimisha kuvisoma vitabu hivyo tena kwa kujaribu kutuhaminisha na ujio wa kina Kluvert na propaganda zake za, " Eti Mpira siku ni biashara kubwa," NAONA KASAHAU PIA KUTUELEZA YA KWAMBA MPIRA SIKU HIZI NI SIASA KUBWA PIA.katika kuwadaa wananchi wa Shinyanga ili waweze kumchagua tena.Kama kweli alikuwa na nia ya kuendeleza vipaji vya wanashinyanga alikuwa wapi muda wote mpaka sasa hivi ndio anaibuka?