startimes hapo sawa

Wizzo

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
723
255
nimeenda jana ofisi za startimes arusha nkawaulizia kuhusu kupata local channels kama itv jamaa wamenambia kuanzia tar 20 mwezi huu chanel zote zitaonekana ktk king'amuzi.
 
Ifikapo 31 December saa sita Ucku TV zote hapa Africa Mashariki zitazimwa na kuhamishiwa kwenye Vingamuzi kama vile TIG agape ,Startime TBC etc.Hivyo ni sawa kuwa hiyo Tarehe 20 june kuwa hivyo kwani awana jinsi lazima waingie tu kwenye mfumo wa Digital
 
kwani satellite dish sio digital?
 
Mi nimelipia kifushi cha elfu 18 ili nione mpira wizi mtupu mpaka sasa ni no signal
 
si rahisi kuzima TV zote labda sema TV za hapa bongo maana nyingine zinatumia satellite kurusha matangazo yake na huu mradi wa ving'amuzi siyo world wide
 
nimeenda jana ofisi za startimes arusha nkawaulizia kuhusu kupata local channels kama itv jamaa wamenambia kuanzia tar 20 mwezi huu chanel zote zitaonekana ktk king'amuzi.

Hawa startimes wameshatudanganya mara nyingi sana. Labda tusubiri hiyo tar 20.
 
Mi nimelipia kifushi cha elfu 18 ili nione mpira wizi mtupu mpaka sasa ni no signal

Yaani kwakweli wanakera wametoa UBC wakaweka ATN ili watu tuone mpira but matokeo yake ATN1 hawaonyeshi muda wote mpira ya mwanzo ndio huwa wanaonyesha tena channel yenyewe chenga tupu ikiisha ile ya saa4 usiku tunawekewa vipindi vya dini sasa sijui maana yake ni nn
 
Ifikapo 31 December saa sita Ucku TV zote hapa Africa Mashariki zitazimwa na kuhamishiwa kwenye Vingamuzi kama vile TIG agape ,Startime TBC etc.Hivyo ni sawa kuwa hiyo Tarehe 20 june kuwa hivyo kwani awana jinsi lazima waingie tu kwenye mfumo wa Digital

Lazima kuwe na wayforwar mkuu. Wasipoonyesha kuanzia hiyo tarehe 20 nini tunakifanya sisi kama wateja? Na kwa nini taarifa zitofautiane? Mimi juzi walinipigia (tena makao makuu kwa jinsi huyo dada alivyojitambulisha) na kuniuliza nazionaje huduma zao na napendelea chaneli gani. Nikawauliza lini wanaweka Itv na Startv akanijibu mpaka mwezi wa nane. Hapa tunasimamia wapi sasa na tuwaamini kina nani?
 
Ivi hawa DSTV hawashushi rates zao tuu hawaoni huu upinzani?
Maana nasikia EA mnapigwa rate kama za madon wa SA!
 
Mi nimelipia kifushi cha elfu 18 ili nione mpira wizi mtupu mpaka sasa ni NO SIGNAL

hilo tatizo limenikuta hapa moshi, nimewapelekea wakatengeneza na kunitoa 5;000/=,nimerudi nacho nyumbani kimeniambia no signal wanasema antenna yao haipokei mawimbi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom