Stars set off for Kilimanjaro: Balozi Maajar, opportunity hii umeipoteza!!

...tch-tch-tch! sisi watanzania ni wagumu kidogo kutafuta feedback, kutafakari, na kutafuta ufumbuzi, huh? Mtindio, pls read this article my brother;

...mfano; hao Celebs kuupanda Kilimanjaro ni publicity ya kutosha, lakini kwa picha kwamba "ili uupande mlima Kilimanjaro, pitia Nairobi!"...

Mbu,

Nimekusoma. Unajua kulaumu ni rahisi, hata mimi hapa nikitaka kwenda hukohuko kwao UK, iwapo sitawa-consult watu au vyanzo sahihi vya habari, nitaishia kulalama kama unavyosema.

Kwa upande mwingine ni kweli, labda kwa sababu mbalimbali, serikali kupitia wizara husika, haijafanya vyema ktk kutangaza vivutio vilivyopo nchini. Lakini pia ikumbukwe kuwa travel agencies wa ndani na nje, wana mchango wao ktk hili, hivyo nao watwishwe lawama.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom