Startimes wameiachia EATV

Nyanya mbichi

JF-Expert Member
Nov 10, 2011
3,716
2,207
Nipo home sasa gafla nabadili chanel naiona eatv hawajaiweka ile alama ya $ iko plain kama Tbc Nyinyiem.
Ni hiyo tu wajameni
 
Mbona hujaeleweka mkuu?
Kwa hiyo sasa unaweza kuitazama(inaonekana) au wameondoa tu hako $ sign basi?
 
Kwangu wamebana niki tune naona No service hivi kwa nn IPP anasita sita kuingia kwenye king'amuzi?
 
Mbona hujaeleweka mkuu?
Kwa hiyo sasa unaweza kuitazama(inaonekana) au wameondoa tu hako $ sign basi?

Nina maana ya kuwa east africa tv inapatikana bila kufanya any installation imeingizwa inaonesha fresh kwenye kin'gamuzi cha startimes
$ hii sign haipo it means hata kama hutalipia itaonesha tuu
 
Kwangu wamebana niki tune naona No service hivi kwa nn IPP anasita sita kuingia kwenye king'amuzi?

Sijaizungumzia eTV mimi wakuu nimeizungumzia east africa tv

hiyo etv kwangu mimi iko pia nayo fresh
 
mayb kina low standard/quality....ndo maana anasitasita...king'amuzi chenyewe ukikaa sehemu kuna tall buildings tabu tupu.
 
Nimeona tangazo linapita kwwenye kingamuzi inaonekana TCRA wamewalzimisha kuonyesha local channel kwani tangazo linasema " TCRA wamewataka kuonyesha ITV, Star TV na EA mpaka tarehe 31/12/2012 na ifikapo 2013 watazionyesha kwa makubaliano maalumu".
 
Hawa star times wahuni,hapa wana bahati yao kwa kuwa hakuna ving'amuzi vingine tofauti na wao kwani ningekuwa nimewahama. Sipati star tv,itv,eatv,atn tangu niwe nao kwa hapa mz. Wizi mtupu,enzi mwalimu huduma zote nchini zilikuwa distributed uniformly.
 
Niko zenjiberi nina kingamuzi cha 'wakati wa nyota'bahti mbaya sipati chochote zaidi ya audio na picha mgando!na walituambia kuwa watafunga minara hapa kisiwa uamsho sasa sijui imeishia wapi
 
Back
Top Bottom